Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 828
- 1,632
Bangii Tamuu mnoo,,Acha kufananisha bangi na upuuzi!!Bangi
Sio bangi tu hadi cocaineBangi
HajuiBangii Tamuu mnoo,,Acha kufananisha bangi na upuuzi!!
Kama uchezaj wao wa Jana sijauelewa kabsaMimi simba lakini,nasema ukweli yanga wamejipanga na wanajua wanataka nini.
Timu yetu sisi sijui hata wale wachezaji wana shida gani wako very slow kama kobe,yani hawana hata wasiwasi kabisa.
Tusiongee sana ila sidhani kama hii timu itafika mbali.
Mpaka sasa nashindwa kuelewa shida iko wapi kwenye timu, je ni wachezaji,kocha,au uongozi?
Mimi simba lakini,nasema ukweli yanga wamejipanga na wanajua wanataka nini.
Timu yetu sisi sijui hata wale wachezaji wana shida gani wako very slow kama kobe,yani hawana hata wasiwasi kabisa.
Tusiongee sana ila sidhani kama hii timu itafika mbali.
Mpaka sasa nashindwa kuelewa shida iko wapi kwenye timu, je ni wachezaji,kocha,au uongozi?
(. )
Mpaka sasa Simba na Power Dynamo wana aggregate ya magoli 2-2 Simba akiwa na advantage ya kufunga ugenini,halafu kwenye msimamo wa ligi Simba amecheza mechi mbili na kishinda zote, kwenye ngao ya hisani The Simba wameichukua ngao hiyo, sijui unataka wafike umbali upi,mdau hebu tuambie.
Ukweli mtupu.Ukweli usemwe tu kama hamtaki niueni mwili wangu mkautupe bandarini usepe na waarabu.
Kiukweli yanga ya sasa hivi ni kali kila idara yaan inatisha.
Mimi kama kitayose naomba tiefefu isinipange kucheza na yanga [emoji120]
Kwa upande wa Simba aaaaah "hata haturingi" na hawarigi kweli na kikosi kibovu kàsoro chama jr tu, kuna yule mkongo yeye kazi yake ni kujipaka vumbi la Kongo alaf akifika kwenye box anamkatia mauno kipa ,analowa,
Kiukweli wanapoelekea watakuwa kama Azam tu.
Chakuwashauri waboreshe kikosi,mbinu na wamrudishe mgunda kama kocha msaidizi.
View attachment 2751392
Jana tumefunga zile goli mbili lakini sijaona mpira wa maana kabisa,bora angalau second halfKama uchezaj wao wa Jana sijauelewa kabsa
Yaan bila timu kujirekebisha tutaingia kwenye aibu kubwaJana tumefunga zile goli mbili lakini sijaona mpira wa maana kabisa,bora angalau second half
Ngoja tuone kama kuna kujirekebisha huko mbeleniYaan bila timu kujirekebisha tutaingia kwenye aibu kubwa
Kama wakiendelea na mpira kama wa Jana Sijui na hiyo siku al ahly wakija huku itakuwajNgoja tuone kama kuna kujirekebisha huko mbeleni
Tutarajie aibu.Kama wakiendelea na mpira kama wa Jana Sijui na hiyo siku al ahly wakija huku itakuwaj
Yaan nashindwa kuzielewa idara zote yaan kuanzia kocha mpk wachezaji hasa walinziTutarajie aibu.
Hivi mkuu wewe pale unahisi shida nini mimi kwakweli sielewi.
Baleke Jana alikuwa anapata nafasi nyingi Ila Sasa anajikuta hana wa kumsaidia kule mbeleTutarajie aibu.
Hivi mkuu wewe pale unahisi shida nini mimi kwakweli sielewi.
Aaah mkuu umenielewa vibayaSawa ila hapo kwenye mwili wako tukautupe bandalin usepe na waarb, huko ni kuhujum uchumi kbs hatutak