Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,261
- 3,580
kwahiyo wewe ndiyo reference for hit song?Hiyo sukari mnayoisifia mbona wimbo ni wa kawaida sana mi sijaupenda kabisa labda kwa sababu huwa sisikilizi radio na kuangalia tv ningeuzoea labda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo wewe ndiyo reference for hit song?Hiyo sukari mnayoisifia mbona wimbo ni wa kawaida sana mi sijaupenda kabisa labda kwa sababu huwa sisikilizi radio na kuangalia tv ningeuzoea labda
Huyo Zuchu anatunga yeye?Tunahitaji mtu anayeweza kuumiza kichwa akatunga mashairi, akaweka vocal na issue ikaburst buuuuh.....,wimbo wa kivuruge Nandy alitengewa mezani akaweka vocal Tuu,..na ndo wimbo Bora Zaid alioimba Nandy ....
Daaah mbaazi tenaNandy aendelee kubwia mbaazi zake awe bongeee
Nimekubaliii zuchu ni[emoji91][emoji91][emoji91]Kwani kuimba taarabu ni kosa?
Tatizo lako Zuchu wewe umeanza kumsikia akiwa Wasafi.Zuchu ni mmoja ya mshiriki katika shindano la Tecno lilofanyika Nigeria 2015 la kusaka vipaji vya uimbaji Africa na akashika nafasi ya Tatu.
Tokea huko alikuwa anapiga show za live mpaka akafanikiwa kishika nafasi ya tatu na huko alikuwa anaimba hizo nyimbo za Afro pop hata zenye mahazi ya mbele kwani dogo ngeli inapanda.
Na ndio maana hata ktk nyimbo ya Nobody na Sukari ni Afro pop zipo vizuri.
Na sio taarab hata nyimbo zenye swaga za kizungu yupo vizuri (mf karantini).
Tatu Zuchu nyimbo anatunga mwenyewe,Nandy ndiyo ana CV kubwa ila Zuchu tokea mwaka jana na huu mwaka yupo juu mpaka hivi sasa.
pigia jibu mstariHuyo Zuchu anatunga yeye?
Kwa iyo star ni nani....nandy ni female version of kibakuli, anamezeshwa ujinga na kujiona star kumbe bado anayo kazi kubwa ya kufanya kuufikia USTAR...
It's not about vocals. Muziki ungekuwa ni vocals only Baba Levo na Davido wasingesikilizwa kabisa.Wewe kubali au ukatae ila Ruby ndio msanii wa kike mwenye uwezo mkubwa wa sauti kuliko wote tokea bongo flavour ianze, usishangae wanamuita best female vocalist EAST AFRICA NZIMA.
Na usisubiri hadi promo za mainstream, ana wimbo unaoitwa Nakeyi kautoa january tu. Ukiusikiliza huo wimbo na ukalinganisha na wimbo wowote wa Zuchu kwa melody na vocal range. Utakuwa na matatizo ya masikio mkuu
Nipo huku nanjilinji mkuu[emoji1787][emoji1787]Mkuu uko Wapi? Nna zawadi yako.
You said it all.
Nakazia.
Ona huyu naeNaomba mnaomtaja vanessa muwe makini na mnachoandika sio wa level wa yoyote kati yao!
Woyoooooooooooooooooooh Vanessa level ya kina Ciara, Bey, Riri, Shania, Selena, etc.Naomba mnaomtaja vanessa muwe makini na mnachoandika sio wa level wa yoyote kati yao!
Kasema ukweli ndiyo, vee yuko mbali sana, huyo nandy na zuchu wako hawawezi kumkuta vee hata chembe na wao wenyewe wanajua hilo.Ona huyu nae
Asa mkuu mtu mwenyewe kakimbia mziki , Kwa mdomo wake kasema mziki hauwez kakimbilia doggy style 😀😀 Acha wanamziki waimbe bhanaKasema ukweli ndiyo, vee yuko mbali sana, huyo nandy na zuchu wako hawawezi kumkuta vee hata chembe na wao wenyewe wanajua hilo.
"Vee money on the truck yeah" kwa sauti yake.
Nilikuwa natafuta wa kumtaja Vanessa, hao wengine ngono ndo inawanyanyua. Vanessa ni complete package, uimbaji, video vixen, dance, exposure, civilisation na ujinga wa kike kidogo.Kwa sasa Nandy yuko ktk ubora, ila hajawa hiyo level unayosemea weyee.
Ruby ni hatareeeh sana, ila sijui ana matatizo gan.
But mkaree wao Vanessa yuko on the top.
Unaijua nyimbo ya Roma ya Kiba100?Hapa umefananisha tofauti, kimuziki, Roma ni kama anafoka wakati Domo anaimba. Roma ni mtunzi wa karibia nyimbo zake zote, Mondi anaandikiwa nyimbo nyingi ambapo sio kosa, Matusi, Roma anaimba matusi pia kama ilivyo kwa Mondi, hana nyimbo bila matusi(achilia mbali zile nyimbo alizoandikiwa kama Nitarejea, Lala salama.
Inawezekana mpenzi wa nyimbo za Eminem asipende nyimbo za Usher au nyimbo za Usher zikawa popular zaidi kulinganisha na Eminem kutokana na kughani kwao.
Yote kwa yote, nikisikia Roma ametoa nyimbo natamani nisikilize nijue kasema nini, ndo msanii pekee wa siku hizi naweza sikia kitu ukiacha wale wakongwe. Mondi ni flow ya melody, sijui hata anasema nini zaidi ya matusi
Ntawaalika na mapunga waje kula mcheleUpo sawa kabisa..Hata Do me ina melody kali na production kali ila maneno makali kinoma..Bongo Fleva imekuwa ya hovyo sana na kwenye Redio/Tv hawafanyi censorship..
Mfano kwenye hiyo Do me..Billnas anasema "sitotumia kinga hata waseme una virusi"..hii ni lugha ya picha lakini haikuwa necessary kutumika maana ni utopolo tu,jamii inapambana na UKIMWI lakini wewe ni kama unaenda against them.