Ukweli usiosemwa juu ya dini za Kiafrika

Ukweli usiosemwa juu ya dini za Kiafrika

Sishangai wewe kuniuliza swali hili,sababu kusoma maandishi husomi kwa utulivu na haumakiniki pia.

Ungesoma nilicho kiandika kwa utulivu usinge uliza swali hili.

Nimeandika aliolewa akiwa na miaka sita na akaenda kuishi na mumewe akiwa na miaka tisa,kisha nikakuuliza maswali kama matatu hivi lakini hujajibu hata moja.

Nilikuuliza mtoto wa miaka tisa hawezi kuwa amebaleghe ?

Unaweza kunithibitishia ya kuwa alivyoenda kuishi na mumewe hakuwa amebaleghe ?

Binti wa miaka tisa haingiliwi ?

Je mazingira hayawezi kuwahisha au kuchelewesha baleghe ? Swali hili nimeliongeza ili ufikirie vizuri usiwe unakurupuka.

Nipo ......
Ameolewa na miaka 6, swali langu unamuoaje mtoto ambaye ajabalehe ? kwanini hakumsubir abalehe ndio amuoe ? kwanini mumuingize kwenye ndoa mtoto asiejitambua ? wewe ruka ruka lakini hapa ukimbii ahahahahahaha
 
Nacheka sana. Sasa chanzo chenu nyinyi na mababu zenu ni kipi yaani ? Ilikuwaje mkawepo hapa duniani ?

Mababu waliamini nini kuhusu chanzo cha ulimwengu na maisha kwa ujumla ? Au walikuwa hawajishughulishi na kujua chanzo ?

Kwanini unataka kujua aliye tuumba kaumbwa na nani ? Je kuna haja ya kujua hilo na je linawezekana ya yule aliye tuumba akawa na yeye kaumbwa ? Sasa muwe mnauliza maswali kwa kufikiria kwanza kabla ya kuuliza swali,sababu masali unayouliza au ulilouliza ni swali la uongo.
Mababu zetu hawakuhitaji kujua chanzo , maisha wanayo ishi kila siku na mazingira yake ndio jambo la muhimu kwao, wanafanya mambo yao miungu yao wanawabariki vizuri kabisa maisha yanaenda , hakuna sadaka ya pesa ni damu ya mnyama tu kitu kinajipa, sio Mohammed kawawekea nguzo ya kwenda kutalii kuwaingizia Pesa ndugu zake ili wakawaue waasi wa HOUTHI kule Yemen ahahahahahaa mkatalii Maka msamehewe dhambi kwa kweli inasikitisha sana utalii wa kiimani huu ahahahahaa
 
Naweza kuoa kabisa kama amebalehe , sifa ya kuoa sio umri nielewe vizuri , sifa ya kuoa ni yule mwanamke kuwa amebalehe tayari kutimiza tendo la ndoa , hivi ndivyo mababu zetu walifanya , na serikali haikatazi kama sio mwanafunzi , serikali inalinda haki ya mtoto kusoma sio kwamba ajafikia wakati wa kuolewa usichanganye madawa, Mohammed ameoa katoto ambako katu akabalehe tabia mbaya kabisa kutoka kwa babu hili
 
Nacheka sana,lazima unyooshe maelezo,kama kazi rahisi ina maana unaiweza bila shaka,sasa dai utume na ucheze na akili zetu,uone ni jinsi gani watu wanavyotumia akili.

Ushawahi kujiuliza kwanini ? Kielimu hasa hizi za dini kila kitu kimewekwa wazi ni watu kuchukua,waambie wakristo wathibitishe hilo na uwaulize nini maana ya utume na waulize Paulo alipewa utume na nani na kwa watu gani ?

Kujua ukweli wa jambo ni rahisi sana tazama hoja za pande mbili kisha utajua nani mkweli nani muongo.

Ama kudai tu watu wanadai mpaka uungu a wanadai Mola muumba hayupo. Kazi huwa inawia vigumu katika kuthibitisha madai yao.

Huu wingi wa miungu umeupata wapi ? Sisi ametufundisha mtume amani ya Allah iwe juu yake ya kuwa Mola ni mmoja tu hana mshirika.

Naona una tatizo la kunukuu maandishi,hili unakosea mara ya pili.

Hakuna sehemu niliyo sema ya kuwa vitabu vya kale vimemtaja,nilisema wale walio msadikisha walijua kuhusu utume wake sababu walikuwa wana elimu ya vitabu vya kale.

