Miaka ya karibuni ndo kumeibuka vikundi vingi vya kipuuzi. Arusha kwa miaka yote imekuwa na wahuni ila sio hawa wanaoigiza uwendawazimu.Nimeishi chuga miaka 17.
Lakini hayo mambo ya vikundi nayaona kwenye mitandao tu, wezi na vibaka wapo, ila hayo makundi sijui wadudu sijui mambong'oo.... ni swaga tu.