Ukweli usiosemwa juu ya dini za Kiafrika

Mbaya zaidi tunawaomba watakatifu wa kizungu watuombee, kwani Afrika hapakuwahi kuwa na watakatifu. China, Japan na nchi nyingine za bara la Asia wana practice dini zao na wako mbali kimaendeleo. Wazungu wenyewe hata kanisani hawaendi na wengi ukiwauliza wanasema hawana dini. Angalia diplomatic community za kutoka Ulaya, Marekani, yaani wengi hawana dini. Halafu wao mtu kuwa shoga ni human rights etc. Pia watanzaniaa wengi wana practice dini 2. Yaani kila kukicha matatizo lukuki Africa huku viongozi wakijinasibu wanamjua Mungu kumbe unafiki tu. Nilishawahi kwenda Fiji, wale watu ni full mila zao. Kwenye ufunguzi wa hafla za kitaifa na kimataifa yanapigwa matambiko ya kufa mtu. Yaani more than one hour, tena yanafanywa public huku raisi akishuhidia.
Afrika itakuja kuwa imara pale itakapoacha kufungamana na mambo tuliyobebeshwa na watu wa nje. Hata historia inaonyesha ni namna gani dini zilikuwa zinatumika na wazungu kutawala mali na watu wa Afrika. Viongozi wa dini zote walikuwa wametumwa na serikali zao kutimiza malengo fulani na walipewa ulinzi mkubwa
 
Resurection is historical...Jesus existed and was crucified.

We have more proofs for that than we have for Aristotle and Plato.
Itathibitisha kwa maneno tu ambayo aliyekuambia naye aliambiwa
 
Lugha kwa lengo la kuwasiliana haina shida ikiwa tu wahusika wote mnaelewana
Big up! Ila ulipochanganya tena kizungu umeshaingi utamadumi wao. Kuna mambo mazuri ya kuiga kutoka kwao achilia mbali mambo ya imani. Kwa imani tumepigwa sana.
 
Afrika ina dini ambazo ni nyingi sana kuliko bara lolote lile Duniani. Dini hizi nyingi zimepigwa ban na watu wa nje (whites) kwa sababu tu ya inferior ya mtu mweusi wa zamani. Kuishi kwa kumtegemea mzungu kwa kila kitu hadi ikapelekea hadi sasa watu wanategemea pia dini za Kizungu.

Hakuna kabila hata moja Afrika ambalo limepoteza imani ya dini yao, ndio maana hata waendao makanisani hutembelea kwa mababu zao kupata kinga. Dini zote Afrika zilikuwa hazihusiani na uchawi ila mtu mweupe ndiye aliempa mtu mweusi uchawi kwa mafunzo maalumu akimdanganya ya kiimani.

Uchawi Afrika uliletwa na mzungu na ukweli huu haupingiki. ukiachana na hayo lakini pia upande wa maadili hapa nianze kwa salamu

U hai? ndugu hata kama haupo hai ila ukweli ukifikie huko huko ulipo. Nani aliyekuambia kuwa Afrika watu walikuwa wanavaa nguo full mwili mzima? Angalia wamasai japo na hao pia wamejaribu kubadilika. Ila hali ilikuwa mbaya sana zamani.

Watu walikuwa wanazuii tupu tu, Vikande vyote vya nyuma vilikuwa wazi na hakukuwa wa kushangaa katika hili kwa sababu ndiko tulikotoka. Ujio wa white man ukatibua hali ya hewa wakabadili,mtindo wa mavazi,dini, elimu, lugha, biashara na kila kitu.

Sasa katika mambo waliobadili pamoja na nidhamu na kusema nchi za Afrika hawajastarabika kwa sababu wanatembea uchi, wanaabudu madudu, wanaongea lugha chafu n.k. Watu wa Afrika walilazimishwa kukopi mila na mitindo yote ya Kizungu.

Unaposema vijana wetu hawana maadili ni kutukana wazee wetu wa zamani ambao walikuwa wanawinda,na kupiga ngoma uchi.

Hawa wapuuzi wa kizungu ndio walioita matabibu wetu kwa jina baya eti Matabibu wa kichawi(witch doctor) na wao kujiita Doctors, physician mara sijui wakemia n.k. Wakasema kupiga ngoma ni ushamba ila tupige miziki ya kisasa n.k.
Sioni jema la wazungu katika imani, wala tamaduni na wala technology kwa sababu naamini tungepigana na hali zetu. Wale wanaoenzi mababu zetu siku hizi wanajiita TIBA MBADALA sijui ndio nini.

Wajiite wauguzi na wataalamu wa tiba na magonjwa mbalimbali.

