Ukweli usiosemwa juu ya dini za Kiafrika

Labda tuache kubisha masuala ya matumizi ya haya maneno ya nani anatakiwa kuitwa mkubwa au mdogo na tuzungumzie uhalisia,unajua kwamba kuna madhara huwa yanawakumba hao mabinti wakati wakujifungua kwao na wakati mwengine husababishia kifo na hiyo yote ni kutokana na miili yao bado haijawa teyari kukabiliana changamoto hizo?
Duniani hakuna kisichoua ata ugali ukiingia njia ya hewa unakufa sasa je watu waache kula ? ndio nikakwambia aliebalehe huyo sio mtoto na kufa kwa baadhi akufanyi jambo lile liwe baya
 
Unapinga nini au unakubali nini ? wazungu ndio wameanzisha ukristo , vinginevyo umekuja na jibu lako , ndio dini ni imani na kila mtu anacho chake , alieacha chake na kufaata cha mwenzake huyo ni mpumbavu tena asiejiamini kabisa
Ndio nimekuuliza wazungu wa wapi hao waliyoanzisha ukristo? maana hapo unakuwa unazungumzia kitu kilichobuniwa na si tamaduni za watu kama unavyowazungumzia wahindi kwamba hinduism ni tamaduni zao na si kitu walichokaa na kuanza kubuni.
Sasa ni wazungu gani huko ulaya walioamua kuacha tamaduni zao na kubuni ukristo ma ndio ukasambaa kwa wazungu wote?

Sikia mimi ni muafrika hiyo ndio asili yangu na siwezi kubadili kwa kuchagua tofauti na hivyo ila imani ni tofauti ni suala la uwamuzi unaweza kuchagua imani yeyote na ukawa muumini wa hiyo imani ila huwezi wewe muafrika ukaamua kuwa mchina.

Hakuna anayezaliwa na asili ya imani kwamba mambo mengi ambayo tunafikiri ni asili ya watu fulani unakuta yalikuwepo kabla sehemu nyengine,kasome kitabu cha invention of tradition.
 
Duniani hakuna kisichoua ata ugali ukiingia njia ya hewa unakufa sasa je watu waache kula ? ndio nikakwambia aliebalehe huyo sio mtoto na kufa kwa baadhi akufanyi jambo lile liwe baya
Lakini huwezi kunywa sumu kwa hoja ya kwamba kila kitu kina madhara au kila mtu atakuja,sasa nachozungzia hao mabinti madhara wanayopata ni kutokana na miili yao kutokukomaa kuweza kukabiliana na hayo mambo na hivyo ni madhara yenye kuepukika kabisa hivyo hao mabinti kujiingiza kwenye mahusiano na kubeba mimba ni madhara ya kujitakia ni sawa na tunavyoona ajali za uzembe na zisizo za uzembe.

Hapa sizungumzii neno mkubwa wala mdogo,nishatoka huko.
 
Ndio nimekuuliza wazungu wa wapi hao waliyoanzisha ukristo? maana hapo unakuwa unazungumzia kitu kilichobuniwa na si tamaduni za watu kama unavyowazungumzia wahindi kwamba hinduism ni tamaduni zao na si kitu walichokaa na kuanza kubuni.
Sasa ni wazungu gani huko ulaya walioamua kuacha tamaduni zao na kubuni ukristo ma ndio ukasambaa kwa wazungu wote?

Sikia mimi ni muafrika hiyo ndio asili yangu na siwezi kubadili kwa kuchagua tofauti na hivyo ila imani ni tofauti ni suala la uwamuzi unaweza kuchagua imani yeyote na ukawa muumini wa hiyo imani ila huwezi wewe muafrika ukaamua kuwa mchina.

