Ukweli usemwe: Kiukweli Yanga ya sasa hivi ni kali kila idara yaani inatisha

Ukweli usemwe: Kiukweli Yanga ya sasa hivi ni kali kila idara yaani inatisha

Yaan nashindwa kuzielewa idara zote yaan kuanzia kocha mpk wachezaji hasa walinzi
Sijui kocha wachezaj wanamzidia anashindwa kuwaweka kwenye mfumo wake ?
Yaan tinho anabahati tu ila angekuwa na nyota mbaya aisee sijui tungeficha wapi nyuso zetu .
Mi naona mgunda arudishwe awe msaidizi wa tinho labda wakiunganisha maarifa wataokoa jahaz.
Yeah mimi pia natamani Mgunda arudi mkuu, angalau ajamaa walikuwa wanacheza na kujituma kwa nguvu, ila sasa shida ya timu yetu utashangaa wanasajili kipa mwingine [emoji3]
 
Mimi simba lakini,nasema ukweli yanga wamejipanga na wanajua wanataka nini.

Timu yetu sisi sijui hata wale wachezaji wana shida gani wako very slow kama kobe,yani hawana hata wasiwasi kabisa.

Tusiongee sana ila sidhani kama hii timu itafika mbali.

Mpaka sasa nashindwa kuelewa shida iko wapi kwenye timu, je ni wachezaji,kocha,au uongozi?
Poleni sana
 
Ukweli usemwe tu kama hamtaki niueni mwili wangu mkautupe bandarini usepe na waarabu.

Kiukweli yanga ya sasa hivi ni kali kila idara yaan inatisha.

Mimi kama kitayose naomba tiefefu isinipange kucheza na yanga 🙏

Kwa upande wa Simba aaaaah "hata haturingi" na hawarigi kweli na kikosi kibovu kàsoro chama jr tu, kuna yule mkongo yeye kazi yake ni kujipaka vumbi la Kongo alaf akifika kwenye box anamkatia mauno kipa ,analowa,
Kiukweli wanapoelekea watakuwa kama Azam tu.

Chakuwashauri waboreshe kikosi,mbinu na wamrudishe mgunda kama kocha msaidizi.

View attachment 2751392
Mipira haitufanyi tule. Pelekea watoto huko haya mambo
 
Manara uliishaondoka Simba. Simba yetu tuachie wenyewe. Ndio maana tuna msemo, "Hata Haturingi"!
 
Halafu simba hawana hata habari na yanga,wameweka ngao kabatini,wamechukua point zote sita za ligi,CAF wana faida ya goli la away wanakuja kumaliza game nyumbani kimyakimya,makelele wanawaachia utopolo wakati wanasubiri super ligi na wakubwa wenzao ,mpira raha sana

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Sio kwel mkuu
Mm ni kitayose Ila yanga ni noma sasahv
Kama ni kweli kwanini yanga wanaumzia kichwa sana kuthibitishia watu kwamba wao ni wakali,timu kali inahitaji propaganda?? Ligi ndio kwanza imeanza yanga imecheza mechi mbili tu ila wanatumia nguvu nyingi kupiga kelele kuliko uwanjani
 
Tukiweka ushabiki pembeni yanga wako vizuri wakifuatiwa na singida na mashujaa kaka
 
Back
Top Bottom