Ukweli Usiosemwa: Hali Halisi ya Matukio Muhimbili November 2016 Kuhusu Janeth Magufuli

Kabendera ana maumivu na magufuli
But Kwa upande mwingine hata waliochapisha hiko kitabu nao wanamakosa coz sidhani kama ni Sawa Sawa kupublish taarifa ambazo hazina uhakika wa 100%
Assumption ni kwamba Kabendera ni mwongo.

Tatizo, hoja zote zinazompinga huyu kabendera zipo uchi kuliko habari ya Kabendera. Yaani ni kama mtu mzima anayemkemea mtoto asitembee na nguo ya ndani pekee huku yeye hajavaa chochote.

Natamani atokee mtu mwenye kujua uhalisia ndo ampinge Kabendera kwa hoja zenye ushahidi badala ya hiki kinachoendelea.
 
Samia ana cha kujifunza kuhusu haya yanayoaemwa kuhusu magufuli,

Mashtaka kuhusu vifo vya watu sio ya kukaliwa kimya na kiongozi wa nchi Au kusema kifo ni kifo tuu.

Yatakuja kunghalimu familia yake akiwa mstaafu Au hayati.
 
Kabisa aise! Kuna watu wanaboa sana
 
Umeyajuaje wewe ni mtoto wa Magufuli?
 
Bila ushaidi hata hii pia ni hekaya ya abunuasi
 
Hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe, kwa Mama Janeth mwenyewe anasemaje kulazwa kwake kunahusiana na nini hasa
 
Hata kama wao wana makosa lakini bado hayafuti makosa ya mwendazake.
 
What is your point?
 
Samia ana cha kujifunza kuhusu haya yanayoaemwa kuhusu magufuli,

Mashtaka kuhusu vifo vya watu sio ya kukaliwa kimya na kiongozi wa nchi Au kusema kifo ni kifo tuu.

Yatakuja kunghalimu familia yake akiwa mstaafu Au hayati.
Tanzania ni nchi yenye wapuuzi wa kila aina, huyo Kabendera kashindwa kuwa muwazi halafu eti anaonekana hayo anayoyasema yana ukweli kwa asilimia mia moja!.

Hao wanaosema rais kauwa mtu fulani hawana ushahidi zaidi wanapita humo kwenye umbea wa kusikika katika maongezi ya mitaani.

Hatuoni taabu kufungua midomo yetu na kuongea vitu ambavyo hatuna ushahidi navyo kwa kutegemea vyanzo feki vya habari.

Ni nchi ya kipumbavu sana, na upumbavu wetu unatokana na uvivu wa kutafuta habari za kweli pamoja na uvivu wa kutafuta maarifa unaozaa ujinga mwingi vichwani.
 
Kwa hili hapana aisee. Pengine mshua ashawahi kumpiga lakini asingeweza kumpeleka public hospital . Hii ilikua public stunt ya kua mke wa mkuu anatibiwa hospitali ya uma
 
Toa ushuda wa hiki unachoandika,kama Kabendera muongo, wewe unapata wapi ukweli wa kukanusha?? Support your post by using evidence!!!!
 
Hukusoma kitabu cha Ludovick Mwijage kumhusu Nyerere?...Hata huyu wa sasa kurasa zinaendelea kuandikwa, akitoka tuu watu wanaingiza kitabu sokoni. Yaliyomkuta Sativa na wengine yako well documented.
 
Wewe andika mojawapo kati ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa au Kikwete. Yeye kaamua kuandika ya Mgufuri, shida iko wapi?
 
Kabendera ana hasira na magufuli sababu alimbinya sana,alichukua pesa zake ambazo alipewa na wafadhili kipindi hicho akiwa anafanya harakati zake za kumchafua magufuli ila zaidi Kabendera ana hasira na magufuli sababu kipindi akiwa jela mama yake mzazi Kabendera aliumwa na kumuulizia na kuomba mara kadhaa akamuone kabla umauti haujamkuta then kilichotokea ni mamlaka kumkazia na hakuruhusuwa dhamana na hakumuona mama yake hadi siku anapewa taarifa ya msiba wa mama yake.

Katika mazingira ya hivyo usitegemee huyu mtu atamuelewa Magufuli hata kidogo. Atamchukia na kumuongelea mabaya yote.

So jamaa tayari anakosa uhalali wa kuandika kitabu chenye maudhui ya ukweli kumhusu magufuli sababu tayari ni mtu anae mchukia with passion.
 
KWANI MTOTO WA MAGUFULI HAWEZI KUDANGANYA? KUFICHA UKWELI?
Linawezekana pia ila kama una matatizo na mzazi wako na alikuwa bully unaweza kusema
Inawezekana hata ukawaambia marafiki wa karibu
Utotoni tulikuwa tunajua ni baba gani mzuri na yupi ni katili kwa marafiki zetu
Watoto hawafichi na atakuambia aisee baba anatupiga nyumba nzima
 

Kumbuka anaesemwa alikuwa Rais wa Inchi

Means kama hayo yote yalitokea kama kabendera anavyosema basi kuna shida kubwa kwenye taasisi ya Urais

Na ndio hapo ninapoona haya mambo ni kama yamepikwa Tu

Hayana ushahidi wa moja Kwa moja
 
Nani alikwambia kuwa ulipigwa lazima upate mchubuko au majeraha ya nje.

Nilishawahi mpiga Mke wangu akalazwa kumbe pressure ilipanda...binafsi ndiyo Mimi Nilikuwa naye hospital Muda wote..na nilihakisha hasemi kilichotokea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…