Hakuna anayezaliwa na asili ya imani kwamba mambo mengi ambayo tunafikiri ni asili ya watu fulani unakuta yalikuwepo kabla sehemu nyengine,kasome kitabu cha invention of tradition.
ASILI maana yake watu wa eneo hilo walitengeneza wakakubaliana kuwa ndio mtindo wa maisha yao , ata kama unafanana na watu fulani lakini hakuna aliemuiga mwenzie kila mtu na taratibu zake za kijamii na kiroho , walioanzisha ukristo ni wazungu wenyewe baada ya kuona sasa wanahitaji kubadili muonekano wao kijamii wakaja na dini yao , ndio maana ata kitabu walikikusanya wao na wakakipunguza wao pale walipoona inafaa kupunguza kwa faida ya vizazi vyao
 
Lakini huwezi kunywa sumu kwa hoja ya kwamba kila kitu kina madhara au kila mtu atakuja,sasa nachozungzia hao mabinti madhara wanayopata ni kutokana na miili yao kutokukomaa kuweza kukabiliana na hayo mambo na hivyo ni madhara yenye kuepukika kabisa hivyo hao mabinti kujiingiza kwenye mahusiano na kubeba mimba ni madhara ya kujitakia ni sawa na tunavyoona ajali za uzembe na zisizo za uzembe.

Hapa sizungumzii neno mkubwa wala mdogo,nishatoka huko.
Nimekwambia watu awajaanza kuzaa leo wala wakunga awajaanza leo, watu wamezaliwa maelfu kwa maelfu na mabinti hawa hawa , hiyo unayosema ni hatari ni sehemu ndogo ya madhara , ndio maana nikakwambia ata chakula kikiingia njia ya hewa kinaua ,lakini wanaokufa ni sehemu ndogo. ili ndio ulielewe, hakuna mtoto duniani anaeweza kubeba mimba
 
I say it again that Africa without European was possible. By mkuu Frustration
Kabisa mkuu absolutely! Ile issue ya kule Afrika Kusini ya waziri aliyependekeza pawepo na University ya Mambo ya Kiafrika uliisikia! Yaani iruhusu kila mwenye ujuzi wa mambo ya kiafrika apeleke ujuzi wake ili ufanywe technology ya mwafrika ila sijui hii iliishia wapi kwani alipingwa na waafrika wenyewe wakimwita mshirikina. Ila alikuwa na logic, ebu fikiri wale wanaopaa na ungo wakaitumia ile sayansi kwa manufaa na kikatengenezwa chombo kama ungo kusafirisha watu mchana kweupee tena kwa spidi kali! Mzungu si angejiona bado sana na ma boeing yake!? Ila nyie mnawaita wachawi wakifa na sayansi yao kwisha!
Someni kidogo issue ya Bsc in Witchcraft hapa chini.

Mfano mwingine hamkuwahi kusikia issue ya Mwanamalundi huyu ndugu yetu alikuwa na uwezo mbalimbali, mfano aliweza otesha mwembe kwa muda mfupi ukakua na kuzaa matunda na watu wakala maembe siku hiyo hiyo! Inapendeza enhe! Sasa sisi na dini za kigeni eti tunamwita witch-doctor au wizard! Yaani mwanasayansi mkubwa huyu ni witch-doctor au wizard! Wazungu bhana.... Tunajilaani wenyewe!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mkuu umenichekesha sana eti tutumie ungo kusafirisha abiria kwa spidi ya ajabu.
Sasa tatizo hao wachawi wanajificha na kufanya vitu vyao kwa Siri.
Ukiwaita mchana wajitokeze na kuonyesha manjonjo yao hawataki.
 
1.Yaani mtu akitishia kutoa uhai basi katiba inawekwa pembeni?? Katiba inakuwa na maana gani ikiwa watu watatishia kutoa uhai kila mara mambo hayaendani na matamko yao??? Eti, katiba inamruhusu, wananchi (wengi wao wakiwa wahindu) wamempigia kura chama chake huku wakijua kua ni mzungu, lakini bado akatishwa na vurugu kutoka wanawake wa kihindu!!! Wewe kweli unazote? Singh ndie architect ya mageuzi ya kiuchumi huko India, na ndio maana akamwachia madaraka kamili!

2. Angalia filamu Gandhi ya Richard Attenborough ambayo imebased juu ya true life story ya Gandhi, na utaona anavyombembeleza Nehru amwaachie madaraka Jinnah, ili India ibaki ilivyo. Kabla ya kuwa kiongozi wa kiroho, Gandhi alikuwa kiongozi wa Congress, iliyopigania uhuru : In 1921, Gandhi was the leader of the Indian National Congress.[104] He reorganised the Congress. With Congress now behind him, and Muslim support triggered by his backing the Khilafat movement to restore the Caliph in Turkey,[104] Gandhi had the political support and the attention of the British Raj.[106][101][103. Gandhi and Jinnah had extensive correspondence and the two men met several times over a period of two weeks in September 1944, where Gandhi insisted on a united religiously plural and independent India which included Muslims and non-Muslims of the Indian subcontinent coexisting. Jinnah rejected this proposal and insisted instead for partitioning the subcontinent on religious lines to create a separate Muslim India (later Pakistan).[10][163]These discussions continued through 1947.[164](wikipedia)

