KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
kama kweli alifanya hayo, hakufanya kazi vizuri, maana alikusahau wwAlivuruga uchumi wa Nchi, na mauaji yalishamili huku yeye akifurahia na kina bashite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama kweli alifanya hayo, hakufanya kazi vizuri, maana alikusahau wwAlivuruga uchumi wa Nchi, na mauaji yalishamili huku yeye akifurahia na kina bashite
Mkitoboa 20251.Nitajie idadi ya mateja walioongezeka na drug Lords walioachiwa.
2.Naomba mfano wa watu wawili tuu waliokufa kwa kukosa huduma,naomba uonyeshe kushuka kwa huduma kwamba figures na graghs na pia usimamizi ni mbaya how? Mzuri ukoje/ ulikuaje kulinganisha na Sasa.
3.Machinga wamefukuzwa kutoka wapi na wamekwenda wapi? Tupe Takwimu za kuthibisha Hali ya njaa mwaka mmja uliopita na Sasa.
4.In fact ni jambo jema viongozi kula kwa urefu wa kamba zao maana wakizidi wataiba za wengine,taja mradi hata mmja wa kimkakati unaopumulia mashine na utoe ulinganifu,nipe kipimo cha ubora wa huduma za serikali Kati ya Sasa na awali Ili uaminike.
5.Mfumuko wa bei huwa unapimwa kwa Takwimu sio maneno ya kijinga kama yako,weka Takwimu.Serikali haipangi bei ya bidhaa sokoni na Kwa hivyo itaacha soko liamue,ukiona bidhaa zinatoka manake ni kwamba pesa ya kununua ipo.
6.Rushwa imepungua Sana na Wala rushwa wanafikishwa mahakamani unlike previous years walipokuwa wanacompromise na corrupt and dictatorial government.Awamunya Tano waliwaruhusu hadi polisi kula rushwa kitu ambacho Mama kakataa na kawakaba kwa marekebisho ya sheria..
Ajali hazijaanza leo,leta Takwimu za mwaka Jana na Mwaka huu Ili tulinganishe..
Umeandika upuuzi mwiingi sana with full feelings without evidences.Hii ndio chuki sasa, unfortunately Samia yuko hadi 2030 akijaaliwa uhai.
Na kwa kukusaidia tuu Takwimu Zote za uchumi zinambeba regardless of hizi porojo za kufunga.
Njoo hapa Kinondoni ujionee.1.Nitajie idadi ya mateja walioongezeka na drug Lords walioachiwa.
Tembelea hospital za serikali ujionee hali halisi.2.Naomba mfano wa watu wawili tuu waliokufa kwa kukosa huduma,naomba uonyeshe kushuka kwa huduma kwamba figures na graghs na pia usimamizi ni mbaya how? Mzuri ukoje/ ulikuaje kulinganisha na Sasa.
Unajua hata machinga walikuwa wapi zamani? Nenda sasa hivi ukajionee kama bado wapo.3.Machinga wamefukuzwa kutoka wapi na wamekwenda wapi? Tupe Takwimu za kuthibisha Hali ya njaa mwaka mmja uliopita na Sasa.
Kwahiyo umekiri kwa kinywa chako ufisadi mnaoufanya. Ukiacha miradi aliyoiacha JPM inakaribia kukamilika, hakuna mradi hata mmoja wa kimkakati unaoendelea vizuri. Imewashinda.4.In fact ni jambo jema viongozi kula kwa urefu wa kamba zao maana wakizidi wataiba za wengine,taja mradi hata mmja wa kimkakati unaopumulia mashine na utoe ulinganifu,nipe kipimo cha ubora wa huduma za serikali Kati ya Sasa na awali Ili uaminike.
5.Mfumuko wa bei huwa unapimwa kwa Takwimu sio maneno ya kijinga kama yako,weka Takwimu.Serikali haipangi bei ya bidhaa sokoni na Kwa hivyo itaacha soko liamue,ukiona bidhaa zinatoka manake ni kwamba pesa ya kununua ipo.
Kabisa, sasa hivi wanakula kwa urefu wa kamba yao.6.Rushwa imepungua Sana na Wala rushwa wanafikishwa mahakamani unlike previous years walipokuwa wanacompromise na corrupt and dictatorial government.Awamunya Tano waliwaruhusu hadi polisi kula rushwa kitu ambacho Mama kakataa na kawakaba kwa marekebisho ya sheria..
Upo Tanzania?Ajali hazijaanza leo,leta Takwimu za mwaka Jana na Mwaka huu Ili tulinganishe..
Tutafika 2030 tumechoka sana.Umeandika upuuzi mwiingi sana with full feelings without evidences.Hii ndio chuki sasa, unfortunately Samia yuko hadi 2030 akijaaliwa uhai
Kwa maisha yanavyozidi kuwa magumu huku mtaani hizo takwimu ni za kusadikika.Na kwa kukusaidia tuu Takwimu Zote za uchumi zinambeba regardless of hizi porojo za kufunga.
Leo ni 2022 unazungumzia 2025 ,umelogwa?Mkitoboa 2025
Nitaamini kweli tumelogwa
Tumieni huu muda kutamba na kuzichota nyingi ili muwe na akiba
Changes are coming
Ni wakati wenu tambeniLeo ni 2022 unazungumzia 2025 ,umelogwa?
