DreezyD98
JF-Expert Member
- Nov 6, 2020
- 1,610
- 2,874
🤣🤣🤣 kuna mtu atasema mleta post ndiye mhusika mwenyewe.🏃♂️Mwanamuziki bora hatambulishwi na Ruttashobolwa bali hutambulishwa na soko.
Kwa sasa soko linamung'unya sukari guru 😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 kuna mtu atasema mleta post ndiye mhusika mwenyewe.🏃♂️Mwanamuziki bora hatambulishwi na Ruttashobolwa bali hutambulishwa na soko.
Kwa sasa soko linamung'unya sukari guru 😊
Msanii nyimbo zake zinapata promo katika media zote tatu kubwa za kiburudani,huyo Zuchu airtime anaipata Wasafi media tu,ukiona hivyo nyimbo yake ni hovyo.Nyimbo mpya ya nandy kali sana japo haijawa kubwa kama sukari.. ingekuwa ameimba zuchu ingekuwa kubwa sana maana wcb wanajua promo
Nandy aendelee Tu kuimba matusi , Sisi tupo busy na kulamba sukari mpak kitaa imekuwa adimuHivi waimbaji wangapi ni watunzi duniani na watunzi wangapi ni waimbaji ? Hapa huwa watu wanatoa credit zisizostahili kwa baadhi ya watu na kutowapa credit wanaostahili...,
Kwa ufupi kwa sasa mashairi mengi ni mabovu..... sio kwamba hawawezi kutunga mashairi bali wame-concentrate kwenye maneno ya ngono (which is unnessary) na hii ni kwa wengi wao....
Nandy kuandika mashairi ni mbovu, hcho ndo kinamfelisha , nyimbo nzuri zote za Nandy kaandikiwa ... Ana mashairi mepesi Sana , angalia nyimbo yake na Ali kiba mashairi mepesi Sana yale , ......Msanii nyimbo zake zinapata promo katika media zote tatu kubwa za kiburudani,huyo Zuchu airtime anaipata Wasafi media tu,ukiona hivyo nyimbo yake ni hovyo.
Huyo binti tokea yule jamaa "MUONGOZA NJIA" avute amedrop,manake ndiye msanii aliyekuwa anapewa promo kuliko msanii yoyote pale mawinguni,nyimbo alikuwa anaadikiwa sana nyimbo na wasanii wa THT.
Kuna wasanii wa kulalamika kuhusu promo lakini si NANDY kwani ana promo ya kutosha,kuna wengine wanaomba wapate hata nusu ya promo anayopata yy lkn hawapati.
Maua Sama ft Aslay wametoa nyimbo lkn cha ajabu,Maua hapati promo na nyimbo yake nzuri,Mwasiti nae hivyo hivyo,ukiingia YouTube kuna vipaji vingi sana na kuna mabinti wanaimba sana ila promo hawana.
Sukari imewavuruga watu hahahahaVigezo na masharti vizingatiwe.
Kila kilicho bora kinajieleza chenyewe aihitaji nguvu kubwa kukitanabahisha.
Kwasasa acha kwanza tulambe Sukari.
Kiukweli hata mimi huwa simwelew elew , labda ukanda unambeba .....Zuchu ni mchanga kwenye game Ila ameonyesha maturity ya Hali ya juu kuzidi huyo Nandy .... Na bado potentiality yake ni kubwanandy ni female version of kibakuli, anamezeshwa ujinga na kujiona star kumbe bado anayo kazi kubwa ya kufanya kuufikia USTAR...
Wcb die hard fans bhana..Kiukweli hata mimi huwa simwelew elew , labda ukanda unambeba .....Zuchu ni mchanga kwenye game Ila ameonyesha maturity ya Hali ya juu kuzidi huyo Nandy .... Na bado potentiality yake ni kubwa
Ruby huyo..Mi kusema kweli wasaniia wa Kike siwakubali kivile especially hawa wanaochepukia.
Ila kuna mpuuzi aliimba pini moja na Mafiq... "...[emoji445]Pesa hunaaaa, una magari mangapiii, yako mapozi tu mi nikupeleke wapii... [emoji445]".. yule demu anajua.
Bora umeandika wewe huu upumbavu siupendi Ruby kaimba nini yaani sioni history yake hata kidogo sizijui hata nyimbo useme yeye bora kuliko Nandy hii akiri matope
Naunga mkonoAise hakuna kama Ruby aise ..acheni utani bana.. Ruby ni next level sema ndo amekosa Management nzuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Funguka mkuu, weka na mifano , Ukimsikiliza, ukimsikiliza kipi brother , Nandy ni mbovu kwenye mashairi hlo Tu ndo linamwangusha , syo mwandishi mzur na hapo Zuchu atamkimbiza Sana na pia matusi matusi Sana anaimba ...... Lamba sukari Kwanza mkuu
Nyimbo nyingi za nandy haziandiki mwenyewe anaandikwia na madogo wa THT tena madogo mbalimbali na ndiyo maana ana sound tofauti tofauti, sasa labda tuseme hao madogo wote ni wabovu.Funguka mkuu, weka na mifano , Ukimsikiliza, ukimsikiliza kipi brother , Nandy ni mbovu kwenye mashairi hlo Tu ndo linamwangusha , syo mwandishi mzur na hapo Zuchu atamkimbiza Sana na pia matusi matusi Sana anaimba ...... Lamba sukari Kwanza mkuu
Ila ruby sijui anakwama wap uyu dada anajua sana yan, mi napenda kwenda kwenye show za live band asa cku moja nilishuhudia show ya uyu bi dada daaaaaaah yan wakat anaimba ad vinyweleo vinasisimka sio awa wengine wa kulazimishana kupiga kelele na kuweka mikono juuWewe kubali au ukatae ila Ruby ndio msanii wa kike mwenye sauti na uwezo mkubwa wa sauti kuliko wote tokea bongo flavour ianze, usishangae wanamuita best female vocalist EAST AFRICA NZIMA.
Na usisubiri hadi promo za mainstream, ana wimbo unaoitwa Nakeyi kautoa january tu. Ukiusikiliza huo wimbo na ukalinganisha na wimbo wowote wa Zuchu kwa melody na vocal range. Utakuwa na matatizo ya masikio mkuu