Nawashangaa nyie wafuasi wa dikteta, yaani mnaona Bora utawala wa muuaji mwenye roho mbaya,kuliko utawala wa mtu muungwana,
Chini ya dikteta bwana yule ajira mpya zilikuwa hamna Wala kupandishwa madalaja kwa watumishi, no increment kwa watumishi, no democracy, Uhuru wa vyombo vya habari aliuua kabisa,matukio ya hovyo ilikuwa kawaida, yeye furaha yake ilikuwa wananchi wote waishie jela uraini abakie yeye na bashite sijui,
Mmepata Rais muungwana wa Sasa mnamletea dhihaka, watz Nyie baadhi yenu ni matahila kweli kweli, na mtaongozwa na chama kilichopo Hadi mwisho wa dunia, stupid