Ukweli Usemwe: Uongozi wa Rais Samia ni Changamoto

Ukweli Usemwe: Uongozi wa Rais Samia ni Changamoto

Mama anaendesha nchi kama ipo kwenye auto pilot.. Kila mtu anajipangia garama ya bidhaa zake... Na mawaziri wapo kama hawapo
Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.

Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique.

Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.

Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.

Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?

Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.

Bei ya magari, TV, Computer n.k zimekuwa juu Kabisa.

Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata...
 
Wewe ni mjinga tu! Mauaji gani zaidi ya sasa kila kona mauaji na ajali!
We ni mwehu kweli, kwaiyo unafananisha ajali za barabarani na maiti za kwenye virob,watu kupigwa risasi adharani, kuwapa watu kesi za hovyo hili kuwakomoa, kwa kifupi magufuli alikuwa hafai kabisakabisa, Nchi yetu mahusiano ya kimataifa yalishuka kabisa, Mambo mengi yalikuwa hovyo,

Samia inatakiwa akimaliza miaka mitano hii ya mwanzo, apewe miaka kumi na nne ya Katiba mpya itakayoanza mwaka 2025, hili amalize mwaka 2039, Nchi kwakweli chini ya Samia na team yake imetulia haswaa,wavivu wachache na wenye chuki za kidini na ukabila ndio hawamkubari Samia
 
Umenena swai mama imagine kauli kama hizi 'Oh nikiwasema wananuna na kuhoji huna imani na vyombo vyako'. Wacha wanune wapasuke fukuzia mbali huko wameshindwa kazi watimuliwe haraka sana unawabembeleza walevi wa madaraka kwa gharama ya watz milioni 60 kweli????!!!!!!
Wakuu wa vyombo vya dola hawafukizwi hovyo wala kwa mihemko kama wewe unavyoweza kufukuzwa.
 
We ni mwehu kweli, kwaiyo unafananisha ajali za barabarani na maiti za kwenye virob,watu kupigwa risasi adharani, kuwapa watu kesi za hovyo hili kuwakomoa, kwa kifupi magufuli alikuwa hafai kabisakabisa, Nchi yetu mahusiano ya kimataifa yalishuka kabisa, Mambo mengi yalikuwa hovyo,

Samia inatakiwa akimaliza miaka mitano hii ya mwanzo, apewe miaka kumi na nne ya Katiba mpya itakayoanza mwaka 2025, hili amalize mwaka 2039, Nchi kwakweli chini ya Samia na team yake imetulia haswaa,wavivu wachache na wenye chuki za kidini na ukabila ndio hawamkubari Samia
Hadi sasa hakuna kipimo cha uchumi hata kimoja ambacho Rais kazingua zaidi ya kutunga hadithi kama za mtoa mada.

Rais wa wapi anaweza fanya haya ?👇

Screenshot_20220330-102945.png

Screenshot_20220330-103119.png

Screenshot_20220330-103440.png

Screenshot_20220329-192149.png

Screenshot_20220329-192137.png
 
Wakuu wa vyombo vya dola hawafukizwi hovyo wala kwa mihemko kama wewe unavyoweza kufukuzwa.
Ogopa sana kutukana mtu usiyemfahamu mkuu chukua ushauri wa bure huu. Unamaanisha nn unaposema hawafukuzwi hovyo?

Ulikuwepo nchi hii Mangu alipoondolewa na kusukumizwa Kigali?

So ukiwa mkuu wa chombo cha usalama unakuwa mkubwa kuliko nchi? Acha porojo zako kwenye maisha ya watanzania?
 
Endelea kutukana huyo Samia wako anamaajabu gani?

Kila kitu kimepanda bei anasingizia Vita ya Ukraine! Umeme unakatika ovyo!

Mauaji kila kona, ajali na watu kupotea na kufia vituo vya polisi wewe huoni? Achaa ulimbukeni! Tuambie wale vijana wa kariakoo waliopotea wamepatikana?

