Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Mimi sikupangii bali naeleza uhalisia uliyopo, wewe unataka kujiaminisha kwamba Cdm ni kubwa kuliko Mbowe kwamba Mbowe si lolote si chochote, ila kwa bahati mbaya uhalisia haupo hivyo.Mkuu unadhani mimi ni kunichota mawazo kindezi hivyo? Yaani ww ni wa kunipangia ni hatua zipi au maamuzi gani nichukue dhidi ya mtu fulani?