Ukweli usemwe hawa Wadudu wa Arusha hata sio wenyewe

Nimeishi chuga miaka 17.

Lakini hayo mambo ya vikundi nayaona kwenye mitandao tu, wezi na vibaka wapo, ila hayo makundi sijui wadudu sijui mambong'oo.... ni swaga tu.
Miaka ya karibuni ndo kumeibuka vikundi vingi vya kipuuzi. Arusha kwa miaka yote imekuwa na wahuni ila sio hawa wanaoigiza uwendawazimu.
 
Vijana waliozaliwa Arusha wakakulia Arusha hawana pigo za kishamba ila wa kuja ndo wana mambo ya ajabu
 
Sema vijana wa Arusha mna karoho ka ubaguzi. Leo unasema huyo kijana wa mto wa mbu sio wa Arusha na kesho wa Kaloleni watajiona wa Arusha zaidi ya wale wa Njiro. Watu wa Arusha mjini, Arumeru na Monduli ni wamoja kuanzia lifestyle hadi lafudhi. Wale wa Karatu kidogo wako tofauti na lafudhi yao ya kiiraqw.
 
Hahaha dah mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…