Vipi tukio la kule mtwara la mauaji ya mfanyabiashara wa madini vipi?
We ni mwehu kweli, kwaiyo unafananisha ajali za barabarani na maiti za kwenye virob,watu kupigwa risasi adharani, kuwapa watu kesi za hovyo hili kuwakomoa, kwa kifupi magufuli alikuwa hafai kabisakabisa, Nchi yetu mahusiano ya kimataifa yalishuka kabisa, Mambo mengi yalikuwa hovyo,

Samia inatakiwa akimaliza miaka mitano hii ya mwanzo, apewe miaka kumi na nne ya Katiba mpya itakayoanza mwaka 2025, hili amalize mwaka 2039, Nchi kwakweli chini ya Samia na team yake imetulia haswaa,wavivu wachache na wenye chuki za kidini na ukabila ndio hawamkubari Samia
 
Ogopa sana kutukana mtu usiyemfahamu mkuu chukua ushauri wa bure huu. Unamaanisha nn unaposema hawafukuzwi hovyo? Ulikuwepo nchi hii Mangu alipoondolewa na kusukumizwa Kigali? So ukiwa mkuu wa chombo cha usalama unakuwa mkubwa kuliko nchi? Acha porojo zako kwenye maisha ya watanzania?
Aliondolewa baada ya muda gani toka Mwendazake aingie? Unadhani wanaondolewa ondolewa hovyo tuu kama unavyopenda wewe?
 
Tanzania itaendelea kuwa mbovu kama CCM akibaki madarakani - Afu kuna watu wanajidanganya eti tusubiri uchaguzi ,utafnya nn kwenye uchaguzi upige kura usipige sirikali itashinda tu.

Katika nchi yenye wajinga wengu Africa ni Tz ,hata kuandaamana kupata haki ya msingi watu hawawezi ,ni uoga mwanzo mwisho

mimi naombea maisha yaendeleee kuwa worse ili tukome vizuri .alaaaa
Hata sio waoga ila tatizo ni hii mitandao haitoi picha halisi ya huko mitaani, unakuta humu mitandaoni watu wamehamasishana vya kutosha kuandamana ila kumbe huko uraiani hali ni tofauti ndio unakuta siku ya kuandamana inafika unaona raia wanaendelea na shughuli zao.
 
Tatizo ni CCM hawataki mabadiliko.
Wananchi wenyewe wangekuwa wanataka mabadiliko basi hadi sasa tusingeona watu wakiendelea kushabikia hicho yani mtu anatoa hela yake kununua fulana ya ccm.
 
We ni mwehu kweli, kwaiyo unafananisha ajali za barabarani na maiti za kwenye virob,watu kupigwa risasi adharani, kuwapa watu kesi za hovyo hili kuwakomoa, kwa kifupi magufuli alikuwa hafai kabisakabisa, Nchi yetu mahusiano ya kimataifa yalishuka kabisa, Mambo mengi yalikuwa hovyo,

Samia inatakiwa akimaliza miaka mitano hii ya mwanzo, apewe miaka kumi na nne ya Katiba mpya itakayoanza mwaka 2025, hili amalize mwaka 2039, Nchi kwakweli chini ya Samia na team yake imetulia haswaa,wavivu wachache na wenye chuki za kidini na ukabila ndio hawamkubari Samia
Huyu mama ana bahat sana ya uwezekano wa kuwa rais kwa muda mrefu akichanga karata zake vizuri kupitia mchakato wa katiba mpya.
 
Hata sio waoga ila tatizo ni hii mitandao haitoi picha halisi ya huko mitaani, unakuta humu mitandaoni watu wamehamasishana vya kutosha kuandamana ila kumbe huko uraiani hali ni tofauti ndio unakuta siku ya kuandamana inafika unaona raia wanaendelea na shughuli zao.
Huwez kuandamana una njaa. Na wasomi huwa hawaend front. Elimu duni ya kujua haki na wajibu ukijumlisha na ufukara ni mtaji mzuri sana kwa ccm kukaa madarakan had itakapoona inatosha. Ndo sasa itabadili chama na kuja na chama kingine kama UMOJA!

Pia hatujawa na chama mbadala chenye miundombinu kama ccm kuongoza nchi. Ni wajasiri flan tu wenye uthubutu wanaendesha siasa sambamba na ccm. Ukubwa wa ccm unaweza kudhibitiwa na uwepo wa sheria ya vyama kuungana au wagombea kuhama hama.kirahis wakat wa uchaguz.

Tusisahau ccm bado ina mtaji wa watu. Historia inailinda na miundombinu ni thabiti ikiwemo kumiliki think tanks nying.

Kwa vile kuitoa ni ngum mno bas tuangazie bamna ya ccm kujibrand kwa manufaa ya wengi! Km kyvua gamba vile
 
Kwa kweli huyu Mama ameshindwa Kuongoza nchi asubuhi sana,gharama za maisha zimepanda juu sana na yeye yuko kimya tuu,
 
Back
Top Bottom