UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Wazungu wa nchi gani waliyoanzisha huo ukristo?Kwani ukristo kaanzisha nani ? kama sio hao hao wazungu , hiki ni chao tu , maelezo yangu nikukuonyesha ata kitu chenu kinamifikisha pazuri mkikithamini , sio ushamba wa kuvamia imani za watu
Masuala ya imani yatabaki kuwa imani tu hiyo Hinduism ni suala la kuwa na waumini wengi tu huko India basi na hakuna cha ziada zaidi ya wao kuamini hicho wanacho amini na ndiyo maana wahindi wengine wakaamua kuamini vyengine tofauti na hivyo basi kila mtu maisha yanaenda na wote wanabaki kuwa wahindi tu.