Ukweli unaouma (uhalisia wa kitaa)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukweli uliowekwa kwenye kicheko
 
Tafuta hela mkuu achana na watu. Motivesheni Ina mchango mdogo San kubadilisha tabia za watu
 
13. Ishi na watu vizuri maana maisha ni yako ila mazishi ni ya kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…