Ukweli usiosemwa juu ya dini za Kiafrika

Ukweli usiosemwa juu ya dini za Kiafrika

Anaelewa ya kuwa ndoa ni kuishi na mume na mengineyo kuhusu ndoa. Kuna ndoa na kuna kuishi na mume,usichanganye viwili hivi.

Nakukumbusha pia,alioelewa akiwa na miaka sita akaenda kuishi na mumewe akiwa ana miaka tisa. Hapa kwenye miaka tisa huwa unapakimbia sababu huwezi kupajengea hoja.

Je binti wa miaka tisa hawezi kuishi na mume ?

Binti wa miaka tisa hawezi kuwa amebaleghe ?

Binti wa miaka tisa haingiliwi ?

Na kuuliza swali kadhalika,ndoa inahitaji nini hasa ?


Unaweza kunithibitishia alipokuwa na miaka hiyo tisa alikuwa bado hajabaleghe ?

Nipe ubaya wa hiyo ndoa sasa,usilalamike na maswali yangu uyajibu vizuri na kielimu.
Aisha ameolewa akiwa na miaka 6 au 9 ? naona unajitoa akili sana pamoja nakuzunguka zunguka
 
Kwanza sifa hizi zina mapungufu nazinadondoshwa na swali moja tu,vipi nyinyi mmeumbwa au mmejiumba ?

Pili naomba uzithibitishe hizo sifa kama kweli hao miungu wengu wanazo ?!
Hivi wewe unafikiri kila mtu anaamini katika ujinga huo wa kuumbwa , mababu zetu hawakuamini kwenye hizo blah blah sisi tulivyo ndivyo tulivyo hakuna alietuumba tumezaliwa , alietuumba kaumbwa na nani ?
 
Hijja ipo hata utalii haujulikani. Ungekuwa mwenye kutumia akili vizuri usingeuliza ujinga huu.

Umuhimu wa hijja ameufundisha mtume amani ya Allah iwe juu yake,kwahiyo suala la utalii si katika hijja na fadhila zake ameueleza mtume na hadtihi ziko wazi.

Sasa ndio uniambie ya kuwa je kipindi cha mtume kilikuwa na utalii ?

Lakini pili,ni kuwa suala la hijja ni kwa mtu mwenye uwezo.
Toka gizani.
 
Hujajibu swali nimekwambia hivi misingi ya dini za mababu ilikuwa imejengeka katika nini ?

Usiniambie walivyokuwa wanafanya nataka uniambie misingi.
Misingi ya dini za Mashariki ya mbali umejengeka katika nini!?
 
Unaona sasa unashangaa babu kuoa kabinti wakati mabibi zetu wameolewa katika umri mdogo(chini ya miaka 18) ambao sasa hivi ukioa binti wa umri huo inahesabika umebaka,inaonesha uzungu umekuingia sana ila hapa unapiga kelele tu.
Unalizungumziaje hilo la Mudy?
 
Unalizungumziaje hilo la Mudy?
Imani ni jambo la ajabu , yaani babu la miaka 50 kuoa katoto kamiaka 6 ambako ata kubalehe bado , ndio nashangaa kafungishwa vip ndoa mtoto huyu asielewa ata mwili wake ulivyo ahahahahaah aibu kubwa hii,Mohammed alikua katili sana
 
1. Unajua unachekesha sana nimekupa msingi wa dini za mababu zetu kuwa ni
-Matendo
- miiko yake
Lakini cha kushangaza unalazimisha mambo ambayo hayapo , ata kwa rafiki zetu MABBUDHA misingi mikuu ya imani yao kwao wote ni 4
- Dukkha
- Samudaya
-Nirodha
- Magga

Nilianza kwa kukupa maana ya tamko "msingi" ili kutoingia yale yote yasiyo husu misingi,ajabu maana pia hukuielewa.

Haya unayo yatajs ni matawi au matokeo,sasa rudi katika asili ya hayo matokeo ndio misingi yenyewe.
2. mimi nakwambia uthibitishe kweli Mohammed katokewa na malaika unaanza ngonjera

Naona unakimbia kivuli chako,hukuniambia nithibitishe hilo,wewe umekanusha hilo na kutushangaa sana,sasa kama unataka tena uthibitisho unaonekana ni jinsi gani ulivyo kichwa mchunga yaani unajikataa mwenyewe baada ya kuona swali gumu.

