Ukweli usemwe: Nandy ni msanii namba moja wa kike ambaye tumebarikiwa kwa sasa

Ukweli usemwe: Nandy ni msanii namba moja wa kike ambaye tumebarikiwa kwa sasa

Nandy & Maua Ni talented sana japo sio mfatiliaj sana wa bongo fleva ila girls wanajitahd sana hit after hit
 
Kiukweli hata mimi huwa simwelew elew , labda ukanda unambeba .....Zuchu ni mchanga kwenye game Ila ameonyesha maturity ya Hali ya juu kuzidi huyo Nandy .... Na bado potentiality yake ni kubwa
Nandi huwa anabana pua Sana, na nyimbo zake hazikuti hata robo za zuchu
 
We muhaya Usimfananishe Ruby na mambo ya kijinga.
 
Nandi huwa anabana pua Sana, na nyimbo zake hazikuti hata robo za zuchu
Zuchu ameexpose udhaifu mkubwa wa Nandy , ngoja tuone kufikia mwez wa sita kuna mtu ataresign mziki 😀
 
Nandi huwa anabana pua Sana, na nyimbo zake hazikuti hata robo za zuchu
Mkuu nakuheshimu sana! Hebu acha kushusha heshima yako kwangu, Nandy na Zuchu ni maji na mafuta! Mfano mdogo wimbo wa kivuruge unaweza kupambana na wimbo gani wa zuchu? Au sikiliza kwa utulivu ile cover ya Angel Bernard "Nikumbushe wema wako" aliyofanya Nandy ndo utajua uwezo wa Nandy, kwenye huo wimbo nadhani hata Angel mwenyewe hua anasikiliza ya Nandy kuliko yake.
 
Hzo nyimbo zote sio za Nandy japo aliimba Nandy ....
 
Kuanzia kuimba,stage , level za uimbaji, maadhi yao ni tofauti kbisa.
mmoja ni underground mwingine ni msanii mkubwa.
mmoja anaimba taarab mwingine anaimba afro pop.
mmoja kwenye stage ni mchovu kabisa mwingine ana jitahidi sana.
Mmmoja kuimba live awezi kabisa na anaimba vibaya mwingine ni fundi kabisa.
ZUCHU VS NANDY
Bado maoni yako yamekaa kishabiki na chuki.
 
Wewe kubali au ukatae ila Ruby ndio msanii wa kike mwenye uwezo mkubwa wa sauti kuliko wote tokea bongo flavour ianze, usishangae wanamuita best female vocalist EAST AFRICA NZIMA.

Na usisubiri hadi promo za mainstream, ana wimbo unaoitwa Nakeyi kautoa january tu. Ukiusikiliza huo wimbo na ukalinganisha na wimbo wowote wa Zuchu kwa melody na vocal range. Utakuwa na matatizo ya masikio mkuu
Asante Mkuu! Unajua kuna tofauti Kati ya Mwanamziki na Msanii! Huo wimbo wa Nakeyi sikuwahi kuusikia ila siku moja nimekaa bar Dj kaupiga kama Mara moja tu mfululizo vinyweleo vikasimama, mimi kikawaida ngoma Kali hua naijua day 1 tu.. Nikisikia wimbo lazima vinyweleo visimame.. Kufuatilia nagundua Ruby ndo kaimba.! ! Aisee ikabidi niipakue hiyo ngoma! Audio na kideo! Kuhusu Nandy na zuchu, Nandy kuliko Zuchu Ruby ndo Mamayao!
 
Kivuruge by Nandy hii tu inatosha kuonyesha uwezo mkubwa wa Nandy..
 
Ukitaka kujua kati ya zuchu na Nandy nan mkali sikiliza ngoma zao walizo mshirikisha Joe boy jibu utalipata hapo. Over
Hiyo ya Zuchu ni utopolo mtupu kaimba kama underground kutoka Simiyu..kwenye hii Sukari ame-stepup kidogo kwenye melody na vitu vingine
 
Narudia tena, msimfananishe Ruby na mambo ya kijinga.
 
Endeleeni mpaka apatikane mshindi nahesabu comment
 
Kivuruge by Nandy hii tu inatosha kuonyesha uwezo mkubwa wa Nandy..
Tunahitaji mtu anayeweza kuumiza kichwa akatunga mashairi, akaweka vocal na issue ikaburst buuuuh.....,wimbo wa kivuruge Nandy alitengewa mezani akaweka vocal Tuu,..na ndo wimbo Bora Zaid alioimba Nandy ....
 
Back
Top Bottom