Ukweli usemwe: Nandy anamuogopa sana Zuchu

Pumba tupu bland ya nandy bado iko jùu sana...zuchu bado atasubiri sana!...zuchu ni lebo tu ndio inambeba ila ingekua nandy ndo ana management ya zuchu sijui ingekuaje
Zuchu wala hana presha mwenye presha ni Nandy ndio maana anaangaika anajishuku.
 
Nandi ni nani na Zuchu ni nani? Wanajishughulisha na nini? Kama ni walimu wanafundisha mkoa gani? Kama ni madaktari wapo mkoa gani? Zuku na Nandi ni ME au KE?
Wakikujibu nitag, maana hawa wanaume wa daslam wanavyobishania watu wa huko dar utafikiri hao watu wanajulikana mpaka huku Biharamulo
 
Nandi ni nani na Zuchu ni nani? Wanajishughulisha na nini? Kama ni walimu wanafundisha mkoa gani? Kama ni madaktari wapo mkoa gani? Zuku na Nandi ni ME au KE?
Naungana nawewe nandi na zuchu ni walimu wanafundisha mkoa gani..?
 
Kongole kwako Uncle Shamte, kumbe kazi ya uchawa inakufaa
 
Huwa nashangaa sanaa kila mkiweka battle ya Nandy na Zuchu, lazima muhusishe Vanessa,

Vanessa alishapita huko kotee ambako hata kina nandy na zuchu hawawezi fikaa kamwee. Yaan Vanessa huyu aliyemshinda Simi na kimani, nakuwa no 3 baada ya Tiwa na Yemi ndo awe level 1 na nandera au Zuhura?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Weee kidampaaa ukiwa unawazungumzia hawa watu wako ambao wana biffu za kubumba, usimuhusishe Vee, muache kabisaa, huo uraibu wala hauhusiani na Ujio wa Nandy, yaan nandy huyu aliye galagazwa na Vee kule Kenya, na kuwa Female artist miaka 3 mfululizo East Africa. Nandy useme kwa Ruby utakua na mashiko., acha kuandika usivyo vijua.

Sio Zuhura wako wala Nandera watakao fika hata nusu ya Vanessa, na kwa kukujaziaa yuko zake USA analea watoto wake wawili. Afu shida ndogo ndogo sio zake kabisaa,

Mrs Akinoshoo hakuna wa kumkutaa, ukipenda muite mama 7. Poleeee wee.
 
Alimshinda simi na kimani kwenye nini ??
 
Nandy sijawahi elewa hata anaimba nn, kuna ule wimbo alioimba na Bright nafkr kama ni wa kwake ndo wimbo naukubali kutoka kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…