Wewe umesema elimu ndio iliyotufanya tuache imani zetu za mababu na kufuata dini za kuja,si ndivyo ama sivyo?
Huyu jamaa kichwa kigumu kweli
1. Walipoingia wakoloni kutuvamia ilikuwa wao ndio wenye serikali
2. ili upate kazi lazima usome elimu yao ya kikoloni , ili usome lazima ufate masharti yao kutoka kwa watu wao wamishionari
3.Watu wakaanza kufata imani mpya pamoja maw kuwarithisha watoto wao, wakaanza kupinga dini zetu za asili kuwa azifai
4. Tulipopata uhuru hao viongozi wenyewe tayari ni waumini wa imani mpya sasa watalinda vip imani ya mababu zao , basi imani asili ikawa ndio kwaheri
5. Twende kwa waislamu , mwarabu ndio alianza kufika kabla ya mzungu , mikoa aliofikia alikuja na vitu vyake ikiwemo dini ya kiislamu watu wengi waswahili wa pwani wakajifunza lugha yao wakawa ndio wasomi , wanaowasaidia katika tawala zao kurahisisha biashara haramu ya utumwa
6. Alipoingia mzungu wale waislamu nao wakatakiwa kubadili imani kuwa wakristo , waliokataa ndio kama unavyoona mikoa ya pwani ikawa nyuma kwenye elimu ya mzungu
6. Tulipopata uhuru ile mikoa ya pwani nayo ikapata fursa ya kusoma maana mtawala alikuwa mweusi , hivyo dini haikua tatizo , japo alikuwa mkristo , wote ni watumwa wa miungu ya majahazi