Ostrich eggs
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 638
- 453
Ndoto za kishetani zitakutesa sanaMbowe alishafika bei muda tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto za kishetani zitakutesa sanaMbowe alishafika bei muda tu.
Kwani uwepo wa upinzani una maana ya kuchoka kwa wananchi?Sijui kwanini watu hawalilioni hili, hata CCM walitakiwa wajue, bora upinzani wa vyama vilivyosajiliwa kuliko vyama visivyo rasmi (wananchi) wakichoka, huwa wanachukua hatua zisizo rafiki, mifano ipo mingi Duniani.
Sasa kwanini Lowassa kuletwa chadema ilionekana ni Mbowe kubadili gear? Nani alichezeshwa muziki wa mwenzio kati ya Mbowe na nyie?
Ok wamwache atuvusheUpinzani imara na wa uhakika upo mioyoni wa Wananchi, unadhani miaka yote hiyo CDM inapendwa kwa uadilifu au kuwa na wasafi, ishu ni kwamba madhila yakizidi wananchi wataamua yoyote yule awaongoze, so hata Mbowe akiondoka haimaniishi upinzani umekufa, aliondoka Mrema NCCR na bado upinzani upo, Magufuli alinunua wapinzani wakutosha tu, na bado upinzani ulimnyima usingizi.
NI kweli, ila songa ugali ule ulale Una njaa sanaSijui kwanini watu hawalilioni hili, hata CCM walitakiwa wajue, bora upinzani wa vyama vilivyosajiliwa kuliko vyama visivyo rasmi (wananchi) wakichoka, huwa wanachukua hatua zisizo rafiki, mifano ipo mingi Duniani.
Hakuna kosa hapo mkuu na ndio maana hakujawahi kuombwa msamaha, sioni wa kumchezesha Mbowe hapo Chadema bali yeye ndio anaweza kuwachezesha.Kutenda kosa si kosa, bali kurudia, una jingine kwa msaada zaidi.
Kimya kimya kimya ndio mwendoMikutano ya ikulu kimya kimya akienda peke yake.
Ishu ya wabunge wa covid 19 alivyokuwa anawatafuta kimya kimya
Kufanya negotiation wakati walishafukuzwa mpakaa kutaka kumuonga kazi Halima Mdee.
Namna alivyokuwa anawafunga mdomo vijana wa Chadema wasipambane na CCM & Act kwenye hotuba yake kwenye baraza kuu.
Namna alivyotokà jela na kuizima join the chain kwa ustadi mkubwa.
Ni wazi kuna jambo analiandaa na anawandaa wafuasi wake kisaikolojia waanze kulipokea.
Waliostuka wameanza kuhoji huu mwenendo wa mwenyekiti.
Hizi ni zaidi ya busara huu ni muandalio wa usaliti mkubwa unaokuja.
Hapana Chief, upinzani mara zote umekuwa unasema yale ambayo Serikali haiyasemi, upinzani unakosoa pale Serikali inapokwenda tofauti, naamini unajua mengi yaliyosemwa na Upinzani hapa Tanzania na Serikali ikachukua hatua, ila sasa upinzani unapominywa na kukosa pumzi, hapo ndio kunakuwa na tatizo hasa shida zikizidi kwa Wananchi.Kwani uwepo wa upinzani una maana ya kuchoka kwa wananchi?
Hakuna kosa hapo mkuu na ndio maana hakujawahi kuombwa msamaha, sioni wa kumchezesha Mbowe hapo Chadema bali yeye ndio anaweza kuwachezesha.
Mbowe ana akili na busara kuliko mumeo,Mikutano ya ikulu kimya kimya akienda peke yake.
Ishu ya wabunge wa covid 19 alivyokuwa anawatafuta kimya kimya
Kufanya negotiation wakati walishafukuzwa mpakaa kutaka kumuonga kazi Halima Mdee.
