Ukweli usemwe: Nandy ni msanii namba moja wa kike ambaye tumebarikiwa kwa sasa

Unaijua nyimbo ya Roma ya Kiba100?

Hakuna nyimbo ya mondi inayofikia hata asilimia 40 ya matusi ya hiyo nyimbo
Kama ukisoma vizuri nilichoandika, utaelewa sikusema kuwa Roma hajaandika matusi kwenye baadhi ya nyimbo zake.

Uzuri ni kwamba, kwa Roma unatafuta nyimbo yenye matusi ila kwa Mondi unatafuta nyimbo zisizo na matusi.

Barnaba pia katukana ila wote tunajua pengine sio kawaida yake hivyo unaweza hata kumtafutia excuse ila sio kwa Mondi na genge lake
 
Mbagala,ukimuona,sikomi,je utanipenda,the one, hallelujah,make me sing,kanyaga,mdogo mdogo,hainisumbui zote hizo zina matusi?
 
Sahizi kwenye bongo freva kila mtu anaona kuimba tungo zenye ukakasi ni fasheni....ukweli kuna nyimbo unasikiliza mwenyewe chumbani umejifungia huwez kusikiliza na watoto karibu..... kwa sasa kwenye uwandishi ambao ukisikiliza unaelewa kimeibwa nini ni nyimbo zinazo zalishwa chini ya KING Music
 
Simpambi na Nilishalijibu hili mkuu,
Ruby vs Simi ni sawa na kulinganisha maembe na apples. Simi ana sauti nzuri, anaandika na anashiriki kuproduce nyimbo zake ndio maana aliachana na management yake na bado anasurvive. Ruby hana cha zaidi ya sauti na bado ana attitude ndio maana watu anaowazidi kipaji kama Nandy wanampita kirahisi tu

Kingine kama wewe unapendelea muziki wa mainstream promitions na trend ni sawa. mimi sisubiri muziki upigwe clouds, utrend youtube au uingie billboards charts ndio niupende, Nikiskia kitu kizuri Naongeza tu kwenye playlist yangu straight
 
Navyokumbuka Zuchu na Nandy waliingia Tecno own stage mwaka mmoja. Zuchu aliondoka mapema ila Nandy aliingia fainali na kushika nafasi ya pili
 
Navyokumbuka Zuchu na Nandy waliingia Tecno own stage mwaka mmoja. Zuchu aliondoka mapema ila Nandy aliingia fainali na kushika nafasi ya pili
Sijakataa ninacho shangaa wanaposema eti dogo hana kipaji au hajui kuimba,kwa level ya competition aliyoifikia dogo yupo vizuri sana na sasa hivi anandika kitabu chake cha mafanikio.
 
"Ruby ndio msanii bora wa kike wa muda wote Tanzania"
Mnaosema maneno haya hivi Starah Thomas alikuwa mchezaji wa tennis? Vipi kuhusu Grace Matata? Enika nae anakaa kundi gani? Mbona mnawapa hadhi kubwa hawa watoto ambayo hata hawastahili. Hao Nandy, Zuchu na Ruby wanajitahidi ila wote hamna kitu.
 
Mbagala,ukimuona,sikomi,je utanipenda,the one, hallelujah,make me sing,kanyaga,mdogo mdogo,hainisumbui zote hizo zina matusi?
Inabidi tujue zipi kaandika yeye na zipi ameandikiwa na Rayvany. Inawezekana kabisa nyimbo kama Ukimuona, Lala salama na Nitarejea zimeandikwa na mwanamuziki ambaye kwa hakika kabisa sio yeye na ndio baadhi ya nyimbo zake unaweza sikiliza kwa hali yoyote uwayo na nyimbo hizo zitaishi sana.

Zile alizoandika ama na yeye mwenyewe au Rayvany, zote zinafanana na zinaakisi uwezo wao, kama hutojali unaweza kuotea.

Angalia zile nyimbo za kundi la Mkubwa na wanawe, kuna nyimbo za lugha za ovyo, ukisiliza radioni, hujui nani ni mhusika haswa ila wakiwa Solo au kipindi kile ukihudhuria matamasha yao ndo utajua nani ni kichaa.

Mwana FA, kaandika mashairi mengi mazuri ila haina ubishi, yale mazito yote kaandikiwa.
 
Mondi hajawahi kuandikiwa nyimbo na Rayvany.
 
Kusema Ruby ndio msanii Bora wa kike wa muda wote Tanzania ni maneno ya utopolo mkubwa na yanavunjia heshima tasnia ya mziki Tanzania na maneno haya yanatakiwa yadhibitiwe kwa kutumia mabomu ya nuclear .... Na msemaji wa haya maneno anatakiwa atupwe segerea wiki mbili akila pumba na maji....
 
Diamond Ni muandishi hajawahi kuandikiwa wimbo na ndio maana hapendi msanii asiyejua kuandika na ndio maana alikataa kumsign Ruby kwa sababu ya hiyo
 
Hivi mnaosema ruby ndo msanii bora wa kike kuwah kutokea tanzania mnatumia vigezo gani?? Au usanii bora unapimwa kupitia vigezo gani??
 
Hivi mnaosema ruby ndo msanii bora wa kike kuwah kutokea tanzania mnatumia vigezo gani?? Au usanii bora unapimwa kupitia vigezo gani??
VOCAL ARRANGMENT SHE CAN HIT DIFFERENT NOT WAKATI NANDY NI THE SAME NOTE NA KUPA MFANO RUBY ANAWEZA KUIMBA WIMBO WA WHITNEY HOUSTON AKACHEZA NA NOT NAND HAWEZI PERIOD NENDA YOUTUBE TAFUTA COVER SONGS ZA RUBY AU SIKILIZA NYIMBO YUPO NA MAFIK ANAVYOGONGA NOT MULE
 
Roma ndo mwimbaji wa matus ya waz waz kabisa , Yule jamaa hafai ,Bora Ngoma zake za kisiasa ....katoa wimbo mpya leo bado vi matus vimo aaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…