Ukiwa unasoma maandishi tuliza akili.
1. Ni sera tu ya nchi kudai utume kadai nabii Tito na waumini amepata , unashangaa nini mimi kudai,

2. Wakristo wathibitishe mara ngapi sasa ahahahaahaaha ni mtume na vitabu vyao wameandika, kama wewe unavyodai utume Mohammed kisa Quran imeandika , ebu acha uvivu fatilia

3. Kujua ukweli vip wakati maandiko yameandika mtume Paulo na maandiko yameandika mtume Mohammad, kila mtu kajiandika kuvutia kwake unataka ukweli gani , na nyaraka kibao kaandika mtume Paulo na miujiza kibao kafanya ahahaahahaha

4. Mtume kakufundisha Allah, Wakristo Yehova , Wahindi Brahman na miungu mingine, wachina hakuna Muumbaji , waafrika miungu yakutosha , katika Miungu yote Allah ndio Mungu pekee alieleta machafuko duniani ndio maana kule walipomuamini Allah kuna machafuko na Mauaji kila sehemu , lakini Miungu mengine pametulia , ndio maana china wamewafungia wafuasi wa Mohammed kuwabrush ubongo kuondoa imani za kishenzi walizonazo, toka kwenye Miungu ya laana hiyo
 
Naweza kuoa kabisa kama amebalehe , sifa ya kuoa sio umri nielewe vizuri , sifa ya kuoa ni yule mwanamke kuwa amebalehe tayari kutimiza tendo la ndoa , hivi ndivyo mababu zetu walifanya , na serikali haikatazi kama sio mwanafunzi , serikali inalinda haki ya mtoto kusoma sio kwamba ajafikia wakati wa kuolewa usichanganye madawa, Mohammed ameoa katoto ambako katu akabalehe tabia mbaya kabisa kutoka kwa babu hili
Miaka 18 ndio umri wa kuweza kufanya maamuzi mwenyewe na si kubalehe,sasa wewe unayesema unaweza kuoa binti aliyebalehe tu bila kujari kama amefika umri wa kufanya maamuzi mwenyewe una tofauti gani na suala la binti wa miaka 6 kuolewa na kushiriki tendo la ndoa baada ya kubalehe? na ishu ingekuwa sio umri basi usingekuwa unarudia kutaja miaka 6 na muhammad ni babu.
 
Mimi kinachonishangaza wachina wameshika miungu yao mambo saafi, wahindi mambo saafi , wajapan mambo saafi , kwanini nyie muache miungu yenu mmekuwa wapumbavu, mmepata laana kuacha miungu yenu , ikataeni miungu ya majahazi
Hao wote walikuwa na imani walizokuwa wanazifuata huko zamani usifikiri tangu hizo jamii ziwepo hapa duniani zimekuwa na hizo dini zao au hiyo miungu,tambua hilo kwanza.
 
Nilianza kwa kukupa maana ya tamko "msingi" ili kutoingia yale yote yasiyo husu misingi,ajabu maana pia hukuielewa.

Haya unayo yatajs ni matawi au matokeo,sasa rudi katika asili ya hayo matokeo ndio misingi yenyewe.

Naona unakimbia kivuli chako,hukuniambia nithibitishe hilo,wewe umekanusha hilo na kutushangaa sana,sasa kama unataka tena uthibitisho unaonekana ni jinsi gani ulivyo kichwa mchunga yaani unajikataa mwenyewe baada ya kuona swali gumu.

Anaekanusha ndio ndio anae takiwa kithibitisha sababu anaonekana ana elimu kubwa juu ya hilo. Sasa wewe ndio ututhibitishie ya kuwa hajatokewa na malaika,ukishindwa kujibu hilo,itabidi ujibu hili "Kwanini unaandika mambo usio kuwa na ujuzi nayo ?"
1.Unaambiwa msingi wa imani ya BUDDHISM ni Dukkha, samudaya, Nirodha, Magga halafu unakataa sasa tukusaidie nini ahahaah , msingi wa imani ya babu zetu ni Matendo na miiko unakataa nikusaidie nini !!.unakuja majibu yako wakati hayo ndio majibu ya wenye imani zao , utapata tabu sana ahahahahahahhahhaha

2. Angalia huyu anakimbia unaambiwa mtu kaenda pangoni anadai katokewa na malaika halafu wewe unamuamini , unathibitishaje kuwa uyu kweli malaika ? badala ya kujibu anapiga mboyoyo ahahahahahaaa
 
