Ukweli usemwe jezi za Yanga ni mbaya

Uzi wa kijani mbona mzuri tu...
 
Nnachokiona Kuna Wana YANGA watavaa Uzi wa SINGIDA BIGSTARS Kama mbadala wa YANGA[emoji4]
 
Mpka sasa nimetambua jezi inakua mbaya kama ww ni mshabiki wa upande fulani mfano hiyo jezi nyeusi mbona ina nakshi nzuri tu. Ushabiki ni upofu
Nyeusi ilikua nzur ingekaa simple
madoido yamezidi imekua mbaya
 
Mwakani pia utasema huu ni mzuri tushazoea
 
Jezi ni nzuri ila haija pemdendeza kama ya msimu uliopita.
 
Kibegi nikizuri kuzidi jezi zenyewe[emoji23][emoji23]
 
Sure ila nyeusi nzuri...
Hyo ya kijani nilimuona mtu kavaa kwa karibu duuh au ni toleo la nne ileee??
 
Jezi za Yanga zimekaa kienyeji sana ukweli usemwe tu
 
Sheria ni mchafuaji tu wa jezi. Jezi za Yanga Fc 2019 kabla ya Sheria kupewa tenda ya ubunifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…