Afrika without White's countries is possible, hatujachelewa sana tuanze ku uphold vya kwetu ili vitusaidie na sisi kwa masilai yetu. Hivi vya kuletewa havitufai kwani "NGUO YA KUAZIMA HAISITIRI MA**KO" na ndio mana mambo hayaendi kama ilivyotakiwa.

Nawachukia wa Asia na dini zao i.e Christian and Muslims. Wewe ndugu yangu mtoto na mjuu wa Likangamai hayo mambo utayaweza? Ndiyo maana kulikuwa na mabala na aina ya watu na mila tofautitofauti, sasa ya nje ya nini na kuona kama vile ulichelewa kuvipata?

Kwani wao walikuwa hawajui kama Afrika kuna watu? mbona wamefika baada ya manyanyaso mauaji na dhulma kwa ndg zetu? Nini za Asia ni dini za ukweli kwa Asia na dini za Afrika ni za kweli kwa Afrika tu?

Jambo gani jema limewahi semwa na hao watu juu ya mababu zetu? wamewatukana sana kupitia imani zao na leo wamefanikisha kutufanya ndg,jamani tunaenda wapi na ilihali tunakotoka tunakudharau?

NAIPENDA AFRIKA SANA NA HATA NIKIWA JIRANI NA MZUNGU WOTE WE FEEL DIFFERENCES ON EACH AND EVERYTHING.RELIGION, LANGUAGE, STYLES,CUSTOMS, COLOUR, AWARENESS, ASSERTIVENESS STATUS, RECOGNITION e.t.c.
Ukweli haupingiki hata mniue hadi nife

TO MAKE THINGS VERY CLEAR

Wachangiaji wengi ambao hawakubaliani na mtazamo wa mada hii,hoja hii wamejikita kwenye mizimu. Naomba nifahamishe kwamba mizimu ni jina la MTU yeyote wa taifa lolote na Rangi yoyote aliyekufa na kuaminika bado anaishi katika hali ya gesi (invisible & intangible).

GHOST: the soul of a dead person thought of as living in an unseen world or asappearing to living people: .
Hivyo basis neno MIZIMU (GHOST) lisitumike tu negatively kuponda watu waliokufa Afrika.

Pia Milima, miti mikubwa, mapango etc kwa Afrika ilikuwa teknolojia pekee kwa wakati huo kama icon & symbol (alama) ya watu kukutana na siyo walikuwa wanaabudu hivyo vitu vilivyotajwa hapo na vifananavyo.

Watu walikuwa wanaomba Mungu kupitia waliotangulia kwani kwa nyakati hizo walikuwa kioo na dira pekee na walikuwa wanafanikisha kwa imani hiyo.

To be continued soon.
Zaburi 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
² Bali sheria ya Bwana ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
 
Itathibitisha kwa maneno tu ambayo aliyekuambia naye aliambiwa
Biiblia tu ni uthibitisho wa kuwepo kwa Yesu..The bible is historical literature. .Hapo hatujaenda extra-biblical exo-canonical archeological literatures
 
Bado pale pale tu kwani hata ww unaamini kabisa bibilia iliandikwa na watu waliosimuliwa na watu kuhusu stori za Yesu.
 
Afrika ina dini ambazo ni nyingi sana kuliko bara lolote lile Duniani. Dini hizi nyingi zimepigwa ban na watu wa nje (whites) kwa sababu tu ya inferior ya mtu mweusi wa zamani. Kuishi kwa kumtegemea mzungu kwa kila kitu hadi ikapelekea hadi sasa watu wanategemea pia dini za Kizungu.

Hakuna kabila hata moja Afrika ambalo limepoteza imani ya dini yao, ndio maana hata waendao makanisani hutembelea kwa mababu zao kupata kinga. Dini zote Afrika zilikuwa hazihusiani na uchawi ila mtu mweupe ndiye aliempa mtu mweusi uchawi kwa mafunzo maalumu akimdanganya ya kiimani.

Uchawi Afrika uliletwa na mzungu na ukweli huu haupingiki. ukiachana na hayo lakini pia upande wa maadili hapa nianze kwa salamu

U hai? ndugu hata kama haupo hai ila ukweli ukifikie huko huko ulipo. Nani aliyekuambia kuwa Afrika watu walikuwa wanavaa nguo full mwili mzima? Angalia wamasai japo na hao pia wamejaribu kubadilika. Ila hali ilikuwa mbaya sana zamani.

Watu walikuwa wanazuii tupu tu, Vikande vyote vya nyuma vilikuwa wazi na hakukuwa wa kushangaa katika hili kwa sababu ndiko tulikotoka. Ujio wa white man ukatibua hali ya hewa wakabadili,mtindo wa mavazi,dini, elimu, lugha, biashara na kila kitu.

