Ukweli usemwe: Kiukweli Yanga ya sasa hivi ni kali kila idara yaani inatisha

Ukweli usemwe: Kiukweli Yanga ya sasa hivi ni kali kila idara yaani inatisha

Kwa hivi sasa yanga inajitambulisha kwa aina ya soka lake,,,ni soka zuri na la kuvutia...timu yoyote itakayokutana na yanga hivi sasa na uwezo wa wachezaji wao ukawa ni mdogo kuliko wa yanga ni lazima wafungwe.

Hatari ya mfumo wanaocheza yanga ni pale atakapokutana na timu yenye wachezaji wanaofanana kiuwezo na wao hapo yanga ni rahisi kufungwa.

Kwa msimu huu kama hali itaendelea hivi ilivyo kuna hatari ya yanga kufungwa mechi zote mbili na simba.

Yanga ni timu inayocheza sana mpira na simba ni timu inayotafuta sana matokeo bila kujali imechezaje.
 
Hiyo ni kwel
 
Back
Top Bottom