Kusikia au kutisikika sio tatizo, hizo ni propaganda za wanasiasa, lini wewe ulisikia mara ya mwisho kuhusu kilimo cha kufa na kupona?hadi leo nchi yetu tunaagiza mahindi, sukari, na mafuta ya kupikia!na budget ya kilimo ni less than 10%na kila mwaka tuna graduates 🎓 kibao kutoka mzumbe..wanakwenda wapi hawa..mbona kilimo chetu bado cha kijima?achana na Mr.Mbowe au kwako mada yako unaona itakuwa ovyo bila kumtaja Mr.Mbowe?Mkuu mara ya mwisho kusikia join the chain ni lini?
Upinzani imara na wa uhakika upo mioyoni wa Wananchi, unadhani miaka yote hiyo CDM inapendwa kwa uadilifu au kuwa na wasafi, ishu ni kwamba madhila yakizidi wananchi wataamua yoyote yule awaongoze, so hata Mbowe akiondoka haimaniishi upinzani umekufa, aliondoka Mrema NCCR na bado upinzani upo, Magufuli alinunua wapinzani wakutosha tu, na bado upinzani ulimnyima usingizi.
Hakuna mtu mwenye akili zake timamu atakuamini, iacheni Chadema ifanye kazi yake ya kuwakomboa watanzania kutoka utumwa wa CCM.Mikutano ya ikulu kimya kimya akienda peke yake.
Ishu ya wabunge wa covid 19 alivyokuwa anawatafuta kimya kimya
kufanya negotiation wakati walishafukuzwa mpakaa kutaka kumuonga kazi Halima Mdee.
Namna alivyokuwa anawafunga mdomo vijana wa Chadema wasipambane na CCM & Act kwenye hotuba yake kwenye baraza kuu.
Namna alivyotokà jela na kuizima join the chain kwa ustadi mkubwa.
Ni wazi kuna jambo analiandaa na anawandaa wafuasi wake kisaikolojia waanze kulipokea.
Waliostuka wameanza kuhoji huu mwenendo wa mwenyekiti.
Hizi ni zaidi ya busara huu ni muandalio wa usaliti mkubwa unaokuja.
Kwenye maadhimio ndiko wapi huko!Punguza mihemko na usimalize maneno.
Kwenye maadhimio ya baraza kuu umeona lolote jipya la kupigania haki?
Umelipwa how much? Nendeni tu Umoja Party hakuna haja ya keleleMikutano ya ikulu kimya kimya akienda peke yake.
Ishu ya wabunge wa covid 19 alivyokuwa anawatafuta kimya kimya
kufanya negotiation wakati walishafukuzwa mpakaa kutaka kumuonga kazi Halima Mdee.
Namna alivyokuwa anawafunga mdomo vijana wa Chadema wasipambane na CCM & Act kwenye hotuba yake kwenye baraza kuu.
Namna alivyotokà jela na kuizima join the chain kwa ustadi mkubwa.
Ni wazi kuna jambo analiandaa na anawandaa wafuasi wake kisaikolojia waanze kulipokea.
Waliostuka wameanza kuhoji huu mwenendo wa mwenyekiti.
Hizi ni zaidi ya busara huu ni muandalio wa usaliti mkubwa unaokuja.
Tofauti ya CHADEMA na vyama vingine ni kwamba hicho chama ni mali binafsi ya Mbowe aliyorithishwa na mkwewe. Hao wanachama anawaona kama misukule tu. Akiondoka Mbowe ni kifo cha CHADEMAUpinzani imara na wa uhakika upo mioyoni wa Wananchi, unadhani miaka yote hiyo CDM inapendwa kwa uadilifu au kuwa na wasafi, ishu ni kwamba madhila yakizidi wananchi wataamua yoyote yule awaongoze, so hata Mbowe akiondoka haimaniishi upinzani umekufa, aliondoka Mrema NCCR na bado upinzani upo, Magufuli alinunua wapinzani wakutosha tu, na bado upinzani ulimnyima usingizi.
Kufa kwa CHADEMA sio kufa kwa upinzani.Tofauti ya CHADEMA na vyama vingine ni kwamba hicho chama ni mali binafsi ya Mbowe aliyorithishwa na mkwewe. Hao wanachama anawaona kama misukule tu. Akiondoka Mbowe ni kifo cha CHADEMA
Sijui kwanini watu hawalilioni hili, hata CCM walitakiwa wajue, bora upinzani wa vyama vilivyosajiliwa kuliko vyama visivyo rasmi (wananchi) wakichoka, huwa wanachukua hatua zisizo rafiki, mifano ipo mingi Duniani.Exactly, kuna watu wanaamini Mbowe ndio dira ya upinzani, bila kujua Mbowe alicheza tu beat tunayoitaka. Na hata sasa akicheza mirindimo tofauti ndio atajua watu hawakufuata sura yake.
Hakuna sehemu niliyosema anaupiga mwingi, mimi nimesema usaliti wa Mbowe(Kama unavyotabiri wewe) hata akiondoka CDM haimaanishi upinzani utakufa, viongozi wa vyama wanaweza kununuliwa wote ila sio Wananchi.Sasa anaupiga mwingi wapi mkuu mbona hatuoni tena movements za katiba mpya?
Cdm Wana laana ya kumkataa mzalendo hawatakuja kusimama tenaSidhani kama anaisaliti per se!
Siku nilipoona Mboe anaingizwa korokoroni, ndiyo siku niliyoamini kuwa kweli 'madawa' ya Mboe yameisha nguvu...
Kumbe nawe waitaka Katiba Mpya, utakuwa umechoka kuwasifia wengine wewe ukiendelea kuumwa njaa.Sasa anaupiga mwingi wapi mkuu mbona hatuoni tena movements za katiba mpya?
Kama wewe unavyojikomboa katika uchumi wa bando kwa kwa kuimba mapambio kwa Chama kongwe kilichoshindwa kuikomboa nchi Kiuchumi kwa miaka zaidi ya sitini sasaVijana wa chadema hawafanyi shughuli za kiuchumi eti wanasubiri chama kije kiwakomboe, kazi ndio ukombozi wako, wewe andamana, uvunjwe kiuno, uone kama Mbowe atakuletea hata dagaa.
Mtu kama Mnyika anavyompenda Mkewe, unadhani atakubali huo ujinga
Mawazo ya kitoto sana.Mikutano ya ikulu kimya kimya akienda peke yake.
Ishu ya wabunge wa covid 19 alivyokuwa anawatafuta kimya kimya
Kufanya negotiation wakati walishafukuzwa mpakaa kutaka kumuonga kazi Halima Mdee.
Namna alivyokuwa anawafunga mdomo vijana wa Chadema wasipambane na CCM & Act kwenye hotuba yake kwenye baraza kuu.
Namna alivyotokà jela na kuizima join the chain kwa ustadi mkubwa.
Ni wazi kuna jambo analiandaa na anawandaa wafuasi wake kisaikolojia waanze kulipokea.
Waliostuka wameanza kuhoji huu mwenendo wa mwenyekiti.
Hizi ni zaidi ya busara huu ni muandalio wa usaliti mkubwa unaokuja.
Bandugu,Tofauti ya CHADEMA na vyama vingine ni kwamba hicho chama ni mali binafsi ya Mbowe aliyorithishwa na mkwewe. Hao wanachama anawaona kama misukule tu. Akiondoka Mbowe ni kifo cha CHADEMA
Sasa kwanini Lowassa kuletwa CHADEMA ilionekana ni Mbowe kubadili gear? Nani alichezeshwa muziki wa mwenzio kati ya Mbowe na nyie?Exactly, kuna watu wanaamini Mbowe ndio dira ya upinzani, bila kujua Mbowe alicheza tu beat tunayoitaka. Na hata sasa akicheza mirindimo tofauti ndio atajua watu hawakufuata sura yake.