Ukweli Usemwe: Uongozi wa Rais Samia ni Changamoto

Ni rahisi kwa kiasi gani, Ni vyema ukaweka takwimu za bei msumbiju vs Tanzania, Msumbiji kiasi gani na Tanzania kiasi gani?...

Hakuna siku Tanzania kuliwahi kuwa na unafuu wa maisha kwa maana ya hizo inflation, kila miaka huwa zinapanda tu..

Shida yetu kuu ni controlling kila mahala kuanzia kwenye Birth rate, death rate, population growth, mpangilio mbovu wa makazi, plan mbovu za makazi, miundombinu mibovu, na shida nyingine nyiiiingi ambazo zinahitaji nguvu kubwa kuanzia ngazi ya familia na muda wa kufanya..
 
Nayasikia sana, ila ndo huyo mliyemfurahia awaongoze mlimponda yule mwingine na chuki juu wakati maisha yalikuwa afadhali kidogo.
Na bado tutakoma.
Yule hakuwa na kitu kinaitwa humanity hata kidogo hicho tu mengine alijitahidi kidogo, angalia viongozi wabovu kipindi chake kama Makonda, Mnyeti, Mrisho Gambo, Ally Hapy, RC wa Mbeya, Sabaya, Jery Muro n.k
 
Sikiliza bro,usiongee bila kuweka mifano ili kulinganisha,unaposema kitu hiki kule ni nafuu kuliko kwetu,weka hizo bei na pia wrka thamani za sarafu za hiyo nchi kwa kulinganisha na tanzania,vinginevyo utakuwa unaongea porojo tu
Ht bila kutoa mifano hv kweli kinachoendelea hapa nchini kuhusu mfumuko wa bei huuoni?

Ndani ya miezi bidhaa inapanda bei mara mbili?
 
Huyu ana humanity lkn ndo hivyo uchumi wa wananchi unadorora. Haya tuvumilie tuache kulalamika
Mkuu ulikuwa unafurahia watu wanavyoteswa magerezani sijui uhujumu uchumi, sekta binafsi aliua kabisa mpaka watu wakaanza kuficha pesa majumbani, hapa dawa ni katiba mpya tuachane na huu mfumo wa kutegemea mtu mmoja
 
Mkuu ulikuwa unafurahia watu wanavyoteswa magerezani sijui uhujumu uchumi, sekta binafsi aliua kabisa mpaka watu wakaanza kuficha pesa majumbani, hapa dawa ni katiba mpya tuachane na huu mfumo wa kutegemea mtu mmoja
Kwani mbowe aliswekwa gerezani na magufuli?

Kama katiba mpya itashusha bei ya mafuta basi sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…