Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,308
- 21,507
Unaakili sana Mkuu!Walivyoshika panga tu wakachungulia kila sehemu wakagundua pako empty wenzao wameshakula nyama, maziwa na asali yote! Yale ya ardhini kizungumkuti, ya mtwara imeshawekwa rehani, wakaona isiwe tabu watakula wapi sasa? Wakaamua kuanzisha “mawayt elefanti” ili wapatamo pakupigia.... stuka ewe mdanganyika!