Anaekanusha ndio ndio anae takiwa kithibitisha sababu anaonekana ana elimu kubwa juu ya hilo. Sasa wewe ndio ututhibitishie ya kuwa hajatokewa na malaika,ukishindwa kujibu hilo,itabidi ujibu hili "Kwanini unaandika mambo usio kuwa na ujuzi nayo ?"
 
3. KUDAI UTUME sio jambo kubwa unacheza na akili za watu wasiojielewa kama wewe ,

Nacheka sana,lazima unyooshe maelezo,kama kazi rahisi ina maana unaiweza bila shaka,sasa dai utume na ucheze na akili zetu,uone ni jinsi gani watu wanavyotumia akili.
Nyie waislamu mpaka leo mnakataa utume wa Paulo lakini wakristo wanaukabali,

Ushawahi kujiuliza kwanini ? Kielimu hasa hizi za dini kila kitu kimewekwa wazi ni watu kuchukua,waambie wakristo wathibitishe hilo na uwaulize nini maana ya utume na waulize Paulo alipewa utume na nani na kwa watu gani ?
Wakristo wanakataa utume wa Mohammed lakini wewe unaukubali , kwahiyo kukubali na kukataliwa ni jambo liliopo wazi ata mimi wapo watakao nikubali na watakao nikataa ,
Kujua ukweli wa jambo ni rahisi sana tazama hoja za pande mbili kisha utajua nani mkweli nani muongo.

Ama kudai tu watu wanadai mpaka uungu a wanadai Mola muumba hayupo. Kazi huwa inawia vigumu katika kuthibitisha madai yao.
wewe umeingia mkenge kukubali miungu ya kiarabu kisa kadai kutokewa na vitu alivyovitangaza mwenyewe ,

Huu wingi wa miungu umeupata wapi ? Sisi ametufundisha mtume amani ya Allah iwe juu yake ya kuwa Mola ni mmoja tu hana mshirika.
4. Umezungumza vitabu vya kale , vitabu gani hivyo vilivyomtaja

Naona una tatizo la kunukuu maandishi,hili unakosea mara ya pili.

Hakuna sehemu niliyo sema ya kuwa vitabu vya kale vimemtaja,nilisema wale walio msadikisha walijua kuhusu utume wake sababu walikuwa wana elimu ya vitabu vya kale.

Ukiwa unasoma maandishi tuliza akili.
 
Hivi wewe unafikiri kila mtu anaamini katika ujinga huo wa kuumbwa , mababu zetu hawakuamini kwenye hizo blah blah sisi tulivyo ndivyo tulivyo hakuna alietuumba tumezaliwa , alietuumba kaumbwa na nani ?

Nacheka sana. Sasa chanzo chenu nyinyi na mababu zenu ni kipi yaani ? Ilikuwaje mkawepo hapa duniani ?

Mababu waliamini nini kuhusu chanzo cha ulimwengu na maisha kwa ujumla ? Au walikuwa hawajishughulishi na kujua chanzo ?

Kwanini unataka kujua aliye tuumba kaumbwa na nani ? Je kuna haja ya kujua hilo na je linawezekana ya yule aliye tuumba akawa na yeye kaumbwa ? Sasa muwe mnauliza maswali kwa kufikiria kwanza kabla ya kuuliza swali,sababu masali unayouliza au ulilouliza ni swali la uongo.
 
Aisha ameolewa akiwa na miaka 6 au 9 ? naona unajitoa akili sana pamoja nakuzunguka zunguka

Sishangai wewe kuniuliza swali hili,sababu kusoma maandishi husomi kwa utulivu na haumakiniki pia.

Ungesoma nilicho kiandika kwa utulivu usinge uliza swali hili.

Nimeandika aliolewa akiwa na miaka sita na akaenda kuishi na mumewe akiwa na miaka tisa,kisha nikakuuliza maswali kama matatu hivi lakini hujajibu hata moja.

Nilikuuliza mtoto wa miaka tisa hawezi kuwa amebaleghe ?

Unaweza kunithibitishia ya kuwa alivyoenda kuishi na mumewe hakuwa amebaleghe ?

Binti wa miaka tisa haingiliwi ?

Je mazingira hayawezi kuwahisha au kuchelewesha baleghe ? Swali hili nimeliongeza ili ufikirie vizuri usiwe unakurupuka.


Nipo ......
 
Ndio kiranga anayo dini kwani si ana mfumo wa maisha yake ya kila siku
Aisee!

