Yaani mpaka waseme.
Kulitetea jitu lile yataka moyo sana
Kulitetea jitu lile yataka moyo sana
Bado hamjasema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hamjasema
Assumption ni kwamba Kabendera ni mwongo.Kabendera ana maumivu na magufuli
But Kwa upande mwingine hata waliochapisha hiko kitabu nao wanamakosa coz sidhani kama ni Sawa Sawa kupublish taarifa ambazo hazina uhakika wa 100%
Kabisa aise! Kuna watu wanaboa sanaKwanini mpk aandike madhaifu yake,ukumbuke tayari huyu mtu ni marehemu,nini kiko nyuma yake,kuna kiongozi ambaye amepita hakuwa na mapungufu?tulisikia ya Nyerere,Mwinyi,Mkapa na hata Kikwete,sasa kwanini ya Magufuli ayavalie njuga mpaka aandike kitabu,kwahiyo na huyu tulie naye pia akipita ataandika kitabu.Hakuna binadamu asiye na mapungufu,mazuri yapo na mabaya yapo,atuache tujenge nchi asituletee chuki ili kutuharibia amani ya nchi yetu...
Tundu lisu huwa ninamfananisha na Magufuli alierekebisha mapungufu yake🤔Uzuri tupo watu wenye uhai ambao tunampenda na kumtetea JPM
Umeyajuaje wewe ni mtoto wa Magufuli?Nimeshindwa niweke wapi hii comment, JF mnaweza unganisha na uzi wowote.
Tukio la Janeth Magufuli kulazwa Muhimbili Novemba 2016 linapaswa kufafanuliwa kwa muktadha wa ukweli na uwazi. Huwa inahuzunisha sana kuona watu wanaweza wakawa wanaongelea tukio la kusimuliwa, wakalifanya ukweli wakati halina ukweli. Magufuli pamoja na madhaifu mengi aliyokuwa nayo, alisingiziwa mengi sana, na wengi hayo waliyoyasikia wameyafanya kuwa ndio maisha ya Magufuli wakati wa Uhai wake. Na mmoja wa waliodanganywa, lakini anadhani ana habari ya kweli ni Erick Kabendera. Lakini unaelewa kwa namna Erick alivyopita katika tanuru la moto, anaweza asiyafikirie vyema hata yale aliyosimuliwa.
Wakati Mama Janeth Magufuli analazwa Muhimbili Novemba 2016, huyu Mama hakupata kipigo chochote, lakini ndio ilikuwa habari ya mjini. Ni muhimu kwa wale waliohusika kwa namna moja au nyingine na matibabu yake bila kusimuliwa kuweka wazi kwamba hali yake ya kiafya kipindi kile haikuwa na uhusiano wowote na kipigo au ukatili wa aina yoyote. Badala yake, lilikuwa jambo la kiafya ambalo lilihitaji matibabu ya kitaalamu na uangalizi wa karibu. Kama kila mtu siri zake za matibabu zingetolewa nje, basi labda tungekuwa na mtazamo tofauti kuhusu mambo mengi sana kuhusu watu na vitu. Mfano kwa waliofariki unaweza ukaondoa imani za kurogwa, kupigwa n.k, na kwa wale wanaoishi unaweza gundua kwamba wengine labda wamebakiza siku chache, na hata ukisikia wamefariki, hutoshtuka.
Kwa wale waliokuwa karibu na mazingira hayo ya hospitali wakati Janeth amelazwa, dalili na hali iliyoshughulikiwa hospitalini kipindi hicho haikuonyesha ishara yoyote ya majeraha yanayoweza kuhusishwa na ukatili wa kimwili. Uchunguzi uliofanywa ulionyesha sababu za kiafya zinazohusiana na matatizo ya kawaida yanayoweza kumpata mtu yeyote na hakika yanawapata watu wengi tu kila siku. Shida ukiwa mke wa Rais, watu wanadhani haupaswi kulazwa.
