Ukweli usemwe; huu udongo wa Wasira na Warioba sio wa Dunia hii!!

Wasira amepatwa na ulemavu wa akili hivyo unampa sifa asizostahili.
 
Nakutaarifu tu, Mzee Wassira na Mzee Warioba ni "wanambate". Wanataka vijiji jirani, kata moja na wilaya moja! Tangu utotoni wanakula "obusima" na ngere na fulu!
 
Nami nilikuwa nashangaa Joseph Butiku, Joseph Sinde Waryoba na Steven Wassira wote wana miaka miaka zaidi ya 80 wana undugu lakini bado akili zao ziko active sana 'wanaweza kuzungumza bila kupoteza kumbukumbuku'.
 
Wenzenu hadi wanafika miaka 60 walikuwa hawali Chipsi yai wala kunywa K'Vant 🤪

Walikuwa hawavuti Shisha kama vijana wa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…