Ukweli usemwe; huu udongo wa Wasira na Warioba sio wa Dunia hii!!

Bado ni sababu dhaifu sana. Lowassa (r.i.p) alikosa nini?!!!

..Lowassa baada ya kujiuzulu inasemekana alikuwa akinywa pombe kupindukia, na alikuwa na msongo wa mawazo.

..nadhani wengi tunapuuzia suala la afya ya akili. Ushahidi uko wazi kwamba ina mchango mkubwa sana kuhusu utimamu wa mhusika kadiri umri unavyomtupa.
 
Siri ni maisha mazuri,uhakika wa matibabu na malupulupu ya kodi za wananchi.
Maisha mazuri ni Subjective zaidi. Wapo waTz wana umri 100yrs + wanaishi huku vijijini hajui kitu kinaitwa Tv wala simu ya kiganjani. Sanasana wanakumbuka zile simu za kumsubiri zamu pale kwa Telephone operator uitwe uingie ukaongee. Kwa mantiki hiyo maisha mazuri ni yapi? -ni mtu binafsi anavyo yafafanua.
Kila Mtanzania angepata matibabu na makazi ya uhakika kama wanavyopata,wengi wangeishi na kuwa na Afya kama Warioba na Wasira.
Sasa haijawa hivyo. Kwa hiyo tunafanyaje? Mm nadhani ingefaa kila mtu mhusika ajiwekee yard stick yake kwamba nikiweza haya basi maisha yangu yamekuwa mazuri bila ya kujilinganisha na wengine i.e. kila mtu acheze mechi zake.
 
Hao kinachowabeba ni matunzo mazuri wanayopewa kutokana na nyadhifa mbalimbali walizozishika huko serikalini, huku wakiwa na uhakika wa kupata matibabu kwa haraka na uhakika, ila wapo pia wazee huku vijijini ambao wako stable kabisa physically and mentally kuzidi hao wawili na age yao pia ni kubwa wengine wako 95+ , so hao pengine wangeishi maisha ambayo wazee wengi vijijini wanaishi pengine tusingekuwa nao tena.
 
..lakini Mzee Wassira kimaumbile haonekani kama ni mtu anayezingatia afya na kujitunza. Yuko overweight. Kwa upande wa akili anaonekana bado yuko vizuri.
 
Maisha mazuri ni Subjective zaidi. Wapo waTz wana umri 100yrs + wanaishi huku vijijini hajui kitu kinaitwa Tv wala simu ya kiganjani. Sanasana wanakumbuka zile simu za kumsubiri zamu pale kwa Telephone operator uitwe uingie ukaongee. Kwa mantiki hiyo maisha mazuri ni yapi? -ni mtu binafsi anavyo yafafanua.

Sasa haijawa hivyo. Kwa hiyo tunafanyaje? Mm nadhani ingefaa kila mtu mhusika ajiwekee yard stick yake kwamba nikiweza haya basi maisha yangu yamekuwa mazuri bila ya kujilinganisha na wengine i.e. kila mtu acheze mechi zake.
Kabla ya TV na simu waliishi kwenye majumba yalioachwa na wakoloni Oysterbay.Ni wazee wachache sana vijijini wana 100+ ukizingatia wengine hawafahamu hata mwaka waliozaliwa.Kwa kifupi wazee wengi waliopetiwapetiwa na kodi za wananchi, wana maisha mazuri na nuru usoni kushinda wa kijijini.
 
Namuangalia warioba, katika umri wa miaka zaidi ya 80, anaweza kuongea anachoongea kwa mpangolio bila kupoteza kumbukumbu ni jambo la ajabu sana. Nina 40+ tayari nauhisi kabisa mchoko wa akili......nikifika 60 sijui kama nitamkumbuka hata jina.

Nikija kwa Wasira, huyu mzee ndo ananichanganya kabisaaa. Kwanza hata mvi Hana mpaka Sasa akiwa na miaka zaidi ya 80. Mimi, na miaka yangu 40 zimejaa tele. Pili uwezo wake wa kumbukumbu ni WA ajabu kabisa.......kuikabili midahalo katika umri kama ule Huku akiwakalisha vijana wanaokuja kwa mihemko wakifikiri wanajua zaidi yake ni maajabu kabisa. Nilitaraji, katika umri ule, asiwe na uwezo wowote wa kueleza Wala kujieleza.

Wanakula nini' hawa wazee au ni majaaliwa tu?!!
chini inazeesha sana gentleman, ni vizuri kutumia kwa kiasi 🐒
 
Huwezi kuishi miaka mingi pasipo kubadili mtindo wa maisha.
Hao wazee wanazingatia milo yao na wanajipa muda mwingi wa kupumzika.
Kuna mwl alistaafu kipindi naanza std I 1990 lakini Hadi hii Leo yupo hai anadunda.
 
Kabla ya TV na simu waliishi kwenye majumba yalioachwa na wakoloni Oysterbay.Ni wazee wachache sana vijijini wana 100+ ukizingatia wengine hawafahamu hata mwaka waliozaliwa.Kwa kifupi wazee wengi waliopetiwapetiwa na kodi za wananchi, wana maisha mazuri na nuru usoni kushinda wa kijijini.
Hapana -HAPANA kabisa. Sisi tunaoishi huku vijijini tunayo mifano hai ya wazee umri 100yrs + na bado wanadunda. Ila mapungufu yao ndo hayo niliyotaja ya kiteknolojia.
BTW. Mm nipo ninaishi kijijini mkuu.
 
Namuangalia warioba, katika umri wa miaka zaidi ya 80, anaweza kuongea anachoongea kwa mpangolio bila kupoteza kumbukumbu ni jambo la ajabu sana. Nina 40+ tayari nauhisi kabisa mchoko wa akili......nikifika 60 sijui kama nitamkumbuka hata jina.

Nikija kwa Wasira, huyu mzee ndo ananichanganya kabisaaa. Kwanza hata mvi Hana mpaka Sasa akiwa na miaka zaidi ya 80. Mimi, na miaka yangu 40 zimejaa tele. Pili uwezo wake wa kumbukumbu ni WA ajabu kabisa.......kuikabili midahalo katika umri kama ule Huku akiwakalisha vijana wanaokuja kwa mihemko wakifikiri wanajua zaidi yake ni maajabu kabisa. Nilitaraji, katika umri ule, asiwe na uwezo wowote wa kueleza Wala kujieleza.

Wanakula nini' hawa wazee au ni majaaliwa tu?!!
Wewe unashangaa warioba na wasira? Usikute unafuata maandiko ya kwenye biblia mbona Japan watu wanaishi miaka mingi sana?

Kuhusu mvi wanapaka super black.
 
Kipindi hiko hapakuwepo na defender ila zilikuwa ni mandolin 4WD. Sasa huyo ndo angepata stress kubwa zaidi kwani hayo marupurupu hana tena na umri ndo umesogea mno, wengi wa mabest na macomrades wake wameshatangulia n.k. Lakini kwake ameridhika na hali yake na kuiona hiko ndo alichojaliwa vingine sio riziki yake. Any way; mm sio msemaji wake acha huenda kuna siku atasema siri ya Afya yake.

Mkuu; Stress ni mzigo na Dawa ya mzigo ni kuutua. Sio kuutoa mzigo kichwani halafu kuuweka mabegani. Hiyo haitasaidia-mzigo uko pale pale.
Kile kinachokuletea Stress achana nacho. Ona kama sio riziki yako na upite hv.
Kile kinachokuletea Stress achana nacho. Ona kama sio riziki yako na upite hv.📍📍📌🫵🫵
 
Back
Top Bottom