Ukweli usiopingika: Miaka 47 tangu CCM izaliwe lakini haijatendea haki watanzania kwa kuleta maendeleo stahiki.

Angalia maziwa ,mito na vyanzo vya maji vinavyopatikana hapa nchini. Alafu kuna watanzania wanakosa maji safi salama ya kunywa. Kodi na vyanzo kibao vya mapato vipo.

Angalia madini kama Tanzanite, almas na hata ruby pia Alexandrite. Madini haya yanatosha kabisa kuwa chanzo cha mapato kwa taifa letu.

Leo hii miaka 47 tangu CCM iwe izaliwe. Lakini huduma za afya ni changamoto kwa raia maskini. Akina mama wanakosa dawa, raia masikini wananyimwa miili ya ndugu zao wakifia mahospitalini. Dawa nyingi raia maskini wanananunua kwa pesa zao.

Huko vijijini mabarabara hayapitiki kwa mwaka mzima. Mvua zikinyesha kila kila kitu tabu.

Sasa miaka 47 CCM wamekwama wapi?
CCM HAINA TOFAUTI NA TLP NI JANJA JANJA TU YA KUSHINDA UCHAGUZI KWA WIZI

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Angalia maziwa ,mito na vyanzo vya maji vinavyopatikana hapa nchini. Alafu kuna watanzania wanakosa maji safi salama ya kunywa. Kodi na vyanzo kibao vya mapato vipo.

Angalia madini kama Tanzanite, almas na hata ruby pia Alexandrite. Madini haya yanatosha kabisa kuwa chanzo cha mapato kwa taifa letu.

Leo hii miaka 47 tangu CCM iwe izaliwe. Lakini huduma za afya ni changamoto kwa raia maskini. Akina mama wanakosa dawa, raia masikini wananyimwa miili ya ndugu zao wakifia mahospitalini. Dawa nyingi raia maskini wanananunua kwa pesa zao.

Huko vijijini mabarabara hayapitiki kwa mwaka mzima. Mvua zikinyesha kila kila kitu tabu.

Sasa miaka 47 CCM wamekwama wapi?
Kumbe wakati mwingine huwa mnaamua tu kujitoa ufahamu. Ila ukweli wote mnaufahamu.
 
Back
Top Bottom