3. Hivi unajua kuwa Punjab pia ilitaka kujitenga na kuanzisha taifa lao ya wasikh iitwayo Khalistan? Kifo cha Indira Gandhi ilisababishwa na harakati hizi za kujitenga. Usisahau umesema kuwa Sikhism pia ni dini ya kiasili pale India, sasa nini kilichowafanya wafikirie kujitenga.

4. Waziri Mkuu muislamu hayupo lakini nchi inaongozwa na cabinet ya mawaziri, na humu wako waislamu wengi sana. Sasa sijui kwa nini nchi yenye uadui na waislamu inawaweka waislamu kwenye nafasi nyeti za ministerial, judicial na defence posts, na zote hizo ni za kuteuliwa na waziri mkuu mwenye dini ya kiasili?

5. Hamna hoja ya kuelimisha kutoka kwako. Unasema dini zisiyo za kiasili zimepigwa vita na wahindu, na nimekuletea mifano mbali mbali, kwamba sivyo lakini unabadili msimamo. Unajiita 'ielewemtaa' lakini hakuna kitu ulichoelewa wewe mwenyewe!. Nimeshakuchoka na nafunga zangu naondoka!

1. Sonia Gandi akukataa kwa hiari yake mazingira yalimlazimisha kwanza nikuweke sawa hapa , baada ya Indian National Congress kupata kura nyingi watu walitegemea PM atakuwa Sonia lakini BJP walikataa kwa hoja kuwa huyu sio mzaliwa wa INDIA(foreign born) , tabia zake na tamaduni zake aziko kwenye miiko ya KIINDI( jamii aina cha kujifunza apa ) , ndio maana watu kama Mrs Sushma Swaraj na Sadhri Uma Bharti walitishia kujitoa UHAIA wao kwa kuaribu vichwa vyao iwapo tu SONIA ataapa kuwa PM , haya mambo ndio yalisababisha SONIA kukaa pembeni ata kama katiba inamruhusu lakini watu wamekukataa, angechafua nchi huyu , ndio maana akakaa pembeni , kupisha wenye sifa stahiki kushika usukani
2. Huo ni uongo Gandi alikuwa ni kiongozi wa kiroho wa Wahindu hakuwa na uwezo wa kumfanya Jinnah awe PM kwa namna yeyote ile , Wahindu katu wasingekubali asilani, kuhusu ugomvi wa WASIKH na WAHINDU inaeleweka sababu ni wale walinzi wa kisikh waliomuua Gandi , ndio ugomvi ulipoanza , wala hakuna uhusiano na yale ya kutengana kwa INDIA na Pakistan
3. Leta jina la Muislamu mmoja aliekuwa PM wa INDIA , nafasi nyingine inawezekana kwani ata Kashmir kuna waislamu ambao ni sehemu ya INDIA , sasa unategemea atawaongoza nani , lazima wajiongoze wenyewe kwa kuwa na wawakilishi wao , ambao wanakuwa sehemu ya serikali ya INDIA
 
ASILI maana yake watu wa eneo hilo walitengeneza wakakubaliana kuwa ndio mtindo wa maisha yao , ata kama unafanana na watu fulani lakini hakuna aliemuiga mwenzie kila mtu na taratibu zake za kijamii na kiroho , walioanzisha ukristo ni wazungu wenyewe baada ya kuona sasa wanahitaji kubadili muonekano wao kijamii wakaja na dini yao , ndio maana ata kitabu walikikusanya wao na wakakipunguza wao pale walipoona inafaa kupunguza kwa faida ya vizazi vyao
Wazungu gani hao mbona huwataji? maana hata hao waarabu huwa anatajwa Muhammad na dini zengine zinajulikana zimeanza vp ama kuanzishwa na nani ila wewe unaishia kusema waxungu wameanzisha ukristo.

