Ukweli usemwe: Msanii Harmonize bado anashikilia rekodi ya Album bora lakini Darasa atatu-suprise mwaka huu kupitia album yake(Slave becomes King)

Ukweli usemwe: Msanii Harmonize bado anashikilia rekodi ya Album bora lakini Darasa atatu-suprise mwaka huu kupitia album yake(Slave becomes King)

Una uelewa mdogo Soma vizuri hiyo comment alafu jiulize ulichocomment na nilichocomment kinafanana?
Mbona jamaa kaongea wazi we unachoongelea hakipo..

Chawa tangu lini ukawa na IQ kubwa?
Sina la kubishana na mkata viuno wa mondi ...

Kaolewe dogo
 
Mbona jamaa kaongea wazi we unachoongelea hakipo..

Chawa tangu lini ukawa na IQ kubwa?
Sina la kubishana na mkata viuno wa mondi ...

Kaolewe dogo
Hii ndio shida ya kupenda msanii badala ya mziki
 
Kama hujasikiliza album ya dizasta vina hutokuwa sahihi kufanya jumuisho hili. Sikumbuki kusikia uandishi Bora zaidi kwenye muziki wetu hata kwingine Afrika mashariki kwa miaka ya hivi karibuni.

If lyricism means anything, complementary production and all around coherence expected of a body of artistic work, this one is for the record books.
 
Hii ndio shida ya kupenda msanii badala ya mziki
Ndo nakushangaa mpka umekuwa mke wake Huyo msanii.

Kwanza ili ushuhudie utahira wako
Je kichwa cha habari hapo kinasemaje halafu ndo ujue jinsi ulivyo kichaa...
 
Binafsi namkubali sana darara, ila ukiniuliza kuhusu album bora ntakuambia ziko mbili tu kwa hapa Tz.

1. Aka Mimi ya Albert Mangwea 2004
2. Elim dunia ya Daz baba 2005

Labda na umri nao unachangia kuto pata radha ya miziki ya kipindi hiki, siwezi sikiliza album nzima, ila kwa mangwea na daz baba nilisikiliza na hata leo ninasikiliza bila shida yeyote.

Respect kwa darasa ni fighter, maana tangia enzi hizo amefight mpaka leo anaonekana na kusikika ila kama hustle sana jamaaa na hakati tamaa.

I stand to be corrected though!
 
Unazungumzia album bora ya mwaka au album bora ya wakati wote? Ya mwaka naweza kukubalia kwavile miaka hii hakuna album nyingi za kuzishindanisha, ila ukizungumzia album bora za wakati wote hiyo ya Mmakonde ni takataka mbele ya Album kama Machozi Jasho na Damu, Ulimwengu ndio mama, Aka Mimi, Cinderella, Machozi ya Jide, Mama ya Banana, n.k

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
ila hiyo album ya n.k ndio bora kuliko zote ulizozitaja
 
Back
Top Bottom