Ukweli usiosemwa juu ya dini za Kiafrika

Nadhani ujumbe umefika.

Nakutakia siku njema.
 

Maana yako ya dini,inaingia udhaifu hapa uliposema ya kuwa '......sisi hatuna....' . Nyinyi dini zenu za kiafrika zinakwambia nini ukifa unaenda wapi au inakuwaje ?
 
Thanks mkuu kwa udadafuzi wako. wataelewa tu
 
Mungu wa bara la Afrika ni yupi.
Hapa hakuna wa kutoa jibu sahihi hata ww huyo mungu wa wazungu ni yupi na yupo vipi,huwezi ni jibu.

Sasa kwanini umeamua kumuongelea Mungu usie mjua ? Huoni kama umeamua kuwa mjinga ?

Vipi utajua kama uko sahihi kwa kumuongelea Mungu usie mjua ?
 
Kwa hiyo wewe mwanaume mwenzangu sasa nyakati hizi Uko tayari kuvaa bikini za miti kama mababu zetu enzi hizo walivyokuwa wanavaa?
Hata wao walianza kuvaa miti, so hadi nyakati hizi tungekuwa mbali sana kimavasi. Na angalia bidhaa za ngozi vinavyotengenezwa na wamasai, sandals,bags,etc. Pia angalia ususi wa kimasai hakika Afrika ingekuwa attractive continent ever! don't you feel natural proud of Africa?.

Nb baadhi ya technology zipo ulaya ila coped from Afrika.
 

Hichi kichaka naona unakitumia mara kwa mara "...jina..." matambiko ni zaidi ya jina,ndio likawa si sawa na kufanya wema.

Uliza wakubwa zako wakupe maana ya "Tambiko" kisja uje kusema tena ni jina tu.
 

Kwanini huna msimamo na unayumba yumba ?
 

Ngoja nikuwekee wazi swali,ili usiendelee kukosea tena,unaweza kutenganisha vipi Tambiko na Uchawi ?
 
Ila hii nakupa kama akiba tu ya maneno kwa mtindo wa swali.

Unaweza kuniambia hao wazungu huo uchawi waliupata wapi mpaka wakaja kuwafundisha na waafrika ?
 
mabara yote duniani yana mfumo wao wa kuabudu ambao ni tofauti na mabara mengine. Hii sio tu Afrika, hadi Amerika, Australia, Europe etc. Asia wameiteka sana Africa na ndio maana tamaduni za America mnaona kama wanakufuru hivi kwa imani za Asia. Ukiwa wa Asia anayofanya American ukitenda ww ni kosa na kinyume chake. Sasa sisi wa Africa tumeacha ya kwetu tunatenda ya Asia huoni ni kosa?

Kwa hiyo huyo Mungu alikaa miaka mingapi hadi alipowaambia watu sasa waweza enda Afrika nao mkawape habari zangu? Baada ya kutuumba tuliachwa wapi? Kwa imani uliyonayo basi tuseme GOD IS UNFAIR. katika nyanja zote eg kupendelea manabii na mitume katika bara la Asia tu.
 
Ila hii nakupa kama akiba tu ya maneno kwa mtindo wa swali.
Unaweza kuniambia hao wazungu huo uchawi waliupata wapi mpaka wakaja kuwafundisha na waafrika ?
UCHAWI ni matumizi ya nguvu za giza, miujiza kutoka/zilizotokana na roho za kishetani.
Therefore Uchawai wazungu wametoa kwa viumbe vya kishetani kama vile jini n.k.
 
Ngoja nikuwekee wazi swali,ili usiendelee kukosea tena,unaweza kutenganisha vipi Tambiko na Uchawi ?
Tambiko ni aina ya ibada inayofanyika ili kupata kitu fulani kwa njia ya maombi maalumu.

Uchawi ni nguvu ya giza,miujiza ambozo zimetoka na viumbe/roho za shetani/kishetani.
 
Tushachelewa Africans tushamezwa na dini za Kizungu na Kiarabu na bado tumefuata mila zao hatuna chetu
 
Kwanini huna msimamo na unayumba yumba ?
Majibu kama haya yapo katika dini zote na yanatumiwa na mashehe pamoja na mapadre.
Mambo ya roho hayathibitishiki so yapo kinadharia tu.
 
Umeongea sana mkuu.

Ndio maana Trump anasema "Africans they are not human" ukiangalia anaenda kwenye ukweli maana ukiangalia mnyama unaweza kumbadilisha tabia unavyotaka na sisi waafrika tunakubali kubadilishwa jinsi wenzetu wanavyotaka
 
Kwani dini za waafrika kabla ya wageni zilikuwaje ?
Kabla ya wageni, dini iliyotawala hapa ni animism (a belief that natural objects and phenomenon have souls). Pamoja na mizimu (ancestral spirits) watu walikuwa na imani kwenye vitu au viumbe za kila aina. Wageni mbio mbio wakatangaza kuwa imani hizi za kiasili zimejaa ushirikina na hazikubaliki. Kila aina ya mbinu zilitumika kushawishi watu waachane na imani za kizamani na kuwa wastaarabu au wastazungu!! Sasa imani, mila na desturi zilizopigwa vita hapa, ni yale yale ambayo mpaka leo zinatumika huko India (Hinduism), China (Taoism), Japan (Shinto), Thailand (Buddhism), nk. Waafrika walishawishika vipi kukubali dini za kigeni, wakati wageni waliokuja kuhubiri walikuwa wachache sana na wangedhibitiwa kwa urahisi??!

Desmond Tutu on how we got colonized. When the white men came to Africa, we had the land and they had the Bible. They said to us, lets close our eyes and pray. So we closed our eyes to pray, and when we opened them, the tables were turned - the white men had the land and we had the Bible!!!
 
Maana yako ya dini,inaingia udhaifu hapa uliposema ya kuwa '......sisi hatuna....' . Nyinyi dini zenu za kiafrika zinakwambia nini ukifa unaenda wapi au inakuwaje ?
Ukifa unakuwa invisible (huonikani) lakini unaishi na bado kiimani unashirikiana na ndugu zako. Ndio maana watu wanaenda kuomba makaburini kama kuna tatizo na mda mwingine hutokea anapohitaji(demand) kitu fulani. Kuna vitu ukifanyiwa mila basi mambo yanakaa poa. Kama upo Asia utakataa hili ila kama Africa basi utakuwa pamoja na mm.

Nakati hili hata kama ww hufanyi ila jamii,ndugu na marafika wengine wanafanya, kwani wao hawaamini katika haya nayosema?.
 
Afadhali mnisaidie jamani huyu Zurich mbishi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…