Kiutawala Uganda ilikuwa chini ya Tanzania hata baada ya Uganda kupata maraisi katika hicho kipindi ?Ndio.walikaa huko
Hayo mambo ya kiufawala sijajua.ila hilo la kukaa huko ni kweli. Kuna mzee mstaafu mwanajeshi alikuwa huko alinihadithia japo sijamuuliza vizuri.Kiutawala Uganda ilikuwa chini ya Tanzania hata baada ya Uganda kupata maraisi katika hicho kipindi ?
Watafute Wazee wa Wizara ya Maelezo.Ni story ambayo naisikia kwa muda mrefu sana tangu nikiwa shule ya msingi.
Ningependa kujua ukweli wake wa uhalisia uliokuwepo.
Kiutawala Uganda ilikuwa chini ya Tanzania hata baada ya Uganda kupata marais katika hicho kipindi?
JWTZ waliondoka kwa hiari ama ni Jeshi la NRA la Museveni liliwalazimu kwa njia moja au nyingine.
nilikaribia kusema watafute wazee wa kutoka mkoani moshi...pia Lt.Col.Benjamin Msuya alikuwa "Rais" wa Uganda toka Iddi Amin alipokimbia mpaka Prof.Lule alipoapishwa.
Ni kweli kabisa Lt Col Ben Msuya ( amefariki mwaka jana ) alikuwa ndio rais ( mayor) wa nchi yote ....Akikaa ukulu Kampala. Na Entebe....alikuwa wasaidizi wake wapo mpaka leo......wanasimulia haya.....wengi wameacha watoto Uganda walikaa sanaa..pia Lt.Col.Benjamin Msuya alikuwa "Rais" wa Uganda toka Iddi Amin alipokimbia mpaka Prof.Lule alipoapishwa.
nilikaribia kusema watafute wazee wa kutoka mkoani moshi.
ila ukweli ni kwamba Uganda haikuwa koloni la Watanzania.
Sijui hizi lugha za "kikoloni" kwa kweli zimetoka wapi.
sio rafiki
Waganda walitueshimu sana na bado wanaendekea kutuheshimu, tusiwabeze.