Ukweli usio mchungu: Serikali ya awamu ya tano imejitahidi kupambana na ufisadi na ubadhilifu

Imefanya yote hayo lakini kuna vitu haviko sawa hapo.

Ukitaka kunielewa twende pamoja mpaka 2025.
 
Umegusa penyewe..

Hizi senema tumezoea. Mwaka ulee movie ilikuwa vichwa vya treni tena vyenye lebo TRC...

Leo eti vijisenti 900m lkn CEO hapo haguswi.
Hapo hapo mafuta ya mabilioni yanapigwa kisses sawa na husikii lolote...

Huyo Kokoko hapo yupo kwa maslahi ya nani ??

 
Hongera sana kwa wote waliompinga mleta mada!

Rushwa/ ufisadi! Eti hizisimethibitiwa?

Na nani??? Huwezi ukajithibiti mwenyewe!

Serikali ganinafungakila mtu mdomo ili hata mtu akisikia trilion 2.4 hazionekani zilipo, hakuna hata moja anayeruhusiwa kuomgea ukweli huo! Au kuuliza?

Utajuaje ukweli kama watu hawana uhuru wa kutafiti na kusema ukwel???
 
Mkuu hii Id ndio ina miezi miwili, ila ni mtu mmoja mwenye id zaidi ya moja. Huyu jamaa ana Id 3 anazitumia interchangeably.
Huna hoja za kujadili na watu,umegeuka mganga mpiga ramli.
 
Kivipi? Twende pamoja?
Yaani watu wanalia ajira huku.
Harafu ukiangalia ada kubwa, wengine wanadaiwa mikopo hawajui watarudi lini huku hawana ajira.
Wakiamua kujiajiri watengeneze walau simu wapate pakutoa hela, serikali inawaambia wawe wamesoma VETA au DIT.
Twende pamoja utanielewa
 
Haya uliyaeleza yanahusiana vipi na mapambano dhidi ya ufisadi?
 
Haya uliyaeleza yanahusiana vipi na mapambano dhidi ya ufisadi?
Yaani ufisadi wanao pambania ndo unao wafaidisha wao.
Kipi bora ufisadi uwepo watu wapate ajira, au ufisadi uishe na ajira zikose
 
Nadhani Kiki na scandals za black brained people( wasanii) zilisolve tatzo la ufuatiliaj
 
Mleta mada anaikwepa kabisa hii comment!
 
Sema awamu hii wanaopiga ni wachache sn, tuambie utajiri wa Makonda na Mnyeti wa kupindukia walifanya biashara gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…