Katika kipindi hicho, Janeth akiwa amelazwa, Magufuli alionekana kujali sana na alikuwa karibu na mkewe, akihakikisha kuwa anapata huduma bora. Hayati Magufuli, alitumia muda wake mwingi usiku kukaa na mkewe wodini Muhimbili. Hakuna waandishi wa habari wajualo hilo, maana walilishwa matango pori. Taarifa za uvumi zinazohusiana na tukio hili hazina msingi wowote wa kweli, na ni muhimu kutozizingatia ili kuepuka kueneza dhana potofu.
Kutokana na Erick Kabendera kulishwa tango pori hilo (najua anajiamini sana na aliloandika), inaonesha hata habari nyingine kuhusu Magufuli, zitakuwa ni hekaya, zisizokuwa na ukweli.
Ni muhimu sana sisi binadamu kuacha kuongelea habari tusizokuwa na uhakika nazo hasa za kifamilia. Ukiwa na hizo tabia, usishangae watu wakiongelea habari zako, ambazo nawe hata huzijui. Karma is real.
Bila ushaidi hata hii pia ni hekaya ya abunuasiNimeshindwa niweke wapi hii comment, JF mnaweza unganisha na uzi wowote.

Hata kama wao wana makosa lakini bado hayafuti makosa ya mwendazake.Iruhusiwe timu Dkt Magufuli na timu yenu ya wezi tufanye mijadala tuone nani ataibuka mshindi. Nyie ni ka kikundi ka wajinga wajinga yaani mlimuua Dkt Magufuli na bado mnaendelea kutusimanga, inauma sana tena sana. Ila Mungu wetu yupo hai anatuona machozi yetu
KWANI MTOTO WA MAGUFULI HAWEZI KUDANGANYA? KUFICHA UKWELI?Nilitegemea chini utaandika
"Ni mimi mtoto wa John"
Hapo ndio ningeamini
What is your point?Nimeshindwa niweke wapi hii comment, JF mnaweza unganisha na uzi wowote.
Tukio la Janeth Magufuli kulazwa Muhimbili Novemba 2016 linapaswa kufafanuliwa kwa muktadha wa ukweli na uwazi. Huwa inahuzunisha sana kuona watu wanaweza wakawa wanaongelea tukio la kusimuliwa, wakalifanya ukweli wakati halina ukweli. Magufuli pamoja na madhaifu mengi aliyokuwa nayo, alisingiziwa mengi sana, na wengi hayo waliyoyasikia wameyafanya kuwa ndio maisha ya Magufuli wakati wa Uhai wake. Na mmoja wa waliodanganywa, lakini anadhani ana habari ya kweli ni Erick Kabendera. Lakini unaelewa kwa namna Erick alivyopita katika tanuru la moto, anaweza asiyafikirie vyema hata yale aliyosimuliwa.
Wakati Mama Janeth Magufuli analazwa Muhimbili Novemba 2016, huyu Mama hakupata kipigo chochote, lakini ndio ilikuwa habari ya mjini. Ni muhimu kwa wale waliohusika kwa namna moja au nyingine na matibabu yake bila kusimuliwa kuweka wazi kwamba hali yake ya kiafya kipindi kile haikuwa na uhusiano wowote na kipigo au ukatili wa aina yoyote. Badala yake, lilikuwa jambo la kiafya ambalo lilihitaji matibabu ya kitaalamu na uangalizi wa karibu. Kama kila mtu siri zake za matibabu zingetolewa nje, basi labda tungekuwa na mtazamo tofauti kuhusu mambo mengi sana kuhusu watu na vitu. Mfano kwa waliofariki unaweza ukaondoa imani za kurogwa, kupigwa n.k, na kwa wale wanaoishi unaweza gundua kwamba wengine labda wamebakiza siku chache, na hata ukisikia wamefariki, hutoshtuka.
Kwa wale waliokuwa karibu na mazingira hayo ya hospitali wakati Janeth amelazwa, dalili na hali iliyoshughulikiwa hospitalini kipindi hicho haikuonyesha ishara yoyote ya majeraha yanayoweza kuhusishwa na ukatili wa kimwili. Uchunguzi uliofanywa ulionyesha sababu za kiafya zinazohusiana na matatizo ya kawaida yanayoweza kumpata mtu yeyote na hakika yanawapata watu wengi tu kila siku. Shida ukiwa mke wa Rais, watu wanadhani haupaswi kulazwa.
Katika kipindi hicho, Janeth akiwa amelazwa, Magufuli alionekana kujali sana na alikuwa karibu na mkewe, akihakikisha kuwa anapata huduma bora. Hayati Magufuli, alitumia muda wake mwingi usiku kukaa na mkewe wodini Muhimbili. Hakuna waandishi wa habari wajualo hilo, maana walilishwa matango pori. Taarifa za uvumi zinazohusiana na tukio hili hazina msingi wowote wa kweli, na ni muhimu kutozizingatia ili kuepuka kueneza dhana potofu.
Kutokana na Erick Kabendera kulishwa tango pori hilo (najua anajiamini sana na aliloandika), inaonesha hata habari nyingine kuhusu Magufuli, zitakuwa ni hekaya, zisizokuwa na ukweli.
Ni muhimu sana sisi binadamu kuacha kuongelea habari tusizokuwa na uhakika nazo hasa za kifamilia. Ukiwa na hizo tabia, usishangae watu wakiongelea habari zako, ambazo nawe hata huzijui. Karma is real.
Tanzania ni nchi yenye wapuuzi wa kila aina, huyo Kabendera kashindwa kuwa muwazi halafu eti anaonekana hayo anayoyasema yana ukweli kwa asilimia mia moja!.Samia ana cha kujifunza kuhusu haya yanayoaemwa kuhusu magufuli,
Mashtaka kuhusu vifo vya watu sio ya kukaliwa kimya na kiongozi wa nchi Au kusema kifo ni kifo tuu.
Yatakuja kunghalimu familia yake akiwa mstaafu Au hayati.
Toa ushuda wa hiki unachoandika,kama Kabendera muongo, wewe unapata wapi ukweli wa kukanusha?? Support your post by using evidence!!!!Nimeshindwa niweke wapi hii comment, JF mnaweza unganisha na uzi wowote.
Tukio la Janeth Magufuli kulazwa Muhimbili Novemba 2016 linapaswa kufafanuliwa kwa muktadha wa ukweli na uwazi. Huwa inahuzunisha sana kuona watu wanaweza wakawa wanaongelea tukio la kusimuliwa, wakalifanya ukweli wakati halina ukweli. Magufuli pamoja na madhaifu mengi aliyokuwa nayo, alisingiziwa mengi sana, na wengi hayo waliyoyasikia wameyafanya kuwa ndio maisha ya Magufuli wakati wa Uhai wake. Na mmoja wa waliodanganywa, lakini anadhani ana habari ya kweli ni Erick Kabendera. Lakini unaelewa kwa namna Erick alivyopita katika tanuru la moto, anaweza asiyafikirie vyema hata yale aliyosimuliwa.
Wakati Mama Janeth Magufuli analazwa Muhimbili Novemba 2016, huyu Mama hakupata kipigo chochote, lakini ndio ilikuwa habari ya mjini. Ni muhimu kwa wale waliohusika kwa namna moja au nyingine na matibabu yake bila kusimuliwa kuweka wazi kwamba hali yake ya kiafya kipindi kile haikuwa na uhusiano wowote na kipigo au ukatili wa aina yoyote. Badala yake, lilikuwa jambo la kiafya ambalo lilihitaji matibabu ya kitaalamu na uangalizi wa karibu. Kama kila mtu siri zake za matibabu zingetolewa nje, basi labda tungekuwa na mtazamo tofauti kuhusu mambo mengi sana kuhusu watu na vitu. Mfano kwa waliofariki unaweza ukaondoa imani za kurogwa, kupigwa n.k, na kwa wale wanaoishi unaweza gundua kwamba wengine labda wamebakiza siku chache, na hata ukisikia wamefariki, hutoshtuka.
Kwa wale waliokuwa karibu na mazingira hayo ya hospitali wakati Janeth amelazwa, dalili na hali iliyoshughulikiwa hospitalini kipindi hicho haikuonyesha ishara yoyote ya majeraha yanayoweza kuhusishwa na ukatili wa kimwili. Uchunguzi uliofanywa ulionyesha sababu za kiafya zinazohusiana na matatizo ya kawaida yanayoweza kumpata mtu yeyote na hakika yanawapata watu wengi tu kila siku. Shida ukiwa mke wa Rais, watu wanadhani haupaswi kulazwa.
Katika kipindi hicho, Janeth akiwa amelazwa, Magufuli alionekana kujali sana na alikuwa karibu na mkewe, akihakikisha kuwa anapata huduma bora. Hayati Magufuli, alitumia muda wake mwingi usiku kukaa na mkewe wodini Muhimbili. Hakuna waandishi wa habari wajualo hilo, maana walilishwa matango pori. Taarifa za uvumi zinazohusiana na tukio hili hazina msingi wowote wa kweli, na ni muhimu kutozizingatia ili kuepuka kueneza dhana potofu.
Kutokana na Erick Kabendera kulishwa tango pori hilo (najua anajiamini sana na aliloandika), inaonesha hata habari nyingine kuhusu Magufuli, zitakuwa ni hekaya, zisizokuwa na ukweli.
Ni muhimu sana sisi binadamu kuacha kuongelea habari tusizokuwa na uhakika nazo hasa za kifamilia. Ukiwa na hizo tabia, usishangae watu wakiongelea habari zako, ambazo nawe hata huzijui. Karma is real.
Hukusoma kitabu cha Ludovick Mwijage kumhusu Nyerere?...Hata huyu wa sasa kurasa zinaendelea kuandikwa, akitoka tuu watu wanaingiza kitabu sokoni. Yaliyomkuta Sativa na wengine yako well documented.Kwanini mpk aandike madhaifu yake,ukumbuke tayari huyu mtu ni marehemu,nini kiko nyuma yake,kuna kiongozi ambaye amepita hakuwa na mapungufu?tulisikia ya Nyerere,Mwinyi,Mkapa na hata Kikwete,sasa kwanini ya Magufuli ayavalie njuga mpaka aandike kitabu,kwahiyo na huyu tulie naye pia akipita ataandika kitabu.Hakuna binadamu asiye na mapungufu,mazuri yapo na mabaya yapo,atuache tujenge nchi asituletee chuki ili kutuharibia amani ya nchi yetu...
Wewe andika mojawapo kati ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa au Kikwete. Yeye kaamua kuandika ya Mgufuri, shida iko wapi?Kwanini mpk aandike madhaifu yake,ukumbuke tayari huyu mtu ni marehemu,nini kiko nyuma yake,kuna kiongozi ambaye amepita hakuwa na mapungufu?tulisikia ya Nyerere,Mwinyi,Mkapa na hata Kikwete,sasa kwanini ya Magufuli ayavalie njuga mpaka aandike kitabu,kwahiyo na huyu tulie naye pia akipita ataandika kitabu.Hakuna binadamu asiye na mapungufu,mazuri yapo na mabaya yapo,atuache tujenge nchi asituletee chuki ili kutuharibia amani ya nchi yetu...
Linawezekana pia ila kama una matatizo na mzazi wako na alikuwa bully unaweza kusemaKWANI MTOTO WA MAGUFULI HAWEZI KUDANGANYA? KUFICHA UKWELI?
Assumption ni kwamba Kabendera ni mwongo.
Tatizo, hoja zote zinazompinga huyu kabendera zipo uchi kuliko habari ya Kabendera. Yaani ni kama mtu mzima anayemkemea mtoto asitembee na nguo ya ndani pekee huku yeye hajavaa chochote.
Natamani atokee mtu mwenye kujua uhalisia ndo ampinge Kabendera kwa hoja zenye ushahidi badala ya hiki kinachoendelea.
Nani alikwambia kuwa ulipigwa lazima upate mchubuko au majeraha ya nje.Nimeshindwa niweke wapi hii comment, JF mnaweza unganisha na uzi wowote.