Na kama hiyo ndio maana asili basi hata sasa tunavyoishi ndio mfumo tuliyochagua kuishi maana hakuna mtu anayetushinikiza tuishi hivi tunavyoishi ni wazi tumechagua wenyewe mfumo wa maisha bila kujari pia kuwa unafanana na wapi wala uliwahi kuwepo wapi.
 
1.Yaani mtu akitishia kutoa uhai basi katiba inawekwa pembeni?? Katiba inakuwa na maana gani ikiwa watu watatishia kutoa uhai kila mara mambo hayaendani na matamko yao??? Eti, katiba inamruhusu, wananchi (wengi wao wakiwa wahindu) wamempigia kura chama chake huku wakijua kua ni mzungu, lakini bado akatishwa na vurugu kutoka wanawake wa kihindu!!! Wewe kweli unazote? Singh ndie architect ya mageuzi ya kiuchumi huko India, na ndio maana akamwachia madaraka kamili!

2. Angalia filamu Gandhi ya Richard Attenborough ambayo imebased juu ya true life story ya Gandhi, na utaona anavyombembeleza Nehru amwaachie madaraka Jinnah, ili India ibaki ilivyo. Kabla ya kuwa kiongozi wa kiroho, Gandhi alikuwa kiongozi wa Congress, iliyopigania uhuru : In 1921, Gandhi was the leader of the Indian National Congress.[104] He reorganised the Congress. With Congress now behind him, and Muslim support triggered by his backing the Khilafat movement to restore the Caliph in Turkey,[104] Gandhi had the political support and the attention of the British Raj.[106][101][103. Gandhi and Jinnah had extensive correspondence and the two men met several times over a period of two weeks in September 1944, where Gandhi insisted on a united religiously plural and independent India which included Muslims and non-Muslims of the Indian subcontinent coexisting. Jinnah rejected this proposal and insisted instead for partitioning the subcontinent on religious lines to create a separate Muslim India (later Pakistan).[10][163]These discussions continued through 1947.[164](wikipedia)

3. Hivi unajua kuwa Punjab pia ilitaka kujitenga na kuanzisha taifa lao ya wasikh iitwayo Khalistan? Kifo cha Indira Gandhi ilisababishwa na harakati hizi za kujitenga. Usisahau umesema kuwa Sikhism pia ni dini ya kiasili pale India, sasa nini kilichowafanya wafikirie kujitenga.

4. Waziri Mkuu muislamu hayupo lakini nchi inaongozwa na cabinet ya mawaziri, na humu wako waislamu wengi sana. Sasa sijui kwa nini nchi yenye uadui na waislamu inawaweka waislamu kwenye nafasi nyeti za ministerial, judicial na defence posts, na zote hizo ni za kuteuliwa na waziri mkuu mwenye dini ya kiasili?

5. Hamna hoja ya kuelimisha kutoka kwako. Unasema dini zisiyo za kiasili zimepigwa vita na wahindu, na nimekuletea mifano mbali mbali, kwamba sivyo lakini unabadili msimamo. Unajiita 'ielewemtaa' lakini hakuna kitu ulichoelewa wewe mwenyewe!. Nimeshakuchoka na nafunga zangu naondoka!
1. BJP sio mtu ni chama ( tena kikubwa cha siasa )pia hili ulielewe kwanza kwahiyo ni mtazamo wa kichama vilevile ni mawazo ya wawakilishi wa vyama vya siasa , ndio maana SONIA akaamua kukaa pembeni , halafu waliomchagua sio wananchi kwa ujumla wao , bali ni wawakilishi kutoka vyama vya siasa wanaita LOKSABHA, sio suala la Raia , ndio maana mama yule kwa maslahi mapana ya nchi akaamua kukaa pembeni , wewe unaona dogo wakati limemfanya mtu asiwe PM ndipo ninapokushangaa sana , siasa za kidini na itikadi zina nguvu sana INDIA, halafu mawazo yake kukubalika na kupewa TOP JOB ni vitu viwili tofauti , huwezi kumpa top job mtu aliezaliwa huko ata kama ni muhindi ndio maana hii propaganda alishindwa kuipangua , akaamua kukaa pembeni maana ni kweli hakuwa mzaliwa wa INDIA, sasa wewe unalalamika kipi , ata Lowasa Propaganda ya ufisadi imemtesa sana japo hakuna aliethibitisha jambo hilo mahakamani, ujui wewe nguvu ya propaganda kwenye siasa kaa pembeni

