Ukweli Usiosemwa: Hali Halisi ya Matukio Muhimbili November 2016 Kuhusu Janeth Magufuli

Serikali hutoa taarfa kwa kile unachopenda kukisikia, wewe elezea mazuri yake unayoyajua na kila mtu atasema anavyomjua. Kuna watu Magufuli ni malaika haipingwi na kuna watu hawataki hata kusikia jina lake. Muelezee wewe unavyomjua ila usikatae akielezewa vibaya na mwingine kisa wewe alikuonesha upande mzuri.
 
uko sahihi, hata watu kijijini tunafahamiana tabia zetu maana tumekua wote, tunajuana fika kwa undani kabisa tabia zetu. Magu wailisema sana kuwa yule kuna nati imelegea kidogo, huwa anavurugika na kutoa impaired judgements
 
uko sahihi, hata watu kijijini tunafahamiana tabia zetu maana tumekua wote, tunajuana fika kwa undani kabisa tabia zetu. Magu wailisema sana kuwa yule kuna nati imelegea kidogo, huwa anavurugika na kutoa impaired judgements
Kwa jinsi mtu anavyo ongea na watu au mtu basi utajua ana shida mahali
 
Jiwe alikuwa na roho ngumu sana - roho ile haikuwa ya Kitanzania - yaani kuamuru Lissu atandikwe marisasi hata mnyama wa mwitumi ana afadhali...achilia haya mengine ya kuibuka na bajama kwa makamo na kumpasua Ben 8 ya kichwa - laaah
 
I

Mtamtetea sana ila ukweli unabaki kuwa yule mzee alikuwa dhalimu na mkatili sana.

Tuliokulia Ada Estate na Kinondoni Shamba tunajua madhira aliyokuwa anapitia yule mama na watoto wake.

Mama zetu walikuwa kila siku kazi yao kumfariji Mama Magufuli.

Kama vipigo na mates yule mama amekula sana. Ndo mana saivi amenawiri sana!
 
Duh! Kweli dozi ilipenya kisawasawa hahaha!
Sio rahisi kumsahau uncle jpm Ni alama kwenye mioyo yao milele yaani likitajwa jina tu watu wanahamaki! Manina!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…