SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Shida ya jezi za Yanga ni rangi wanazotumia. Ni nadra sana kupata nguo nzuri utakayoivaa kila siku ya rangi ya kijani au njano. Wewe muulize mwanapuyanga yoyote katika nguo zake alizonazo, ukiacha jezi ana nguo ngapi zenye rangi hizo?
Ndiyo maana jana kwa mara ya kwanza katika historia ya Yanga nimeona wamevaa nguo nyeupe. Wameanzia kuwavalisha wachezaji walio benchi ila ndani ya misimu hii miwili ijayo naamini Yanga watakuja kuwa na jezi nyeupe watakayotumia uwanjani.