2.kubembeleza ndio nini !! ndio maana nikakwambia huyu alikuwa kiongozi wa kiroho , lakini siasa ilikuwa na wenyewe wakina NEHRU , hawa katu wasingekubali kumwachia nchi Jinhah , na hili liko wazi , Gandi alitishia kuto kula lakini nani alijali , hivyo Gandi akuwa na ubavu wa kumuweka madarakani Jinnah

3.suala la kujitenga ni la kawaida sana , ata Pakistan kuna eneo linaitwa Boluchustan mpaka leo wanataka kujitenga japo nao ni waislamu , ni suala la maslahi hapa tu , mnapokaa pamoja nikawaida kufarakana , lakini hii haina maana hamuwezi ishi pamoja ndio maana mpaka leo bado WASIKH wamebaki INDIA, lakini WApakistani hawawezi kurudi INDIA maisha yao yote

4.umekubali kuwa PM muislamu hayupo , labda uniambie katika cabinet ya INDIA waislamu ni wangap ? tuanzie hapo
5. Umeona sasa unavyo payuka kijana , Hoja hapa ni dini za asili bado wahindi wamezikumbatia na zimewapa matokeo chanya , awe MUHINDU au MSIKH bado hizi zote ni asili yao , wewe ulioacha chako na kufata cha wenzako hiko ni kiherehere chako na kujipendekeza bureee
 
Wazungu gani hao mbona huwataji? maana hata hao waarabu huwa anatajwa Muhammad na dini zengine zinajulikana zimeanza vp ama kuanzishwa na nani ila wewe unaishia kusema waxungu wameanzisha ukristo.

Na kama hiyo ndio maana asili basi hata sasa tunavyoishi ndio mfumo tuliyochagua kuishi maana hakuna mtu anayetushinikiza tuishi hivi tunavyoishi ni wazi tumechagua wenyewe mfumo wa maisha bila kujari pia kuwa unafanana na wapi wala uliwahi kuwepo wapi.
1. Wazungu wa Italia walioamua kuanzisha ukatoliki ambao una vitabu 72, vilevile kuna wazungu wa ujerumani walioamua kuanzisha Uprotestant ambao una vitabu 66, kwahiyo kupanga ni kuamua inategemea wewe ukristo upi unakufaa , ASILI ina husisha mababu na mababu , mababu zako awajawai kumjua Yesu wala Allah , hiyo ni miungu ya kigeni ndio maana ata mkijamba ibada inaharibika , sasa ushuzi na ibada wapi na wapi , au sijui mtoto anabatizwa kuingizwa kwenye ukristo , sasa maji yanamuingizaje mtu kwenye imani mpya , haya mambo WAASISI wetu awakuwa na mda nayo maana ni upumbavu ahahahahaahahhahaha
 
Hamna hoja hapa - mara "ndio maana watu kama Mrs Sushma Swaraj na Sadhri Uma Bharti walitishia kujitoa UHAIA wao kwa kuaribu vichwa vyao iwapo tu SONIA ataapa kuwa PM , haya mambo ndio yalisababisha SONIA kukaa pembeni" mara "BJP sio mtu ni chama pia", mara "Lowassa ...." sijui nini? BJP enzi zile hawakuwa na wakilishi wengi na hawakuwa na uwezo wa kuzuia kitu bungeni. Mbona arguments zako hazipo kwenye facts na unabadili msimamo kama kinyonga (chameleon)???

Nimekuuliza kwanini katiba, ambayo ni sheria mama na inatawala maisha ya raia, India haikujitangaza kuwa nchi ya Wahindu. Unajibu porojo : "Kuhusu kudeclare sasa wanadeclare nini wakati maisha ndio hayo kila siku , wanasema imani zao hazina muda maalum kila siku zipo na zitaendelea kuwepo sasa wanadeclare nini ? " Ukweli ni kwamba dini ni nyingi pale India na hawakutaka dini moja ipewe nafasi maalum, ndio maana katiba ikasema nchi haina dini!

Gandhi anaitwa Father of the Nation na bado unasema "Gandi alitishia kuto kula lakini nani alijali , hivyo Gandi akuwa na ubavu wa kumuweka madarakani Jinnah" na nimeshakuwekea nukuu kutoka wikipedia lakini bado unabishana bila ya facts.

