Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Ruby na Baraka The Prince ni wasanii wazuri lakini hawawezi kabisa kuwa chini ya mtu.Ruby ni word class level but sadly hajitambui
Wao wanaweza kujiongoza wenyewe tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruby na Baraka The Prince ni wasanii wazuri lakini hawawezi kabisa kuwa chini ya mtu.Ruby ni word class level but sadly hajitambui
Beyonce',Rihanna wanaandikiwa pia..sio kitu kibayaTunahitaji mtu anayeweza kuumiza kichwa akatunga mashairi, akaweka vocal na issue ikaburst buuuuh.....,wimbo wa kivuruge Nandy alitengewa mezani akaweka vocal Tuu,..na ndo wimbo Bora Zaid alioimba Nandy ....
Kwa sasa Nandy yuko ktk ubora, ila hajawa hiyo level unayosemea weyee.
Ruby ni hatareeeh sana, ila sijui ana matatizo gan.
But mkaree wao Vanessa yuko on the top.
Msanii nyimbo zake zinapata promo katika media zote tatu kubwa za kiburudani,huyo Zuchu airtime anaipata Wasafi media tu,ukiona hivyo nyimbo yake ni hovyo.
Huyo binti tokea yule jamaa "MUONGOZA NJIA" avute amedrop,manake ndiye msanii aliyekuwa anapewa promo kuliko msanii yoyote pale mawinguni,nyimbo alikuwa anaadikiwa sana nyimbo na wasanii wa THT.
Kuna wasanii wa kulalamika kuhusu promo lakini si NANDY kwani ana promo ya kutosha,kuna wengine wanaomba wapate hata nusu ya promo anayopata yy lkn hawapati.
Maua Sama ft Aslay wametoa nyimbo lkn cha ajabu,Maua hapati promo na nyimbo yake nzuri,Mwasiti nae hivyo hivyo,ukiingia YouTube kuna vipaji vingi sana na kuna mabinti wanaimba sana ila promo hawana.
Sio Kweli watu wanasikiliiza hata miziki ya Kikorea au lugha wasizozifahamu sababu ya vionjo mbali mbali sio maneno tu.., ukipangilia vionjo hata ukiimba A, B , C , D bado itapendenza, ni kupotoka kudhani kwamba watu wanasikiliza /( siwezi kusema wananunua sababu wabongo ni watu wa kutafuta free....,), sababu ya maneno ya ngono..., bali ni kwamba nyimbo karibia zote zina hayo maneno..., na kwa kufanya hivyo wanapunguza soko lao..., sidhani kama kijana angezema duh huu wimbo siuzikilizi sababu hakuna shairi linaloongelea ngono...Inategemea wanamwimbia nani, Muzik wao umelenga kundi gani zaidi.Na hilo kundi linapenda kusikia nini.Kumbuka hii Ni biashara. Kundi kubwa la muziki wa bongo fleva Ni vijana siyo hao babu na bibi.Hao babu na bibi wana miziki yao.
Dunia yenyewe inaenda kasi,hicho unachoita matusi kwa sasa ni vitu vya kawaida sana kwa kizazi hiki. Huwezi kuusikiliza mezani na watoto lkn watoto wenyewe ndio wanapenda na wao ndyo soko la huo muziki.
Wanaimba kile ambacho sokoni kinauzika.Penda unachopenda usitake kujua kuhusu mwenzako anapenda nn.Kila mtu ana exposure yake ktk maisha.🤣🤣
Wimbo mzuri sana sema kwa zama hizi sio rahisi kuelewekaAsante Mkuu! Unajua kuna tofauti Kati ya Mwanamziki na Msanii! Huo wimbo wa Nakeyi sikuwahi kuusikia ila siku moja nimekaa bar Dj kaupiga kama Mara moja tu mfululizo vinyweleo vikasimama, mimi kikawaida ngoma Kali hua naijua day 1 tu.. Nikisikia wimbo lazima vinyweleo visimame.. Kufuatilia nagundua Ruby ndo kaimba.! ! Aisee ikabidi niipakue hiyo ngoma! Audio na kideo! Kuhusu Nandy na zuchu, Nandy kuliko Zuchu Ruby ndo Mamayao!
Wee mkuu taratibu mambo yako, tena ukae kwa kutulia, iv nandy anamzidi nn vee? Support ipi unayoizungumzia?Binafsi Vanessa namuona msanii wa kawaida ila anabebwa na uzoefu wa kukaa nje,kusafiri sana na sapoti aliyonayo mbali na hapo ni msanii wa kawaida....Nandy yuko vyema kuliko yeye
Hebu imba wimbo ambao hauna maudhui ya mapenzi uone soko lake litakuwaje.Au fuatilia nyimbo za aina hiyo utauona ukweli.Wasanii wanaimba kile watu wengi wanapenda kusikia,mapenzi=vijana.Sio Kweli watu wanasikiliiza hata miziki ya Kikorea au lugha wasizozifahamu sababu ya vionjo mbali mbali sio maneno tu.., ukipangilia vionjo hata ukiimba A, B , C , D bado itapendenza, ni kupotoka kudhani kwamba watu wanasikiliza /( siwezi kusema wananunua sababu wabongo ni watu wa kutafuta free....,), sababu ya maneno ya ngono..., bali ni kwamba nyimbo karibia zote zina hayo maneno..., na kwa kufanya hivyo wanapunguza soko lao..., sidhani kama kijana angezema duh huu wimbo siuzikilizi sababu hakuna shairi linaloongelea ngono...
Kwani kuimba taarabu ni kosa?
Tatizo lako Zuchu wewe umeanza kumsikia akiwa Wasafi.Zuchu ni mmoja ya mshiriki katika shindano la Tecno lilofanyika Nigeria 2015 la kusaka vipaji vya uimbaji Africa na akashika nafasi ya Tatu.
Tokea huko alikuwa anapiga show za live mpaka akafanikiwa kishika nafasi ya tatu na huko alikuwa anaimba hizo nyimbo za Afro pop hata zenye mahazi ya mbele kwani dogo ngeli inapanda.
Na ndio maana hata ktk nyimbo ya Nobody na Sukari ni Afro pop zipo vizuri.
Na sio taarab hata nyimbo zenye swaga za kizungu yupo vizuri (mf karantini).
Tatu Zuchu nyimbo anatunga mwenyewe,Nandy ndiyo ana CV kubwa ila Zuchu tokea mwaka jana na huu mwaka yupo juu mpaka hivi sasa.
Cheche,Nobody,Sukari hizi ni taarabu?Mkuu nimekushangaa kubisha kuwa huyo msanii kuimba mahadhi ya taarab. Huyo msanii alivutiwa sana na Mbosso lakini akajikuta anaimba kama mama yake... hata hili wakataa?
anaimba maadhi ya taarab
tafsiri halisi ya underground ni ipi? Tuanze hapo kwanza?Hebu tueleza underground amemzidi nini Nandy? hivi kuna underground hajawai toa hit song?