Miaka 18 ndio umri wa kuweza kufanya maamuzi mwenyewe na si kubalehe,sasa wewe unayesema unaweza kuoa binti aliyebalehe tu bila kujari kama amefika umri wa kufanya maamuzi mwenyewe una tofauti gani na suala la binti wa miaka 6 kuolewa na kushiriki tendo la ndoa baada ya kubalehe? na ishu ingekuwa sio umri basi usingekuwa unarudia kutaja miaka 6 na muhammad ni babu.
Kote nilipo taja nimesema katoto ka miaka 6 ambako akajabalehe unaoa nini hapo ? kwanini usimsubir abalehe ndio uoe , hapa hakuna ndoa katoto akajielewi ata mwili wake unakwenda hedhi kila mwezi unakafungisha ndoa huu ni uhuni wa Mohammed
 
Hao wote walikuwa na imani walizokuwa wanazifuata huko zamani usifikiri tangu hizo jamii ziwepo hapa duniani zimekuwa na hizo dini zao au hiyo miungu,tambua hilo kwanza.
HINDUISM unaijua hii ni wahindi tu hawaitaji mtu yeyote , ndio maana wakawafurusha waislamu wa Pakistan , watu wana dini zao za asili wewe , mkenge umeingia wewe na akili yako fupi
 
Kote nilipo taja nimesema katoto ka miaka 6 ambako akajabalehe unaoa nini hapo ? kwanini usimsubir abalehe ndio uoe , hapa hakuna ndoa katoto akajielewi ata mwili wake unakwenda hedhi kila mwezi unakafungisha ndoa huu ni uhuni wa Mohammed
Huna hoja kama unaona ni sahihi kuolewa mtoto asiyefikia umri wa kufanya maamuzi binafsi kisa tu kabalehe kwamba unanaweza kumuingilia basi huna la msingi la kuniambia,maana huyo mtoto wa miaka 6(hajafika umri wa kufanya maamuzi) ameanza kushiriki tendo la ndoa baada ya kubalehe ni sawa na wewe unayesapoti kuolewa binti asiyefikia umri wa kufanya maamuzi maana tofauti yako wewe unamsubiri abalehe ndio umuowe ili uweze kumuingilia hakuna tofauti na kumuoa kabla hajabalehe na kusubiri abalehe ili umuingilie.
 
HINDUISM unaijua hii ni wahindi tu hawaitaji mtu yeyote , ndio maana wakawafurusha waislamu wa Pakistan , watu wana dini zao za asili wewe , mkenge umeingia wewe na akili yako fupi
Nakwambia hao wahindi walikuwa na imani zengine kabla ya hinduism kama ambavyo leo ukristo kuwa imani iliyotawala huko ulaya na kuonekana ni dini ya wazungu kumbe wenyewe waliletewa tu hiyo dini na ndio ikatawala hadi leo basi na hao wahindi hiyo hinduism imetawala hulo India ila walikuwa na imani zengine kabla hinduism kutawala.
 
2. Angalia huyu anakimbia unaambiwa mtu kaenda pangoni anadai katokewa na malaika halafu wewe unamuamini , unathibitishaje kuwa uyu kweli malaika ? badala ya kujibu anapiga mboyoyo ahahahahahaaa

Wewe ndio unakanusha ndio utuambie kwanini usiamini hilo ?

Hoka iko wazi sana,anae kimbia ni wewe na hutoi hoja.
 
1. Ni sera tu ya nchi kudai utume kadai nabii Tito na waumini amepata , unashangaa nini mimi kudai,

Sija shangaa,ninacho taka ni wewe udai sasa kama ni mtume au nabii,si umesema ni jambo rahisi.
 
Ameolewa na miaka 6, swali langu unamuoaje mtoto ambaye ajabalehe ? kwanini hakumsubir abalehe ndio amuoe ?

Hivi kuna ndoa bila kuishi na mume ?

Aliolewa na miaka sita akaja kuishi na mume akiwa na miaka tisa,hapa sasa ndipo kwenye ndoa kwenyewe.

Hapakuwa na ulazima wa kumsubiri sababu la kwanza halina nguvu na uwezekano wa la pili ulikuwepo na ndio bora zaidi.

Unaweza kunipa tofauti kati ya "Kuolewa akiwa na miaka sita na kuja kuishi na mume akiwa na miaka tisa" na "Kuolewa na miaka tisa" ? Naomba unipe tofauti hapo.

Nipo ...
 