Sasa katika mambo waliobadili pamoja na nidhamu na kusema nchi za Afrika hawajastarabika kwa sababu wanatembea uchi, wanaabudu madudu, wanaongea lugha chafu n.k. Watu wa Afrika walilazimishwa kukopi mila na mitindo yote ya Kizungu.

Unaposema vijana wetu hawana maadili ni kutukana wazee wetu wa zamani ambao walikuwa wanawinda,na kupiga ngoma uchi.

Hawa wapuuzi wa kizungu ndio walioita matabibu wetu kwa jina baya eti Matabibu wa kichawi(witch doctor) na wao kujiita Doctors, physician mara sijui wakemia n.k. Wakasema kupiga ngoma ni ushamba ila tupige miziki ya kisasa n.k.
Sioni jema la wazungu katika imani, wala tamaduni na wala technology kwa sababu naamini tungepigana na hali zetu. Wale wanaoenzi mababu zetu siku hizi wanajiita TIBA MBADALA sijui ndio nini.

Wajiite wauguzi na wataalamu wa tiba na magonjwa mbalimbali.

Afrika without White's countries is possible, hatujachelewa sana tuanze ku uphold vya kwetu ili vitusaidie na sisi kwa masilai yetu. Hivi vya kuletewa havitufai kwani "NGUO YA KUAZIMA HAISITIRI MA**KO" na ndio mana mambo hayaendi kama ilivyotakiwa.

Nawachukia wa Asia na dini zao i.e Christian and Muslims. Wewe ndugu yangu mtoto na mjuu wa Likangamai hayo mambo utayaweza? Ndiyo maana kulikuwa na mabala na aina ya watu na mila tofautitofauti, sasa ya nje ya nini na kuona kama vile ulichelewa kuvipata?

Kwani wao walikuwa hawajui kama Afrika kuna watu? mbona wamefika baada ya manyanyaso mauaji na dhulma kwa ndg zetu? Nini za Asia ni dini za ukweli kwa Asia na dini za Afrika ni za kweli kwa Afrika tu?

Jambo gani jema limewahi semwa na hao watu juu ya mababu zetu? wamewatukana sana kupitia imani zao na leo wamefanikisha kutufanya ndg,jamani tunaenda wapi na ilihali tunakotoka tunakudharau?

NAIPENDA AFRIKA SANA NA HATA NIKIWA JIRANI NA MZUNGU WOTE WE FEEL DIFFERENCES ON EACH AND EVERYTHING.RELIGION, LANGUAGE, STYLES,CUSTOMS, COLOUR, AWARENESS, ASSERTIVENESS STATUS, RECOGNITION e.t.c.
Ukweli haupingiki hata mniue hadi nife

TO MAKE THINGS VERY CLEAR

Wachangiaji wengi ambao hawakubaliani na mtazamo wa mada hii,hoja hii wamejikita kwenye mizimu. Naomba nifahamishe kwamba mizimu ni jina la MTU yeyote wa taifa lolote na Rangi yoyote aliyekufa na kuaminika bado anaishi katika hali ya gesi (invisible & intangible).

GHOST: the soul of a dead person thought of as living in an unseen world or asappearing to living people: .
Hivyo basis neno MIZIMU (GHOST) lisitumike tu negatively kuponda watu waliokufa Afrika.

Pia Milima, miti mikubwa, mapango etc kwa Afrika ilikuwa teknolojia pekee kwa wakati huo kama icon & symbol (alama) ya watu kukutana na siyo walikuwa wanaabudu hivyo vitu vilivyotajwa hapo na vifananavyo.

Watu walikuwa wanaomba Mungu kupitia waliotangulia kwani kwa nyakati hizo walikuwa kioo na dira pekee na walikuwa wanafanikisha kwa imani hiyo.

To be continued soon.
Tulizidiwa maarifa kwenye silaha na elimu dunia. Walitutawala wakaigawa Africa kwenye Berlin Conference 1885-1886 . Tulifanywa watumwa wa fikra na imani . Kwa kifupi tumetawaliwa hata sasa , majina yetu ni ya kizungu watoto wetu ni kama vimdoli vinavyoongea English na kuringia vyakula vya kizungu. Sisi wenyewe bure kabisa hao watu weupe wanatucheka tuna kila rasilimali lakini tunanuka umaskini . Tuna viongozi waizi wanaiba hela Africa na kuzipeleka kwenye mabenki ya Ulaya. Wakiumwa wanapelekwa kutibiwa huko ulaya. Wakati hospitali na shule zetu hazina hadhi kwa sababu ya upigaji. Kwa kweli sisi ni viumbe wa ajabu sana. Inauma lakini ha!
Tuamke Waafrika kwenye usingizi huu mzito!!
 
Back
Top Bottom