Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ni chizi tuHata ukimuwekea kimaandishi atakuambia uyalete hayo mafuta ayaguse ili ahakikishe.Ni namna ya usumbufu usio na tija.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni chizi tuHata ukimuwekea kimaandishi atakuambia uyalete hayo mafuta ayaguse ili ahakikishe.Ni namna ya usumbufu usio na tija.
Sawa mkuuNi kweli hajalalamika bado
Samia alifeli kwa kumteua Makamba na Mwigulu, sasa hivi naye amegundua madaraka ni matamu kaanza kuteleza tena kwenye ishu ya katiba.
Ccm hawana nia njema kabisa na mwananchi wa kawaida.
Katiba ni sheria kuu/muongozo mkuu/mlinzi wa sheria nyingine/hubeba miongozo yote ihusuyo nchi.Kwani mbowe aliswekwa gerezani na magufuli? Kama katiba mpya itashusha bei ya mafuta basi sawa
Katiba hii angalau Nyerere aliitumia kwa udhibiti wa hali halisi na nafsi yake ili kuleta tija taifani.Ishu sio katiba ishu ni usimamizi, katiba ya sasa ikitumika ipasavyo bado ni katiba Bora,
Katiba mpya kama haitotumika vizuri still itakuwa ni worse
Hapa Tanzania hatuna serikali makini, wao wako bize tu kutengeneza plans za kubomoa wapinzani wanaotaka kuleta maeneleo hapa nchini.Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.
Ni majuzi tu nilisafiri kwenda mozambique.
Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.
Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.
Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?
Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.
Bei ya magari, TV, Computer n.k Zimekuwa juu Kabisa.
Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata......
Katiba hii angalau Nyerere aliitumia kwa udhibiti wa hali halisi na nafsi yake ili kuleta tija taifani.Usitegemee waliopo wataweza kuitumia bila kujiuliza "kwani mtamfanya nini" akikosea makusudi au kuteleza!
Hahaaa! Mianya yako ilikatiliwa mbali!!Maumivu ya mfumuko wa bei huyasikii?
Bora tufike tumechoka kuliko kuishia njiani tukiwa na nguvuMtafika mbinguni mmechoka saaana.
Huo sasa ni ubashiri ulioegemea hali ya hasi tu.Hata katiba mpya ikija still hakuna kitu mtafanya, watanzania sio watu wa hulk za aina hiyo, watapiga kelele watu wachache Tu
So hata katiba mpya ikija I'm telling you no changes yoyote, unless mnataka Tu kupunguza mamlaka ya rais but still atakuwa ni rais na ni amiri jeshi mkuu
Mianya yangu ndiyo inapandisha bei ya vitu?Hahaaa! Mianya yako ilikatiliwa mbali!!
Huo sasa ni ubashiri ulioegemea hali ya hasi tu.Kwani haujakaa ukajichekechea mambo na kubashiri hali chanya yaweza kutokea?Unasemaje kuhusu hiyo katiba mpya ambayo itaeleza consequences za kiongozi ambaye ataamua kujiamulia yake iwe ni wakati wa uongozi wake au baada ya uongozi wake?
Kwa hiyo na bei zitashukaa Tanzania baada ya Vita ya Ukrain kwisha!?msumbiji umekuta vitu rahisi sababu wao vita vya urusi na ukraine haviwahusu
Inawezekana.Ila kuna genge hilohilo likikusikia watajitahidi kila namna wakuumize,kukukatisha tamaa,kukupa kilema,kukuua au wakupige exile,detention na kukunyang'anya hata huo uhuru mdogo wa kujieleza.The new Mexico in Africa!Hivi kama tunalipa nauli kwa mtandao, na tuna lipa tanesco kwa mtandao, na tunalipia viwanja kwa mtandao , tunafanya selection ya vyuo na application kwa mtandO hivi HATUWEZI KUFANYA UCHAGUZI KWA MTANDO.?
Hahaaa! Umepigwa upofu na mataputapu gani?Ni rahisi kwa kiasi gani, Ni vyema ukaweka takwimu za bei msumbiju vs Tanzania, Msumbiji kiasi gani na Tanzania kiasi gani?...
Hakuna siku Tanzania kuliwahi kuwa na unafuu wa maisha kwa maana ya hizo inflation, kila miaka huwa zinapanda tu..
Shida yetu kuu ni controlling kila mahala kuanzia kwenye Birth rate, death rate, population growth, mpangilio mbovu wa makazi, plan mbovu za makazi, miundombinu mibovu, na shida nyingine nyiiiingi ambazo zinahitaji nguvu kubwa kuanzia ngazi ya familia na muda wa kufanya..
Hata ya sasa inatoa mwongozo kama huo but mbona hawafati?
So hata mpya itakuwa the same
Tukupe kura,alafu bado tukulindie hizo Kura!?Hivi uchaguzi wa tz unaujua wewe au huujui? Kura yako haisadii chochote katika maamuzi. Umchague usimchague lazima awe rais. Kila Mara chadema wanawwambia muandamane kura zikibiwa Ila huwa mnawaona vichaa. Sasa onjeni joto la jiwe