Ukweli usemwe hawa Wadudu wa Arusha hata sio wenyewe

Kwahiyo 'KENYONYO' ye ni nani.

KENYONYO ndo watu wanamjua Sana then mnazingua Sana Andika hata mapenzi.
 
Nimeishi chuga miaka 17.

Lakini hayo mambo ya vikundi nayaona kwenye mitandao tu, wezi na vibaka wapo, ila hayo makundi sijui wadudu sijui mambong'oo.... ni swaga tu.
 
Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu.

Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu.

Wadudu OG ni wanaitwa Wadudu wa Dampo na wengie waliitwa Watato wa Mbwa ni madogo ambao labda wengine kwa sasa wapo kwenye hawa wadudu wanaotrend (wanaotembe na upepo).

Wadudu sisi tumewaona kwenye cyphers miaka karibu kumi iliyopita wakaibuka baadae Wadudu Ngaa (Wadudu wengi) hawa ni wengi ni matoyo (nyie mnaita bodaboda).

Ila wadudu walikuwepo tu. Ulizeni hata akina Motra the Future, Nash MC, Fido Vato, Joe MiC the MC, KC, Chaba, Stopper, Dipper Rato na watu wengine ambao wamekuwa maarufu wanawajua wadudu. Ingia hata youtube seach wadudu cypher au wadudu wa dampo utajua ukweli.

Hao mnaowasikia na kuita kila mtu mdudu ni watembea na upepo tu sio wenyewe.
Hahahahaha machalii wa Arusha bana....dah ila mie nimekuelewa..
 
Kwahiyo mnagombania Brand ya kuitwa Wadudu? Basi mjigawe makundi,wengine waitwe Wadudu Funza na wengine Waitwe wadudu Inzi,

Case closed.
Hahahahaha itakua kuna fursa imetoka sasa nani awepo na nani asiwepo ndio inaleta haya...kweli kwenye uzia penyeza rupia..wadudu sasa hz tutasikia kuna wadudu originally na wadudu academia [ hawa academia watakua wana fursa ]
 
Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu.

Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu.

Wadudu OG ni wanaitwa Wadudu wa Dampo na wengie waliitwa Watato wa Mbwa ni madogo ambao labda wengine kwa sasa wapo kwenye hawa wadudu wanaotrend (wanaotembe na upepo).

Wadudu sisi tumewaona kwenye cyphers miaka karibu kumi iliyopita wakaibuka baadae Wadudu Ngaa (Wadudu wengi) hawa ni wengi ni matoyo (nyie mnaita bodaboda).

Ila wadudu walikuwepo tu. Ulizeni hata akina Motra the Future, Nash MC, Fido Vato, Joe MiC the MC, KC, Chaba, Stopper, Dipper Rato na watu wengine ambao wamekuwa maarufu wanawajua wadudu. Ingia hata youtube seach wadudu cypher au wadudu wa dampo utajua ukweli.

Hao mnaowasikia na kuita kila mtu mdudu ni watembea na upepo tu sio wenyewe.
Kwani wanyama wanasemaje????
 
Kundi la wajinga na vijana wapumbavu linatafuta recognition, yeyote mwenye akili hawezi ku entertain ujinga wa vijana hao wadogo Arusha, ni kuangamiza kizazi chao na kupoteza vijana kabisa, huu ni upumbavu
Nakubaliana na wewe mkuu🤝
 
Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu.

Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu.

Wadudu OG ni wanaitwa Wadudu wa Dampo na wengie waliitwa Watato wa Mbwa ni madogo ambao labda wengine kwa sasa wapo kwenye hawa wadudu wanaotrend (wanaotembe na upepo).

Wadudu sisi tumewaona kwenye cyphers miaka karibu kumi iliyopita wakaibuka baadae Wadudu Ngaa (Wadudu wengi) hawa ni wengi ni matoyo (nyie mnaita bodaboda).

Ila wadudu walikuwepo tu. Ulizeni hata akina Motra the Future, Nash MC, Fido Vato, Joe MiC the MC, KC, Chaba, Stopper, Dipper Rato na watu wengine ambao wamekuwa maarufu wanawajua wadudu. Ingia hata youtube seach wadudu cypher au wadudu wa dampo utajua ukweli.

Hao mnaowasikia na kuita kila mtu mdudu ni watembea na upepo tu sio wenyewe.
Ni kweli. Wadudu wa dampo nimewajua kitambo sana. Ingawa wao pia walikuwa wapuuzi ila hawajafika kiwango cha kuvaa nguzo kama vichaa na kufanya matendo ya ukichaa hadharani. Wadudu wa dampo nilikuwa nawaona sana kwenye matamasha ya RAP. Hawa wadudu wa Makonda ni waharibifu wa maadili na wachafuzi wa taswira nzima ya Arusha.
 
Kwahiyo mnagombania Brand ya kuitwa Wadudu? Basi mjigawe makundi,wengine waitwe Wadudu Funza na wengine Waitwe wadudu Inzi,

Case closed.
Hao wakamatwe wacharazwe bakora Arusha inazalisha vibaka wengi sana! Mpk wanawake nao wamekaa km majike shupa hayana haiba ya kike kabisa.
Na meno yao yaliyooza na mirungi, kila mtu yanamuita “Aje arifu au chalii angu” ni ukosefu wa maadili tu!
 
Back
Top Bottom