Waislamu kutengana ilikuwa kwa hiari yao na siyo unavyoshikilia wewe kwamba walisambaratishwa na watu wenye dini za kiasili. Serikali ya India wakati wa uhuru iliwasawishi waislamu kubaki na kuendelea kuishi India. Ndio maana kuna waislamu zaidi ya millioni 110 na baada ya Indonesia, India ndio nchi yenye waislamu wengi duniani. Watu wenye dini ya kiasili pale India wamekwama wapi kuwasambaratisha wote???
1. BJP sio mtu ni chama ( tena kikubwa cha siasa )pia hili ulielewe kwanza kwahiyo ni mtazamo wa kichama vilevile ni mawazo ya wawakilishi wa vyama vya siasa , ndio maana SONIA akaamua kukaa pembeni , halafu waliomchagua sio wananchi kwa ujumla wao , bali ni wawakilishi kutoka vyama vya siasa wanaita LOKSABHA, sio suala la Raia , ndio maana mama yule kwa maslahi mapana ya nchi akaamua kukaa pembeni , wewe unaona dogo wakati limemfanya mtu asiwe PM ndipo ninapokushangaa sana , siasa za kidini na itikadi zina nguvu sana INDIA, halafu mawazo yake kukubalika na kupewa TOP JOB ni vitu viwili tofauti , huwezi kumpa top job mtu aliezaliwa huko ata kama ni muhindi ndio maana hii propaganda alishindwa kuipangua , akaamua kukaa pembeni maana ni kweli hakuwa mzaliwa wa INDIA, sasa wewe unalalamika kipi , ata Lowasa Propaganda ya ufisadi imemtesa sana japo hakuna aliethibitisha jambo hilo mahakamani, ujui wewe nguvu ya propaganda kwenye siasa kaa pembeni
2.kubembeleza ndio nini !! ndio maana nikakwambia huyu alikuwa kiongozi wa kiroho , lakini siasa ilikuwa na wenyewe wakina NEHRU , hawa katu wasingekubali kumwachia nchi Jinhah , na hili liko wazi , Gandi alitishia kuto kula lakini nani alijali , hivyo Gandi akuwa na ubavu wa kumuweka madarakani Jinnah
3.suala la kujitenga ni la kawaida sana , ata Pakistan kuna eneo linaitwa Boluchustan mpaka leo wanataka kujitenga japo nao ni waislamu , ni suala la maslahi hapa tu , mnapokaa pamoja nikawaida kufarakana , lakini hii haina maana hamuwezi ishi pamoja ndio maana mpaka leo bado WASIKH wamebaki INDIA, lakini WApakistani hawawezi kurudi INDIA maisha yao yote
4.umekubali kuwa PM muislamu hayupo , labda uniambie katika cabinet ya INDIA waislamu ni wangap ? tuanzie hapo
5. Umeona sasa unavyo payuka kijana , Hoja hapa ni dini za asili bado wahindi wamezikumbatia na zimewapa matokeo chanya , awe MUHINDU au MSIKH bado hizi zote ni asili yao , wewe ulioacha chako na kufata cha wenzako hiko ni kiherehere chako na kujipendekeza bureee
 
Hamna hoja hapa - mara "ndio maana watu kama Mrs Sushma Swaraj na Sadhri Uma Bharti walitishia kujitoa UHAIA wao kwa kuaribu vichwa vyao iwapo tu SONIA ataapa kuwa PM , haya mambo ndio yalisababisha SONIA kukaa pembeni" mara "BJP sio mtu ni chama pia", mara "Lowassa ...." sijui nini? BJP enzi zile hawakuwa na wakilishi wengi na hawakuwa na uwezo wa kuzuia kitu bungeni. Mbona arguments zako hazipo kwenye facts na unabadili msimamo kama kinyonga (chameleon)???

Nimekuuliza kwanini katiba, ambayo ni sheria mama na inatawala maisha ya raia, India haikujitangaza kuwa nchi ya Wahindu. Unajibu porojo : "Kuhusu kudeclare sasa wanadeclare nini wakati maisha ndio hayo kila siku , wanasema imani zao hazina muda maalum kila siku zipo na zitaendelea kuwepo sasa wanadeclare nini ? " Ukweli ni kwamba dini ni nyingi pale India na hawakutaka dini moja ipewe nafasi maalum, ndio maana katiba ikasema nchi haina dini!

