Ukweli usemwe: Kiukweli Yanga ya sasa hivi ni kali kila idara yaani inatisha

Yeah mimi pia natamani Mgunda arudi mkuu, angalau ajamaa walikuwa wanacheza na kujituma kwa nguvu, ila sasa shida ya timu yetu utashangaa wanasajili kipa mwingine [emoji3]
 
Poleni sana
 
Mipira haitufanyi tule. Pelekea watoto huko haya mambo
 
Manara uliishaondoka Simba. Simba yetu tuachie wenyewe. Ndio maana tuna msemo, "Hata Haturingi"!
 
Halafu simba hawana hata habari na yanga,wameweka ngao kabatini,wamechukua point zote sita za ligi,CAF wana faida ya goli la away wanakuja kumaliza game nyumbani kimyakimya,makelele wanawaachia utopolo wakati wanasubiri super ligi na wakubwa wenzao ,mpira raha sana

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Sio kwel mkuu
Mm ni kitayose Ila yanga ni noma sasahv
Kama ni kweli kwanini yanga wanaumzia kichwa sana kuthibitishia watu kwamba wao ni wakali,timu kali inahitaji propaganda?? Ligi ndio kwanza imeanza yanga imecheza mechi mbili tu ila wanatumia nguvu nyingi kupiga kelele kuliko uwanjani
 
Tukiweka ushabiki pembeni yanga wako vizuri wakifuatiwa na singida na mashujaa kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…