Hivi una matatizo ya kufikiria wewe eti,tushindwe kutoboa kwa mambo haya si tutakuwa tumerogwa aisee
DisperateNi wakati wenu tambeni
Huo uongozi mnaoupata Kwa uchawi na mazindiko ndio matokeo yake haya
Ila muda unakuja
Kuleni mpaka mvimbiwe
Na mkifa mtaondoka nazo pia
Vyema mkuu umeeleza uhalisia wa mambo ulivyo, wengi wanaishia kujipa majibu rahisi kwamba et polisi ndio huifanya ccm kuendelea kuwa madarakani wakati kuna mambo mengi tu zaidi ya hilo la polisi.Huwez kuandamana una njaa. Na wasomi huwa hawaend front. Elimu duni ya kujua haki na wajibu ukijumlisha na ufukara ni mtaji mzuri sana kwa ccm kukaa madarakan had itakapoona inatosha. Ndo sasa itabadili chama na kuja na chama kingine kama UMOJA!
Pia hatujawa na chama mbadala chenye miundombinu kama ccm kuongoza nchi. Ni wajasiri flan tu wenye uthubutu wanaendesha siasa sambamba na ccm. Ukubwa wa ccm unaweza kudhibitiwa na uwepo wa sheria ya vyama kuungana au wagombea kuhama hama.kirahis wakat wa uchaguz.
Tusisahau ccm bado ina mtaji wa watu. Historia inailinda na miundombinu ni thabiti ikiwemo kumiliki think tanks nying.
Kwa vile kuitoa ni ngum mno bas tuangazie bamna ya ccm kujibrand kwa manufaa ya wengi! Km kyvua gamba vile
Hii ni point kubwa sana inabidi kuhamasisha mtaa kwa mtaa ndio Hili linaweza kufanyikaHata sio waoga ila tatizo ni hii mitandao haitoi picha halisi ya huko mitaani, unakuta humu mitandaoni watu wamehamasishana vya kutosha kuandamana ila kumbe huko uraiani hali ni tofauti ndio unakuta siku ya kuandamana inafika unaona raia wanaendelea na shughuli zao.
Kama unaona maisha ni rahisi Msumbiji hamia huko (Sauti ya Mwigulu)Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.
Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique.
Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.
Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.
Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?
Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.
Bei ya magari, TV, Computer n.k zimekuwa juu kabisa.
Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata.
Mkuu 'GAZETI' tatizo letu wengi, nikiwemo mimi na wewe ni hili ulilolionyesha kwenye mada yako hii!Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.
Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique.
Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.
Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.
Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?
Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.
Bei ya magari, TV, Computer n.k zimekuwa juu kabisa.
Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata.
Huu ukweli wengi wameuzibia macho na masikio.Ishu sio katiba ishu ni usimamizi, katiba ya sasa ikitumika ipasavyo bado ni katiba Bora,
Katiba mpya kama haitotumika vizuri still itakuwa ni worse
Umeelewa alichoandika lakini?Kuwa mwanamke kuongoza sio nafasi yake?[emoji28]
"Katiba Haifuatwi" kwa sababu haizuii kutofuatwa. Kuna mtu mmoja mwenye madaraka yasiyohojiwa ambaye yupo juu ya katiba. Hivi hili nalo ni gumu kwenu kulielewa?Huu ukweli wengi wameuzibia macho na masikio.
Hii katiba tuliyonayo haifuatwi je hiyo mpya itafuatwa? Viongozi wetu si ndio hawahawa au watashuka wengine toka mbinguni?
Tatizo letu kubwa lipo kwenye uwajibikaji na uzalendo.
Magufuli aliyaona haya na alianza kudeal nayo kwa kasi lkn ndio hivyo tena. Alipambania watu wasiojielewa.
Watanzania wanapenda kubembelezwa, hawataki kiongozi mkali. Hawapendi kufokewa wala kuchukuliwa hatua wanapokosea.Kwa tanzania haiwezekani na haitowezekana kila katiba ambayo itakuja mtasema ibadilike,
Hii katiba ya sasa inaongea kila kitu mpaka adhabu inatoa mbona still hakuna kinachofanyika?
Mnaishia kupiga kelele jf na mambo yako vile vile
Wewe ni mnufaika wa system iliopo. Usimwone mwandishi kuwa ni boya. Thamani ya hela ya nchi atokayo na aendayo mtu hujulikana na hasa ukiiweka kwenye mizani ya dollar. Kwa kutaka akuuwekee mifano ni kuthibitisha utetezi wako kwa corrupt system, ambayo inaondoa tozo asubuhi jioni inarudisha, na haihoji wauza mafuta mbona tozo kuondoka hakuja shusha bei.Sikiliza bro,usiongee bila kuweka mifano ili kulinganisha,unaposema kitu hiki kule ni nafuu kuliko kwetu,weka hizo bei na pia wrka thamani za sarafu za hiyo nchi kwa kulinganisha na tanzania,vinginevyo utakuwa unaongea porojo tu
Bora upande bei lakini uwe na ubora. Tabora bakery mikate inauzwa sh 1000, imeandikwa uzito 400g, lakini ukiupima ni 150g! Ukiuminya unaishia kwenye kiganja. Maafisa vipimo wapo, wamekataa maofisini wanasubiri kugonga mizani mihuri.Kuna tangazo pale bakery kupanda kwa mkate kuanzia tar 1 April