Ukweli usemwe, mkikosoa basi mjue na kupongeza pia, Mama anatisha

Kushusha bei ni mchakato, kama mafuta yameshuka na nauli zitashuka tu, eidha kwa mchakato au kwa kulazimishwa na soko
 
Huu ni mwezi wa sita au zaidi, petroli, diesel na mafuta ya taa yanashuka bei kila mwezi, hivi hamuoni au dharau?

Au mnangoja yapande ndio mlaumu?

Mkijua kulaumu mjue na kupongeza.
Mama mpaka achoke mwenyewe
Ana visima vya mafuta wapi?
 
Huu ni mwezi wa sita au zaidi, petroli, diesel na mafuta ya taa yanashuka bei kila mwezi, hivi hamuoni au dharau?

Au mnangoja yapande ndio mlaumu?

Mkijua kulaumu mjue na kupongeza.
Mama mpaka achoke mwenyewe
Mama yako labda anatisha nyumbani kwako wewe ,hizo story kawaambie labda mume wako na watoto wako huku mtwara hatuna umeme wa uhakika so hatutaki shobo
 
Huu ni mwezi wa sita au zaidi, petroli, diesel na mafuta ya taa yanashuka bei kila mwezi, hivi hamuoni au dharau?

Au mnangoja yapande ndio mlaumu?

Mkijua kulaumu mjue na kupongeza.
Mama mpaka achoke mwenyewe
Ukipongeza wewe inatosha,tusipangiane maisha.
 
Kilaza anajua ni kazi ya mama Abdul.
 
Huu ni mwezi wa sita au zaidi, petroli, diesel na mafuta ya taa yanashuka bei kila mwezi, hivi hamuoni au dharau?

Au mnangoja yapande ndio mlaumu?

Mkijua kulaumu mjue na kupongeza.
Mama mpaka achoke mwenyewe
Utakuwa umejisahau, huwa mnasema hampangi bei ya mafuta, sasa hizi sifa ni za nini mnataka sasa?
 
Hata amani tuliyonayo inatosha kushukuru mkuu
Hii ni amani au uvumilivu?
Kilichopo ni Watawala na kundi (class) flani ambayo inafaidi keki ya Taifa Kwa ukaribu hasa (business and political class) wanaoomba amani kwao Yani wakae Kwa amani bila kubugidhiwa na kundi la watu walio wengi hasa lower and middle class.

Ndio mana mtu yeyote anayejatibu kuraise politicala awareness au mass consciousness anatajwa kama mtu anayehatarisha amani ya nchi. Sio amani ya nchi ni amani ya Watawala..

Mtu yeyote anayewakumbusha Watawala kuwajibika Kwa Wananchi Kwa kufuata misingi ya utawala Bora na Haki, mara nyingi anashitumiwa kuhatarisha amani ya nchi jambo ambalo kiuhalisia ni amani ya Watawala.
Kuna neno wanasema siku hizi kuzua taharuki, wakati wao Ndio Huwa wanatahayari na kukumbwa na taharuki! Wamejitungia Sheria nyingi za kuwalinda dhidi ya uwajibikaji na utawala wa Sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