Punguani kama mjombako jpmMikutano ya ikulu kimya kimya akienda peke yake.
Ishu ya wabunge wa covid 19 alivyokuwa anawatafuta kimya kimya
kufanya negotiation wakati walishafukuzwa mpakaa kutaka kumuonga kazi Halima Mdee.
Namna alivyokuwa anawafunga mdomo vijana wa Chadema wasipambane na CCM & Act kwenye hotuba yake kwenye baraza kuu.
Namna alivyotokà jela na kuizima join the chain kwa ustadi mkubwa.
Ni wazi kuna jambo analiandaa na anawandaa wafuasi wake kisaikolojia waanze kulipokea.
Waliostuka wameanza kuhoji huu mwenendo wa mwenyekiti.
Hizi ni zaidi ya busara huu ni muandalio wa usaliti mkubwa unaokuja.
ChagademMakasiriko ya chief Hangaya kisa Mbowe anaupiga mwingi 😁😁😁View attachment 2228367
Sasa anaupiga mwingi wapi mkuu mbona hatuoni tena movements za katiba mpya?Upinzani imara na wa uhakika upo mioyoni wa Wananchi, unadhani miaka yote hiyo CDM inapendwa kwa uadilifu au kuwa na wasafi, ishu ni kwamba madhila yakizidi wananchi wataamua yoyote yule awaongoze, so hata Mbowe akiondoka haimaniishi upinzani umekufa, aliondoka Mrema NCCR na bado upinzani upo, Magufuli alinunua wapinzani wakutosha tu, na bado upinzani ulimnyima usingizi.
Umeshakula maharage, umevimbiwa ila sehemu ya kujambajamba umeona uje JF.Mikutano ya ikulu kimya kimya akienda peke yake.
Ishu ya wabunge wa covid 19 alivyokuwa anawatafuta kimya kimya
kufanya negotiation wakati walishafukuzwa mpakaa kutaka kumuonga kazi Halima Mdee.
Namna alivyokuwa anawafunga mdomo vijana wa Chadema wasipambane na CCM & Act kwenye hotuba yake kwenye baraza kuu.
Namna alivyotokà jela na kuizima join the chain kwa ustadi mkubwa.
Ni wazi kuna jambo analiandaa na anawandaa wafuasi wake kisaikolojia waanze kulipokea.
Waliostuka wameanza kuhoji huu mwenendo wa mwenyekiti.
Hizi ni zaidi ya busara huu ni muandalio wa usaliti mkubwa unaokuja.
Kuanzia Tu namna alivyotoka pale ndo Mabadiliko yake yalianza, Ila inasemwa hakuna mtu ambae Hana bei.Mikutano ya ikulu kimya kimya akienda peke yake.
Ishu ya wabunge wa covid 19 alivyokuwa anawatafuta kimya kimya
kufanya negotiation wakati walishafukuzwa mpakaa kutaka kumuonga kazi Halima Mdee.
Namna alivyokuwa anawafunga mdomo vijana wa Chadema wasipambane na CCM & Act kwenye hotuba yake kwenye baraza kuu.
Namna alivyotokà jela na kuizima join the chain kwa ustadi mkubwa.
Ni wazi kuna jambo analiandaa na anawandaa wafuasi wake kisaikolojia waanze kulipokea.
Waliostuka wameanza kuhoji huu mwenendo wa mwenyekiti.
Hizi ni zaidi ya busara huu ni muandalio wa usaliti mkubwa unaokuja.
Wanasema kiongozi mzuri ni anaejua wakati wa kuingia na wakati wa kutoka. Uhenda mwamba akili ya kutuvusha imechoka au muamala umetembea.Sidhani kama anaisaliti per se!
Siku nilipoona Mboe anaingizwa korokoroni, ndiyo siku niliyoamini kuwa kweli 'madawa' ya Mboe yameisha nguvu...
Wewe umeifanyia nini nchi?au hizo comfort zone ndio zinakupa ujeuri wa kuhoji hili, why unamfanya Mr.Mbowe awe ndiye mpigania wa haki zako?muda mwingine just try to shut up, middle class aliyeridhika na haelewi huku lingusenguse watu wanapoteza maisha kwa maradhi yanayotibika, kisa wao wakiugua ni India au med clinics or netcareMbowe anaupiga mwingi wapi mkuu, mbona hatuoni tena movements za katiba mpya?
Punguza mihemko na usimalize maneno.Umeshakula maharage, umevimbiwa ila sehemu ya kujambajamba umeona uje JF.
Propaganda za kipuuzi za enzi za Wilson Mukama wewe ndio unaleta leo?
Ile timu ya watu 10 itakayokutana na Rais na timu yake ni ya chama gani?
Punguwani wahed.
Mkuu mara ya mwisho kusikia join the chain ni lini?Wewe umeifanyia nini nchi?au hizo comfort zone ndio zinakupa ujeuri wa kuhoji hili, why unamfanya Mr.Mbowe awe ndiye mpigania wa haki zako?muda mwingine just try to shut up, middle class aliyeridhika na haelewi huku lingusenguse watu wanapoteza maisha kwa maradhi yanayotibika, kisa wao wakiugua ni India au med clinics or netcare
Kajambe.Punguza mihemko na usimalize maneno.
Kwenye maadhimio ya baraza kuu umeona lolote jipya la kupigania haki?
Akuvushe wewe na nani? Kwenda wapi?Wanasema kiongozi mzuri ni anaejua wakati wa kuingia na wakati wa kutoka. Uhenda mwamba akili ya kutuvusha imechoka au muamala umetembea.