happyxxx
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 604
- 1,970
Mikutano ya ikulu kimya kimya akienda peke yake.
Ishu ya wabunge wa covid 19 alivyokuwa anawatafuta kimya kimya
Kufanya negotiation wakati walishafukuzwa mpakaa kutaka kumuonga kazi Halima Mdee.
Namna alivyokuwa anawafunga mdomo vijana wa Chadema wasipambane na CCM & Act kwenye hotuba yake kwenye baraza kuu.
Namna alivyotokà jela na kuizima join the chain kwa ustadi mkubwa.
Ni wazi kuna jambo analiandaa na anawandaa wafuasi wake kisaikolojia waanze kulipokea.
Waliostuka wameanza kuhoji huu mwenendo wa mwenyekiti.
Hizi ni zaidi ya busara huu ni muandalio wa usaliti mkubwa unaokuja.