Ahahahahahahahahaa hiki ni kituko cha karne , alichofanya mohamadi ni sawa na kumsainisha mtu wakati amechanganyikiwa, akili ikimrudia shughuli inakuwa imeisha , mtoto mdogo wa miaka 6 ambaye katu ajabalehe unamuoza mume masikini aelewi chochote , mpaka akibalehe anakuwa yumo katika ndoa ambayo ata ajui alifungaje fungaje , huu ni ulafi na tamaa za mohamadi na Abubakari, kukatumia katoto ambako katu kalikua akawezi kufanya maamuzi yeyote kukaingiza ndoani ili kulinda nafasi zao kiutawala , inasikitisha sana
 
Sija shangaa,ninacho taka ni wewe udai sasa kama ni mtume au nabii,si umesema ni jambo rahisi.
Washadai wengi ili kukuonyesha sio jambo gumu ni rahisi tu , ata Mwingira ni nabii na mtume , ata Mashimo ni nabii na mtume na wote hao wana wafuasi kibao , hivyo ata mohamadi kupata wafuasi wa kufanya utalii kama wewe ni jambo la kimkakati tu ahahaha
 
Wewe ndio unakanusha ndio utuambie kwanini usiamini hilo ?

Hoka iko wazi sana,anae kimbia ni wewe na hutoi hoja.
Kwenye dini yetu huku malaika na blah blah nyingine hakuna , ndio maana wewe ambaye umeamini kweli Muhammad katokewa na malaika unaweza kuthibitishaje ? kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwakwe
 
Nakwambia hao wahindi walikuwa na imani zengine kabla ya hinduism kama ambavyo leo ukristo kuwa imani iliyotawala huko ulaya na kuonekana ni dini ya wazungu kumbe wenyewe waliletewa tu hiyo dini na ndio ikatawala hadi leo basi na hao wahindi hiyo hinduism imetawala hulo India ila walikuwa na imani zengine kabla hinduism kutawala.
Acha bange basi HINDUISM ni mkusanyiko wa doctrines zote za imani za kihiindi ahahahaaaaa unasikitisha sana , ni sawa na imani zetu makabila yote ya Tanzania tuzikusanye sehemu moja halafu tuzipe jina TWANZA , kama uelewi jambo uwe unauliza wahindi wako toka asili , kuingia kwako mkenge usitafute wenzio
 
Huna hoja kama unaona ni sahihi kuolewa mtoto asiyefikia umri wa kufanya maamuzi binafsi kisa tu kabalehe kwamba unanaweza kumuingilia basi huna la msingi la kuniambia,maana huyo mtoto wa miaka 6(hajafika umri wa kufanya maamuzi) ameanza kushiriki tendo la ndoa baada ya kubalehe ni sawa na wewe unayesapoti kuolewa binti asiyefikia umri wa kufanya maamuzi maana tofauti yako wewe unamsubiri abalehe ndio umuowe ili uweze kumuingilia hakuna tofauti na kumuoa kabla hajabalehe na kusubiri abalehe ili umuingilie.
Ni ngumu kutetea ndoa hii lazima umwage povu , huyu alieolewa kabla ajabalehe, maana yake ata mwili wake hauko tayari kwa lolote ata akili yake haiko tayari kwa lolote , Swali kwanini akumsubir akue (abalehe ) afanye maamuzi aolewe au asiolewe na babu yule ?kwanini aolewe akiwa ajitambui hapa ndipo kwenye hoja acha kutapa tapa kama kuku mwenye mdondo
 
Mkuu Tata, hata hao wazungu unaowalaumu walikua na dini zao kama ambavyo wafrika wanavyodai wana dini yao. Lakini swali la kujiuliza: je, ni dini ipi ya wafrika ambayo wafrika wanadai ni yao, ambayo wazungu hawakuwa nayo?
Kwa hakika hakuna dini kwa maana ya Mungu au miungu ambayo wafrika wanasema ni yao ambayo wazungu hawajakuwa nayo. Hakuna!
Kama ni dini za uongo-miungu, wazungu ndiyo wameanza.
Kilichopo leo Afrika, ambacho wafrika wanadai kuwa ni dini yao na kuitumikia ni uongo. Kama ilivyo kwa wafrika nyakati zetu na hata mababu zetu waliotutangulia walikataa ukristo kwa uongo huo wa kuwa tuna dini yetu. Hata wazungu walikataa ukristo kwa madai, dhana na upotofu kama huu huu tulionao Afrika.
Shida kubwa ya Afrika ni elimu. Wafrika hatujawa na elimu. Hatuelewi dini ni nini, inaundwa na mini na ina sifa gani. Lakini pia wafrika siyo tu kwamba hatujaweza kuandika historia ya maisha ya vizazi vyetu, lakini hatuna elimu ya historia ya ulimwengu na mwanadamu.
Sasa kama hatuna tu elimu na uelewa wa jambo dogo la historia ya ulimwengu na maisha ya mwanadamu yalivyoanza itawezekanaje kwa jambo kama dini?
Sinto ongeza neno.
waafrica_tujitambue-20190725-0001.jpeg
waafrica_tujitambue-20190723-0001.jpeg
waafrica_tujitambue-20190723-0003.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom