Mimi sikupangii bali naeleza uhalisia uliyopo, wewe unataka kujiaminisha kwamba Cdm ni kubwa kuliko Mbowe kwamba Mbowe si lolote si chochote, ila kwa bahati mbaya uhalisia haupo hivyo.Mkuu unadhani mimi ni kunichota mawazo kindezi hivyo? Yaani ww ni wa kunipangia ni hatua zipi au maamuzi gani nichukue dhidi ya mtu fulani?
Mbowe amekunywa maji ya bendera ww umeleta uzi ili mabwana zako wakuone nawe upo uchukue senti ukale usogezwe maisha ukisubiria labda uteuzi hata kwenye chaguzi za mataga.Mikutano ya ikulu kimya kimya akienda peke yake.
Ishu ya wabunge wa covid 19 alivyokuwa anawatafuta kimya kimya
Kufanya negotiation wakati walishafukuzwa mpakaa kutaka kumuonga kazi Halima Mdee.
Namna alivyokuwa anawafunga mdomo vijana wa Chadema wasipambane na CCM & Act kwenye hotuba yake kwenye baraza kuu.
Namna alivyotokà jela na kuizima join the chain kwa ustadi mkubwa.
Ni wazi kuna jambo analiandaa na anawandaa wafuasi wake kisaikolojia waanze kulipokea.
Waliostuka wameanza kuhoji huu mwenendo wa mwenyekiti.
Hizi ni zaidi ya busara huu ni muandalio wa usaliti mkubwa unaokuja.
Mimi sikupangii bali naeleza uhalisia uliyopo, wewe unataka kujiaminisha kwamba Cdm ni kubwa kuliko Mbowe kwamba Mbowe si lolote si chochote, ila kwa bahati mbaya uhalisia haupo hivyo.
Mimi sijaongelea nachoamini bali nimeeleza uhalisia ulivyo ni jambo ambalo lipo wazi halihitaji imani ya mtu, kwahiyo wewe amini hivyo unavyoamini una uhuru huo ila uhalisi ndio huo niliyokueleza.Sasa unachoamini ww sio lazima na mimi niamini hivyo. Unakwama wapi?
Mimi sijaongelea nachoamini bali nimeeleza uhalisia ulivyo ni jambo ambalo lipo wazi halihitaji imani ya mtu, kwahiyo wewe amini hivyo unavyoamini una uhuru huo ila uhalisi ndio huo niliyokueleza.
Duh! Sawa.Huo sio uhalisia bali hayo ndio matamanio yako.
Kwanza nashukuru umekiri kuwa una mabwana zako.Na wewe umeandika hii comment ili bwana ako aone au sio?
Mmmhhhh kwa namna unavyoandika inaonekana kabisa wewe sio rizki 🥺Kwanza nashukuru umekiri kuwa una mabwana zako.
Hongera ila angalia utazidisha idadi ya waathirika waliotangazwa juzi na Ummy.
Kila la heri kwenye nafasi yako ya uchawa.
Nipe nikuonje utajua hujui.Mmmhhhh kwa namna unavyoandika inaonekana kabisa wewe sio rizki 🥺
Namwonea huruma yule mbaiwayu wa cdm(Godbless Lema ) kwa maana yeye amebaki na matusi yake tu .Kimsingi marehemu magufuli alifanya kosa kubwa saaana kutokumfunga huyu kiumbe .Sikujia ni mjinga kiasi hikiMikutano ya ikulu kimya kimya akienda peke yake.
Ishu ya wabunge wa covid 19 alivyokuwa anawatafuta kimya kimya
Kufanya negotiation wakati walishafukuzwa mpakaa kutaka kumuonga kazi Halima Mdee.
Namna alivyokuwa anawafunga mdomo vijana wa Chadema wasipambane na CCM & Act kwenye hotuba yake kwenye baraza kuu.
Namna alivyotokà jela na kuizima join the chain kwa ustadi mkubwa.
Ni wazi kuna jambo analiandaa na anawandaa wafuasi wake kisaikolojia waanze kulipokea.
Waliostuka wameanza kuhoji huu mwenendo wa mwenyekiti.
Hizi ni zaidi ya busara huu ni muandalio wa usaliti mkubwa unaokuja.
Ukweli usemwe kuna dalili Serikali inawabeba covidMikutano ya ikulu kimya kimya akienda peke yake.
Ishu ya wabunge wa covid 19 alivyokuwa anawatafuta kimya kimya
Kufanya negotiation wakati walishafukuzwa mpakaa kutaka kumuonga kazi Halima Mdee.
Namna alivyokuwa anawafunga mdomo vijana wa Chadema wasipambane na CCM & Act kwenye hotuba yake kwenye baraza kuu.
Namna alivyotokà jela na kuizima join the chain kwa ustadi mkubwa.
Ni wazi kuna jambo analiandaa na anawandaa wafuasi wake kisaikolojia waanze kulipokea.
Waliostuka wameanza kuhoji huu mwenendo wa mwenyekiti.
Hizi ni zaidi ya busara huu ni muandalio wa usaliti mkubwa unaokuja.
Lazima uvunjwe mguu ukiandamana kudai haki??Vijana wa chadema hawafanyi shughuli za kiuchumi eti wanasubiri chama kije kiwakomboe, kazi ndio ukombozi wako, wewe andamana, uvunjwe kiuno, uone kama Mbowe atakuletea hata dagaa.
Mtu kama Mnyika anavyompenda Mkewe, unadhani atakubali huo ujinga
Punguani kama mjombako jpm