Gandhi anaitwa Father of the Nation na bado unasema "Gandi alitishia kuto kula lakini nani alijali , hivyo Gandi akuwa na ubavu wa kumuweka madarakani Jinnah" na nimeshakuwekea nukuu kutoka wikipedia lakini bado unabishana bila ya facts.

Waislamu kutengana ilikuwa kwa hiari yao na siyo unavyoshikilia wewe kwamba walisambaratishwa na watu wenye dini za kiasili. Serikali ya India wakati wa uhuru iliwasawishi waislamu kubaki na kuendelea kuishi India. Ndio maana kuna waislamu zaidi ya millioni 110 na baada ya Indonesia, India ndio nchi yenye waislamu wengi duniani. Watu wenye dini ya kiasili pale India wamekwama wapi kuwasambaratisha wote???
1.unaposema sina hoja wakati unapitia hoja zangu unashangaza sana , nilisema wazi kuwa katiba ilimruhusu kuwa PM , lakini kwasababu alikuwa ni Foreign born , ikawa haiwezekani yeye kuwa PM , kwa maslahi mapana ya nchi akaamua kukaa pembeni ,nimekwambia wazi propaganda ndio siasa , hakuna siasa ambayo haina propaganda hao wakina Mrs Sushma Swaraj ni baadhi tu ya watu waliopiga propaganda juu namna ya SONIA alipozaliwa , kwakuwa ujui kitu kuhusu propaganda unaongea utumbo , SONIA kakaa pembeni kwa maslahi ya nchi kwasababu maneno yalikuwa Mengi juu wapi kazaliwa , mbona hili jambo liko wazi acha kujitoa akili

2. Baba wa Taifa ndio nini , kwani ukisikia Baba wa Taifa kwani kila kitu anasikilizwa , wewe unakuwa kama mtoto mdogo , Gandi akuwa na mamlaka alikuwa na ushawishi , sasa anachoshawishi watu wanaweza msikiliza au wasimsikiliza , kwenye hili NEHRU na wanasiasa wenzake hawakuwa tayari kumuachia nchi Jinnah

3. huyu vip mbona aelewi , sababu ya kutengana ni Dini , nimekuuliza swali wakati wanatengana , ni Dini gani ilikuwa upande mmoja na UISLAMU ? jibu hilo swali maaana unajitoa akili
 
Nimekwambia watu awajaanza kuzaa leo wala wakunga awajaanza leo, watu wamezaliwa maelfu kwa maelfu na mabinti hawa hawa , hiyo unayosema ni hatari ni sehemu ndogo ya madhara , ndio maana nikakwambia ata chakula kikiingia njia ya hewa kinaua ,lakini wanaokufa ni sehemu ndogo. ili ndio ulielewe, hakuna mtoto duniani anaeweza kubeba mimba
Vizuri kwanza mwenyewe umekubali madhara yapo sasa point ni kwamba mimba kwa hao mabinti athari zake ni kubwa kuliko faida zake(kama zipo) na uzuri ni jambo lenye kuweza kuepukika hivyo ni uamuzi sahihi kuepuka hilo jambo ili kuepusha hayo madhara ni tofauti na chakula ambapo kula ni lazima na ni jambo tusiloweza kuliepuka hivyo pamoja na kuwepo na hizo ajari za chakula kupita katika njia ya hewa.

Leo hii kuna ulazima gani wa kumkatisha masomo binti kwa kumbebesha mimba?
 
1. Wazungu wa Italia walioamua kuanzisha ukatoliki ambao una vitabu 72, vilevile kuna wazungu wa ujerumani walioamua kuanzisha Uprotestant ambao una vitabu 66, kwahiyo kupanga ni kuamua inategemea wewe ukristo upi unakufaa , ASILI ina husisha mababu na mababu , mababu zako awajawai kumjua Yesu wala Allah , hiyo ni miungu ya kigeni ndio maana ata mkijamba ibada inaharibika , sasa ushuzi na ibada wapi na wapi , au sijui mtoto anabatizwa kuingizwa kwenye ukristo , sasa maji yanamuingizaje mtu kwenye imani mpya , haya mambo WAASISI wetu awakuwa na mda nayo maana ni upumbavu ahahahahaahahhahaha
Unazungumzia kuanzishwa kwa ukristo au madhehebu na vitabu vyao? maana hata afrika kila kabila lina mila zake ila kwa pamoja mnaita imani au dini za kiafrika.

