Kusikia au kutisikika sio tatizo, hizo ni propaganda za wanasiasa, lini wewe ulisikia mara ya mwisho kuhusu kilimo cha kufa na kupona?hadi leo nchi yetu tunaagiza mahindi, sukari, na mafuta ya kupikia!na budget ya kilimo ni less than 10%na kila mwaka tuna graduates 🎓 kibao kutoka mzumbe..wanakwenda wapi hawa..mbona kilimo chetu bado cha kijima?achana na Mr.Mbowe au kwako mada yako unaona itakuwa ovyo bila kumtaja Mr.Mbowe?Mkuu mara ya mwisho kusikia join the chain ni lini?