Ukweli usemwe: Nandy ni msanii namba moja wa kike ambaye tumebarikiwa kwa sasa

Asa mkuu mtu mwenyewe kakimbia mziki , Kwa mdomo wake kasema mziki hauwez kakimbilia doggy style [emoji3][emoji3] Acha wanamziki waimbe bhana
Hivi vee kaacha mziki au kapumzika? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna mie namuona bado yuko ana flows verse tyuuh, na collabo anapiga mbayaa.
Twerk ft vanny boy hujaona mauaji yake? Na kua video vixen kweny wimbo "love somebody" wa rotimi,
Sasa kaacha vipi hapo? Poleeeeeeeeh
 
Nilikuwa natafuta wa kumtaja Vanessa, hao wengine ngono ndo inawanyanyua. Vanessa ni complete package, uimbaji, video vixen, dance, exposure, civilisation na ujinga wa kike kidogo.
Woyooooooooooooooooooooooooooooh.
 
Sjapoteza mda hata kuisikiliza hyo nyimbo .... We wimbo unapigiwa promo na porn star Mwijaku , utatobolea wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nandy kakurupuka na mzee wa mboka kafail pia duuuh.
 
Kwahyo vocal na kuimba cover ndo kipimo cha usanii bora😂😂 Bss na youtube kuna watu wanaimba covers vizuri hata kuliko ruby kwahyo hao pia ni wasanii bora?? Ruby ana kipaji ndio lakini huwez mweka level moja hata na kina nandy maan mziki sio kipaji tu mzee! Damian Soul na grace matata wana hzo vocal kuliko hata huyo ruby lakini sio wasanii bora na hata kweny mainstream hawapo!! Mpaka kuitwa msanii bora kuna mambo mengi sio vocal na kipaji tu! Davido hana hzo vocal ila ukitaja top 3 wa wasanii bora nigeria yupo!! Et Ruby msanii bora wa kike af ukiambiwa utaje hit song zake hata 5 majibu huna😂😂MZIKI SIO KIPAJI UKITAKA KUAMINI MWANGALIE DIAMOND NA NANDY HAWANA VIPAJI VIKUBWA LAKINI HAO NDO BIG FISHES KWA MZIKI WA BONGO!
 
mkuu hapa mimi nimelenga kwenye kuimba sio mafanikio yao kwenye mziki yes ruby hana management nzuri lakini kwenye vocal nandy hatii mguu
 
Hivi mnaosema ruby ndo msanii bora wa kike kuwah kutokea tanzania mnatumia vigezo gani?? Au usanii bora unapimwa kupitia vigezo gani??
Kwa kuiskiliz ngoma ya nandy na koffi olomide

then ndo uta judge vzuri
 
Hebu tuambie muandishi wa nyimbo za mondi ni nani? Maana umeongea kishabiki na chuki binafsi tu.
 
madhaifu yake yote zuchu kayacover, hvyo zuchu ni bora kuliko Nandy kuanzia kwenye uandishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…