Ukweli usemwe, mkikosoa basi mjue na kupongeza pia, Mama anatisha

Hawa Wakonongo ukiwaambia hivyo wanaweza hata kumsifia zaidi Samia kwa kushusha bei ya mafuta ya dunia nzima 😂😂😂
 
Kikubwa hakuna vita mkuu
 
Hakuna chochote kilichofanyika kushusha bei! Bei imeshuka kwa sababu ya bei kushuka kwenye soko la dunia. Mwezi ujao yatashuka zaidi baada ya kushuka kwa dola.
 
Huu ni mwezi wa sita au zaidi, petroli, diesel na mafuta ya taa yanashuka bei kila mwezi, hivi hamuoni au dharau?

Au mnangoja yapande ndio mlaumu?

Mkijua kulaumu mjue na kupongeza.
Mama mpaka achoke mwenyewe
Fundi Bora ni yule mwenye kutatua au kudhibiti tatizo.
 
Huu ni mwezi wa sita au zaidi, petroli, diesel na mafuta ya taa yanashuka bei kila mwezi, hivi hamuoni au dharau?

Au mnangoja yapande ndio mlaumu?

Mkijua kulaumu mjue na kupongeza.
Mama mpaka achoke mwenyewe
Mahindi hayaoti kwenye lami
 
Mbona point ipo wazi kabisa?
Ikipanda na apondwe, ikishuka na asifiwe,

Sasa nyie ikipanda mumponde, ila ikishuka ni yenyewe imejishusha,

Huko shuleni mlienda kusomea ujinga?

Sasa akili hamna, basi hata za kuzaliwa pia?

Chuki hazikuwahi kumwacha mtu salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…