Namna alivyokuwa anawafunga mdomo vijana wa Chadema wasipambane na CCM & Act kwenye hotuba yake kwenye baraza kuu.
Namna alivyotokà jela na kuizima join the chain kwa ustadi mkubwa.
Ni wazi kuna jambo analiandaa na anawandaa wafuasi wake kisaikolojia waanze kulipokea.
Waliostuka wameanza kuhoji huu mwenendo wa mwenyekiti.
Hizi ni zaidi ya busara huu ni muandalio wa usaliti mkubwa unaokuja.
Ulikuwa umesimama kwa wapi hadi ukahakikisha Mnyika anavyompenda mke wake?Vijana wa chadema hawafanyi shughuli za kiuchumi eti wanasubiri chama kije kiwakomboe, kazi ndio ukombozi wako, wewe andamana, uvunjwe kiuno, uone kama Mbowe atakuletea hata dagaa.
Mtu kama Mnyika anavyompenda Mkewe, unadhani atakubali huo ujinga
Kwa jinsi anavyotaka kuendesha Chadema bila ushirikiano na viongozi wenzie kwenye maamuzi ya muelekeo wa chama,muda si mrefu Chadema hakitakuwa tena chama cha siasa bali kundi la watu linaloongozwa na MWINYI ( Aristocratic movement)!Mikutano ya ikulu kimya kimya akienda peke yake.
Ishu ya wabunge wa covid 19 alivyokuwa anawatafuta kimya kimya
Kufanya negotiation wakati walishafukuzwa mpakaa kutaka kumuonga kazi Halima Mdee.
Namna alivyokuwa anawafunga mdomo vijana wa Chadema wasipambane na CCM & Act kwenye hotuba yake kwenye baraza kuu.
Namna alivyotokà jela na kuizima join the chain kwa ustadi mkubwa.
Ni wazi kuna jambo analiandaa na anawandaa wafuasi wake kisaikolojia waanze kulipokea.
Waliostuka wameanza kuhoji huu mwenendo wa mwenyekiti.
Hizi ni zaidi ya busara huu ni muandalio wa usaliti mkubwa unaokuja.
kama ni nyeti basi Mbowe kawabonyeza kisawa sawa pale Lumumba, hamuishii kumtaja taja aisee !!Mikutano ya ikulu kimya kimya akienda peke yake.
Ishu ya wabunge wa covid 19 alivyokuwa anawatafuta kimya kimya
Kufanya negotiation wakati walishafukuzwa mpakaa kutaka kumuonga kazi Halima Mdee.
Namna alivyokuwa anawafunga mdomo vijana wa Chadema wasipambane na CCM & Act kwenye hotuba yake kwenye baraza kuu.
Namna alivyotokà jela na kuizima join the chain kwa ustadi mkubwa.
Ni wazi kuna jambo analiandaa na anawandaa wafuasi wake kisaikolojia waanze kulipokea.
Waliostuka wameanza kuhoji huu mwenendo wa mwenyekiti.
Hizi ni zaidi ya busara huu ni muandalio wa usaliti mkubwa unaokuja.
Mume wako na Mbowe nani mwenye akili zaidi?Mbowe ana akili na busara kuliko mumeo,
Anaenda ikulu akiitwa na anaenda kwa utiifu mkubwa kwa kuwa ana busara nyingi, mbowe hajawahi kutukana hovyo na ndo maana amepata watetezi wengi akiwa gerezani.
Huwezi mfananisha mbowe na mumeo
Sasa hapo mkuu uongo ni upi labda hadi useme ni porojo nilichokieleza?Hapa ndio unaona unanijaza, mimi sio ndezi wa bei rahisi kwa hizi porojo zako boss. Kawajaze washamba wenzio wa huko bush.
Sasa hapo mkuu uongo ni upi labda hadi useme ni porojo nilichokieleza?
Wakati utasema.Sasa anaupiga mwingi wapi mkuu mbona hatuoni tena movements za katiba mpya?