Kwahiyo wewe mkuu unataka waafrika tufuate mfumo wa maisha waliyoishi mababu zetu huko zamani na tuachane na mfumo wa maisha tuliyonayo sasa,si ndiyo?
 
Umetaka kujua waislamu wa hapa kwetu walisomaje , nimekujibu vizuri tu baada ya uhuru wote waliruhusiwa kwenda shule , tatizo liko wapi ?
Wewe umesema elimu ndio iliyotufanya tuache imani zetu za mababu na kufuata dini za kuja,si ndivyo ama sivyo?
 
Naweza kuoa binti aliebalehe na mwenye utimamu wa akili, Mohammed kaoa katoto ka miaka 6 ambako ata kubalehe bado kwa lugha nyepesi Mohammed kafungishwa ndoa kwa katoto ambako bado akana utimamu wa kupambanua mambo , hii ndoa ni batili , swali jingine
Hujajibu nilichokuuliza halafu mie sizungumzii habari za Muhammad,nimekuuliza unaweza kuoa binti chini ya miaka 18 sasa hivi? hata bibi wa miaka 50 amebalehe pia na ana akili timamu ila swali langu unawrza kuoa binti chini ya miaka 18? maana sasa ni sawa na ubakaji kuoa binti chini ya umri huo ila babu zetu walio mabibi zetu wa kiafrika waliyochini ya umri huo.
 
Hujajibu nilichokuuliza halafu mie sizungumzii habari za Muhammad,nimekuuliza unaweza kuoa binti chini ya miaka 18 sasa hivi? hata bibi wa miaka 50 amebalehe pia na ana akili timamu ila swali langu unawrza kuoa binti chini ya miaka 18? maana sasa ni sawa na ubakaji kuoa binti chini ya umri huo ila babu zetu walio mabibi zetu wa kiafrika waliyochini ya umri huo.
Naweza kuoa kabisa kama amebalehe , sifa ya kuoa sio umri nielewe vizuri , sifa ya kuoa ni yule mwanamke kuwa amebalehe tayari kutimiza tendo la ndoa , hivi ndivyo mababu zetu walifanya , na serikali haikatazi kama sio mwanafunzi , serikali inalinda haki ya mtoto kusoma sio kwamba ajafikia wakati wa kuolewa usichanganye madawa, Mohammed ameoa katoto ambako katu akabalehe tabia mbaya kabisa kutoka kwa babu hili
 
Wewe umesema elimu ndio iliyotufanya tuache imani zetu za mababu na kufuata dini za kuja,si ndivyo ama sivyo?
Huyu jamaa kichwa kigumu kweli
1. Walipoingia wakoloni kutuvamia ilikuwa wao ndio wenye serikali

2. ili upate kazi lazima usome elimu yao ya kikoloni , ili usome lazima ufate masharti yao kutoka kwa watu wao wamishionari

3.Watu wakaanza kufata imani mpya pamoja maw kuwarithisha watoto wao, wakaanza kupinga dini zetu za asili kuwa azifai

4. Tulipopata uhuru hao viongozi wenyewe tayari ni waumini wa imani mpya sasa watalinda vip imani ya mababu zao , basi imani asili ikawa ndio kwaheri

5. Twende kwa waislamu , mwarabu ndio alianza kufika kabla ya mzungu , mikoa aliofikia alikuja na vitu vyake ikiwemo dini ya kiislamu watu wengi waswahili wa pwani wakajifunza lugha yao wakawa ndio wasomi , wanaowasaidia katika tawala zao kurahisisha biashara haramu ya utumwa

6. Alipoingia mzungu wale waislamu nao wakatakiwa kubadili imani kuwa wakristo , waliokataa ndio kama unavyoona mikoa ya pwani ikawa nyuma kwenye elimu ya mzungu

6. Tulipopata uhuru ile mikoa ya pwani nayo ikapata fursa ya kusoma maana mtawala alikuwa mweusi , hivyo dini haikua tatizo , japo alikuwa mkristo , wote ni watumwa wa miungu ya majahazi
 
Aisee!

Kwahiyo wewe mkuu unataka waafrika tufuate mfumo wa maisha waliyoishi mababu zetu huko zamani na tuachane na mfumo wa maisha tuliyonayo sasa,si ndiyo?
Mimi kinachonishangaza wachina wameshika miungu yao mambo saafi, wahindi mambo saafi , wajapan mambo saafi , kwanini nyie muache miungu yenu mmekuwa wapumbavu, mmepata laana kuacha miungu yenu , ikataeni miungu ya majahazi
 
Back
Top Bottom