Na kwanini nifuate walichokiamini watu kabla yetu kisa tu walikuwa mababu zetu wakati wao walifuata hizo imani kwa uamuzi wao kwa manufaa yao kipindi chao,sasa hiki ni kizazi chengine hivyo tunafuata tuamuacho sie kwa kipindi chetu na tunaofaidika ama kutokufaidika ni sisi na pia hata sisi tutakuja kuitwa mababu pia kwa vizazi vijavyo kama mababu ni ishu sana.
 
Hizi habari za muafrika kuacha asili yake unaweza kufikiri muafrika kabadilika kawa kama mzungu au muarabu,.
 
Unasema "huyu vip mbona aelewi , sababu ya kutengana ni Dini" wakati mimi nimeshakubali tangu mwanzoni kwamba sababu ya kutengana ni dini, lakini ilikuwa ni kwa sababu ya matakwa ya waislamu. Ndio maana kwenye katiba yao Pakistan imejitangaza rasmi kwamba ni nchi ya waislamu na imejiita Islamic Republic of Pakistan. Kwa nini kwenye katiba yao India haikujitangaza kuwa ni nchi ya wahindu na dini zingine za kiasili na badala yake wamesema nchi ya India haina dini????
1.unaposema sina hoja wakati unapitia hoja zangu unashangaza sana , nilisema wazi kuwa katiba ilimruhusu kuwa PM , lakini kwasababu alikuwa ni Foreign born , ikawa haiwezekani yeye kuwa PM , kwa maslahi mapana ya nchi akaamua kukaa pembeni ,nimekwambia wazi propaganda ndio siasa , hakuna siasa ambayo haina propaganda hao wakina Mrs Sushma Swaraj ni baadhi tu ya watu waliopiga propaganda juu namna ya SONIA alipozaliwa , kwakuwa ujui kitu kuhusu propaganda unaongea utumbo , SONIA kakaa pembeni kwa maslahi ya nchi kwasababu maneno yalikuwa Mengi juu wapi kazaliwa , mbona hili jambo liko wazi acha kujitoa akili
2. Baba wa Taifa ndio nini , kwani ukisikia Baba wa Taifa kwani kila kitu anasikilizwa , wewe unakuwa kama mtoto mdogo , Gandi akuwa na mamlaka alikuwa na ushawishi , sasa anachoshawishi watu wanaweza msikiliza au wasimsikiliza , kwenye hili NEHRU na wanasiasa wenzake hawakuwa tayari kumuachia nchi Jinnah
3. huyu vip mbona aelewi , sababu ya kutengana ni Dini , nimekuuliza swali wakati wanatengana , ni Dini gani ilikuwa upande mmoja na UISLAMU ? jibu hilo swali maaana unajitoa akili
 
Mkuu, nakupongeza kwa hoja zako zilizokuwa factual, consistent and thorough!" Inaonekana wewe kama mimi ni mpenda ukweli, ila huyu jamaa hana aibu, anazungusha ukweli (twisting facts) mradi apate kitu ya kusema!!!

Unazungumzia kuanzishwa kwa ukristo au madhehebu na vitabu vyao? maana hata afrika kila kabila lina mila zake ila kwa pamoja mnaita imani au dini za kiafrika.
Na kwanini nifuate walichokiamini watu kabla yetu kisa tu walikuwa mababu zetu wakati wao walifuata hizo imani kwa uamuzi wao kwa manufaa yao kipindi chao,sasa hiki ni kizazi chengine hivyo tunafuata tuamuacho sie kwa kipindi chetu na tunaofaidika ama kutokufaidika ni sisi na pia hata sisi tutakuja kuitwa mababu pia kwa vizazi vijavyo kama mababu ni ishu sana.
 
Mkuu, nakupongeza kwa hoja zako zilizokuwa factual, consistent and thorough!" Inaonekana wewe kama mimi ni mpenda ukweli, ila huyu jamaa hana aibu, anazungusha ukweli (twisting facts) mradi apate kitu ya kusema!!!
Jamaa inahitaji moyo kweli kujadiliana naye maana anajitoa fahamu kabisa.
 
Back
Top Bottom