Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 828
- 1,632
Ukweli usemwe tu kama hamtaki niueni mwili wangu mkautupe bandarini usepe na waarabu.
Kiukweli yanga ya sasa hivi ni kali kila idara yaan inatisha.
Mimi kama kitayose naomba tiefefu isinipange kucheza na yanga 🙏
Kwa upande wa Simba aaaaah "hata haturingi" na hawarigi kweli na kikosi kibovu kĂ soro chama jr tu, kuna yule mkongo yeye kazi yake ni kujipaka vumbi la Kongo alaf akifika kwenye box anamkatia mauno kipa ,analowa,
Kiukweli wanapoelekea watakuwa kama Azam tu.
Chakuwashauri waboreshe kikosi,mbinu na wamrudishe mgunda kama kocha msaidizi.