Ukweli Usemwe: Uongozi wa Rais Samia ni Changamoto

Tuwekee bei ili tulinganishe vinginevyo usukuma wako hautusaidii
 
Wenyewe Wana Kikao Chao Tarehe 01.04.2022 Siku Ya Wajinga
Halafu Wanasifia Tu
 
Huyu mama ana bahat sana ya uwezekano wa kuwa rais kwa muda mrefu akichanga karata zake vizuri kupitia mchakato wa katiba mpya.
2025 mchakato wa Katiba mpya, baada ya hapo kunakuwa na uchaguzi chini ya Katiba mpya, na mama ataongoza vipindi viwili vya miaka 14, hadi 2039
 
Actually ukweli lazima usemwe, hali ya maisha imekuwa ngumu sana bei ya vyakula, mafuta ya kupikia tu imekuwa kama anasa mean while mishahara ya wafanyakazi iko palepale tu.
 
Samia ni Rais Bora huwezi kumfananisha na dikteta
 
Tumeambiwa hiyo ni sababu ya Putin na Zelensiky ndio maana vitu vimepanda. Vipi huko Mozambique wao Putin na Zelensiky hawajulikani huko? Nisaidie ndugu.
 
Inawezekana Mozambique ukwepaji wa kodi ni mkubwa au biashara ya magendo imetamalaki mzee fanya utafiti kwa kina kupanda au kushuka kwa bei za bidhaa kuna sababu nyingi.
 
Inawezekana Mozambique ukwepaji wa kodi ni mkubwa au biashara ya magendo imetamalaki mzee fanya utafiti kwa kina kupanda au kushuka kwa bei za bidhaa kuna sababu nyingi.
Bei ya petrol zambia pia ipo chini Sana na watu wa tunduma wanakimbilia kununua huko, vipi nao wanakwepa Kodi?
Kinachoongeza Bei ni utitiri wa Kodi na tozo, kwenye mafuta Kuna Kodi na tozo zaidi ya 20
 
Hivi kama tunalipa nauli kwa mtandao, na tuna lipa tanesco kwa mtandao, na tunalipia viwanja kwa mtandao , tunafanya selection ya vyuo na application kwa mtandO hivi HATUWEZI KUFANYA UCHAGUZI KWA MTANDO.?
Ili ccm ipigwe chini?
 
Bei ya petrol zambia pia ipo chini Sana na watu wa tunduma wanakimbilia kununua huko, vipi nao wanakwepa Kodi?
Kinachoongeza Bei ni utitiri wa Kodi na tozo, kwenye mafuta Kuna Kodi na tozo zaidi ya 20
Sasa utapataje maendeleo bila kodi na tozo? Acha kulalamika mataga
 
Kama kilinachofanyika vigezo vyetu ni kujiandaa na chaguzi, naona kama maendeleo ya kweli tusahau (all we do is focused on short run 😕 ).
Miaka ya kale ukisikia angalau vitu vinaitwa dira ya taifa, vimekufia wapi siku izi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…